joto

Jōtō Station (城東駅, Jōtō-eki) is a passenger railway station in the city of Maebashi, Gunma Prefecture, Japan, operated by the private railway operator Jōmō Electric Railway Company.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Tulioweka hela zetu Credit Swiss matumbo joto

    Credit Suisse ya Usiwiz imeiomba Swiss Central Bank iipige jeki baada ya hisa zake kushuka kwa kasi ' nose dive'. Hii hali imetokana baada ya SVB silicon Valley Bank ya Marekani hisa zake zilipoanza kushuka. Wawekezaji wakubwa na wadau wa Credit Suisse wamekataa kuendele kutoa msaada wakifedha...
  2. U

    Vifaranga vya kuku viwekewe majiko ya kuvipa joto hadi umri gani?

    Ndugu wanajf na wafugaji wa kuku, hivi vifaranga vinatakiwa viwekewe chanzo cha joto hadi vifikishe umri upi?
  3. G

    Charger yangu inapata joto kali nikichajia power bank, inaweza kuharibika ama kuharibu power bank? Nini sababu na suluhisho?

    Chaja nikichajia simu wala haina shida lakini hali ni tofauti kwa power bank, inapata joto kali nikichajia power bank, zikipita dakika 40 hivi charger inakuwa na joto si mchezo. Charger yangu details zake ni hizi Samsung - Adaptive Fast charging Input: 100 - 240V, 50-60Hz 1.0A OUTPUT...
  4. Mzawa_G

    Joto linahitajika katika sayari ya Mars

    Unaweza ukajiuliza sasa maswali mengi kwanini Jua linashindwa kuifikia sayari hii kwa wingi katika nyakati hizi tulizo nazo na nyakati zilizopita kidogo Ni wazi ili Mars iweze kuwa habitable tena ni lazima kuwepo na joto kubwa la mithiri ya hapa duniani ili liweze kutoa msaada wa mkubwa...
  5. B

    Katiba Mpya joto lazidi kupanda

    Wiki mbili hizi zimekuwa muhimu sana kwetu sote hapa nchini. Tumesikia ya wanaotaka katiba mpya na ya wasiotaka katiba mpya. Wote kwa umahiri kabisa. "Ama Kwa hakika mwenye macho haambiwi tazama." Kwamba asiyetaka katiba mpya ndiye pia mficha mapesa ya dhuluma China? Kwa hiyo ni kusema...
  6. MamaSamia2025

    Joto la kisiasa lililopo litawahamasisha vijana wengi kutaka mabadiliko. Pongezi kwa Rais Samia

    Mabadiliko ya kweli kwenye nchi huletwa pale tu vijana wanapohamasika kujihusisha na siasa. Vijana wanaweza kubomoa au kujenga nchi. Kiongozi dhalimu Charles Taylor aliwatumia vijana kujiwezesha kurudi madarakani huku akiwa kamwaga damu za watu wengi wasio na hatia wakiwemo wazazi wa hao vijana...
  7. NetMaster

    Nawahi kuamka nikiwa sina uchovu sehemu zenye joto ila naamka kwa kujivuta vuta sehemu zenye baridi, huu ni ugonjwa?

    Nimeanza kuona kama ni ugonjwa fulani hivi, nipo mikoa yenye baridi kwa asili huwa nikiamka naamka kwa kujikokota sana na hata ratiba za mazoezi muda mwingi napuuzia; inabidi nivute vute muda sitoki kitandani mpaka nikikaribia kwenda kwenye shughuli zangu. Mikoa yenye joto ikifika tu hata saa...
  8. complex31

    Hatua za kukabiliana na joto la Dar es Salaam

    Kwa hali ilivo Dar es Salaam wakati huu sio ya kawaida. Joto lililopo wakati huu linatukumbusha kufanya vitu vingi sana kwanzia kwenye miili yetu mpaka maeneo tunayoishi au kushinda. Unapaswa kunjwa maji mengi ya kutosha, kama hauendi haja ndogo mara kwa mara na ukienda mkojo unakua na rangi ya...
  9. H

    Watalaam simu zinapata Moto sana kipindi hiki Cha joto je Kuna madhara?

    Habari wakuu..Kipindi hiki Cha joto simu zinapata Moto sana. Hasa hizi simu zetu za tecno yaani Hadi unaogopa kuendelea kuitumia mpaka ipoe hasa ukiwa kwenye mtandao vipi Kuna madhara yanaweza kutokea kwenye machine au injini kiswahili cha simu kinanipa tabu kidogo
  10. Sildenafil Citrate

    Madhara ya Ongezeko kubwa la joto kiafya na namna ya kuyakabili

    Mwili wa binadamu huhifadhi joto lake kwenye wastani wa nyuzijoto 37. Mabadiliko madogo yasiyozidi nyuzijoto 1 yanaweza kutokea muda wowote wa siku kutokana na athari mbalimbali za kimwili na kimazingira. Katika msimu huu ambao baadhi ya maeneo mengi ya nchi hayapati mvua za kutosha, baadhi ya...
  11. L

    ITV mmenifanya kujiskia aibu na kipindi chenu cha kipima joto.

    Kipindi chenu cha kipima joto cha leo, hakikuwa na mvuto sababu ni staged! Hakina mvuto sababu kama Taifa bado tunasafari ndefu sana! Mambo muhimu kama ya umeme, maji , Afya, Elimu etc ,tuweke mambo ya siasa mbali, tuwe na focus kama nchi! hao ilipaswa waulizwe maswali ambayo hayakupangwa...
  12. BARD AI

    Kikao cha Rais na Mawaziri ajali ya Precision Air, viongozi matumbo joto Dodoma

    Wito wa dharura wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa Baraza la Mawaziri kujadili ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air unatarajiwa kutoa jawabu la mifumo duni ya uokoaji inayolalamikiwa huku ukiwaweka matumbo joto baadhi ya vigogo serikalini. Hali inatajwa kuwakumba watendaji waliopaswa...
  13. NetMaster

    Chama alichomo Trump kinaenda kuchukua House au senate ama vyote, Trump anaweza kupewa uspika wa Pelosi, Biden anaenda kuonja joto la impeachment

    Usiende google kucheki matokeo 😂😂 wala cnn , huko hakuna taarifa credible maana ni left wing main strem media, ni haohao walioaminisha umma mpaka dakika ya mwisho 2016 kwamba Trump kashindwa,,, Ukweli ni kwamba kwa sasa hali inavyoelekea Republicans wanaenda kuchukua moja ya mihimili ama miwili...
  14. AbuuMaryam

    Kichwa kupata moto pekee yake ila mwili joto la kawaida

    Salaam wataalamu... Nahitaji msaada ndugu zangu, Mwanangu wa kike aliwahi kulazwa Mnyamala kwa Pneumonia na anaemia akiwa na miezi 5 takriban. Akatibiwa akapona ila hili TATIZO LA KICHWA KUWA CHA MOTO LIKIWA LIMEPUNGUA KIDOGO NA ALISAFIRI KWENYE BARIDI AKAPUNGUA KIASI SIO KUISHA KABISA...
  15. Superbug

    Mvuha, Morogoro pana joto siyo la kawaida, hii hali italeta maafa

    Kwa yeyote aliye hapa Mvuha atakubaliana namimi kwamba hili joto siyo la kawaida. Hebu tupashane habari za jotoridi hapo ulipo.
  16. Sildenafil Citrate

    Nape: Kampuni za Simu haziongezi bei za vifurushi bila idhini ya TCRA

    Baadhi ya nukuu za Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akizungumza kwenye kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TVE na EFM Radio leo Oktoba 17, 2022. Kuhusu kutishiwa Bastola Anaamini kuwa lilitokea kwa kusudi maalumu, na lilileta mafunzo makubwa kwake, waliopanga...
  17. N

    Katika kipindi hiki cha joto sifa ziende kwa wanawake wanaoshinda na kanga

    Wanawake wote mnaoshinda na kanga kipindi hichi cha joto popote ulipo nchini Tanzania amini kwamba you do right thing for the right time.
  18. Sildenafil Citrate

    Usimuache mtoto peke yake kwenye gari. Joto linaweza kumuua

    Haushauriwi kumuacha mtoto mwenye umri mdogo akiwa peke yake kwenye gari huku madirisha yakiwa yamefungwa hasa wakati wa jua kali au baada ya kuendesha gari husika umbali mrefu. Hali inayoitwa Heat Stroke inaweza kutokea. Hutokea baada ya mifumo ya mwili kushindwa kudhibiti ongezeko la ghalfa...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Jua Leo lipo "IKWETA" msimu wa Joto kuanza, Mwili wako na mazingira kubadilika

    LEO JUA LIPO " IKWETA"MSIMU WA JOTO KUANZA, MWILI WAKO NA MAZINGIRA KUBADILIKA. Anaandika, Robert Heriel Msomi, 😊. Baada ya safari ndefu ya takribani miezi mitatu tangu mwezi wa sita tulikuwa kipindi cha baridi/ ambacho kufikia kilele June 21/22 ambapo jua ndio huanza kugeuka Kurudi katika...
  20. K

    SoC02 Tutunze mazingira ya jiji la Dar es salaam ili kupunguza joto na mafuriko

    Kila mmoja atafakari,ni nini kitatokea endapo kila kaya/familia/nyumba itapanda miti miwili tu kuizunguka nyumba hiyo,nini kitatokea baada ya miaka michache tu ya kupanda miti hiyo. Kila taasisi, iwe ya ki raia au kiserikali,ikaamua kupanda miti miwilimiwili tu kwenye kila uwazi au pembezoni...
Back
Top Bottom