joto

Jōtō Station (城東駅, Jōtō-eki) is a passenger railway station in the city of Maebashi, Gunma Prefecture, Japan, operated by the private railway operator Jōmō Electric Railway Company.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Fahamu vituo vya daladala vinavyoongoza kwa hali ya hewa ya joto

    Wadau wa JF, Hamjamboni nyote... Nawaletea orodha ya vituo vya daladala vyenye changamoto ya kuwa na joto kali na hii ni kwa mujibu wa utafiti mdogo uliofanyika. Ieleweke kuwa joto lililopo vituoni hapo linaweza tokana na location ya eneo husika kijiographia n.k Tazama orodha: 1. Makumbusho...
  2. Bushmamy

    Msimu huu wa joto kali ni vizuri wizara ya afya ikahimiza wananchi kunywa maji mengi/matunda

    Mikoa mingi hapa nchini kwa sasa inapitia katika kipindi cha jua kali na lenye joto kali kupindukia, si usiku si mchana joto ni kali. Bado wananchi mfumo wao wa maisha ni ule ule kutokana na wengi kutokujua umuhimu wa kunywa maji mara kwa mara hususani kipindi kama hiki. Kipindi kama hiki...
  3. T

    Nina tatizo la mwili kuchoma ninapo pata joto

    Habari wakuu nina tatizo la mwili kuchoma choma kuanzia kichwani mpaka maeneo ya kifuani pale ninapopata joto, tatizo hili nilishawahi kuwa nalo kabla nlipewaga ushauri na daktari ambaye siwezi kumpata tena aliniambia ni minyoo akanipatia dawa za minyoo sizikumbuki ni aina gani nlipona kabisa...
  4. Sky Eclat

    Hili joto kupikia jiko la gas kwenye chumba na sebule ni mateso

    Siku hizi zile foleni za kungojea mafiga kwenye nyumba za kupanga zimepungua sana. Siku hizi wengi wana majiko ya gas chumbani. Kwa kweli yanasaidia sana kuokoa misitu, kurahisisha maisha. Hata hivyo joto unalopambana nalo kwenye chumba wakati unapika ni kadhia nyingine. Unaishi kwenye chumba...
  5. Miss Zomboko

    Mwaka 2021 umeshika nafasi ya sita kwa joto zaidi

    Utafiti wa hali ya joto duniani na mashirika mawili ya Marekani umeonyesha kuwa mwaka 2021 umeshika nafasi ya sita wenye joto zaidi duniani. Takwimu za hivi karibuni zilizokusanywa na Shirika la taifa la Marekani linaloshughulikia utafiti wa anga za mbali, NASA na Idara ya Bahari na Anga ya...
  6. D

    Madhara ya joto kisaikolojia! Ni moja ya cha chanzo cha migogoro na ukatili usiotarajiwa

    Joto ni moja ya kichocheo kikubwa sana kinachoweza kuharibu mfumo wa kufikiri. Wataalam wa saikolojia wanathibitisha kupokea migogoro mingi sana ya ndoa kipindi cha joto Kali la hali ya hewa! Ukiachilia mbali wanasaikolojia! Taarifa za kipolisi zinaeleza matukio mengi ya kikatili huongezeka...
  7. MK254

    Watanzania mnalo! Jua na joto kali, mgao wa maji na sasa mgao wa umeme

    Poleni sana, halafu kwa namna huwa mnabanana kwenye madaladala, mbona mnalo. Tanzanians should brace for more pains as power rationing looms after Tanzania Electric Supply Company Limited (Tanesco) revealed that water levels in many of their dams have reduced. According to a statement issued...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ongezeko la joto nchini, picha ya Mlima Kilimanjaro leo

    Barafu inayeyuka kabisa kileleni. Mungu atunusuru
  9. F

    Joto la dunia, Serikali iamuru mabasi yasafiri usiku

    Kwa hali ya joto inavyozidi kuwa mbaya kila uchapo huku mgao wa maji ukizidi makali yake na huenda Tanesco nayo iko mbioni wakati wowote kuanzia sasa kutangaza mgawo wa nishati ya umeme, hali ambayo itafanya watu wasiomudu majenereta kuyakimbia majumba yao usiku na mchana, nina maoni kwamba...
  10. J

    Tegeta hakuna umeme wala maji, angalau mngetuachia kimojawapo na hili joto la Dar!

    Chonde chonde Dawasa na Tanesco tufanyieni wepesi wateja wenu kwani hali ni tete si umeme wala maji.
  11. sky soldier

    Belarus yatumia maharamia kuidhoofisha EU, yatishia kukata gesi inayotumika kupunguza baridi kwenye nchi nyingi za EU, vita yanuka

    Nchi ya Belarus inatmua maharamia kuidhofisha EU ikiwa na lengo la kujaza maharamia wengi sana kwa kuwasaidia kuzamia katika nchi za EU. katika miezi ya hivi karibuni, maelfu ya watu wamesafiri kwenda Belarus kutoka Mashariki ya Kati, Afrika na Asia ili kuzamia Ulaya ya magharibi. maharamia...
  12. J

    Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

    Joto la eneo hili hufikia hadi nyuzi joto 40 C, kumbuka hapa Dar halijawahi kuvuka 34 na watu ndio wanapiga kelele hivi Je, kuna zaidi ya Ifakara kwa joto Tanzania?
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kuna ongezeko kubwa la kiwango cha joto nchini, sababu zatajwa

    🌡☀️🚦ONGEZEKO LA JOTO NCHINI Dar es Salaam, 08 Novemba 2021: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa juu ya uwepo wa ongezeko la joto katika maeneo mengi hapa nchini. Ongezeko hili la joto linatokana na kusogea kwa jua la utosi sambamba na upungufu wa mvua katika maeneo mengi ya...
  14. Analogia Malenga

    UN: Waafrika milioni 118 watakabiliwa na ukame, mafuriko na joto kali ifikapo 2030

    Umoja wa Mataifa(UN) umetahadharisha kuhusu mabadiliko ya Tabia Nchi ambayo yanahatarisha maisha waafrika milioni 118 ambao ni masikini wanaoishi chini ya dola 1.9. Imekadiriwa kufikia 2030 watu milioni 118 watakabiliwa na ukame, mafuriko na joto kali kama hatua za makusudi hazitachukuliwa...
  15. Dodoma Demand

    Vituo 5 vya joto na baridi kujengwa jijini Dodoma

    Kutokana na hali ya hewa ya Dodoma kuwa ya Kitropical Serikali imeamua kusaini dola za Marekani Milion 10 kwa ajili ya kuazisha vituo 5 maalumu vya Joto na Baridi. Vituo hovyo vitatumika wakati hali ya hewa ya kupita kiasi itakapotokea Jiji Dodoma ambapo vitafunguliwa vituo vyake vya Joto na...
  16. beth

    Utafiti: Joto kali linalosababishwa na ukuaji wa miji, linatishia maisha ya mijini

    Ongezeko la idadi ya watu pamoja na joto ulimwenguni ni sababu zinazotajwa kuongeza joto mijini, matatizo ya kiafya na kufanya iwe vigumu kuhamia maeneo ya mijini hasa katika mataifa maskini, kulingana na utafiti mpya. Ripoti hiyo iliyochapishwa na jarida la Chuo cha Taifa cha Kisayansi...
  17. Lycaon pictus

    Kwanini mwanga wa mwezi hauna joto?

    Wanasema kuwa mwanga mwezi umeakisiwa kutoka kwenye jua. Lakini ukiakisi mwanga kwa kioo unakuwa na joto, mbona wa mwezi hauna joto?
  18. Analogia Malenga

    TMA yatabiri joto kali na ukame

    MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kuna uwezekano mkubwa wa kutokea kwa ukame kutokana upungufu mvua unaotarajiwa kutokea katika kipindi cha mvua za vuli zinazotarajiwa kuanza kunyesha hivi karibuni. Imebainishwa kuwa katika kipindi cha mvua za Oktoba hadi Desemba mikoa mingi...
  19. Acehood

    Baada ya joto kuua zaidi ya watu 500 Canada, Dubai yatengeneza mvua feki kukabiliana na joto

    Dubai inapitia kipindi kigumu cha hali mbaya joto kali. Eneo hilo ndani ya Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) lina joto kali linalovuka mpaka nyuzijoto 50 na kuhatarisha maisha ya watu zaidi ya milioni 3 wanaoishi katika mji huo. Hivi karibuni nchini Canada zaidi ya watu 500 waliripotiwa...
  20. Analogia Malenga

    Zaidi ya watu 130 wapoteza maisha kutokana na joto kali Canada

    Watu zaidi ya 130 wamefariki nchini Canada kutokana na joto lisilo la kawaida kupiga ambalo limevunja rekodi ya kiwango cha joto. Polisi wa British Columbia wamepokea taarifa za vifo tangu Jumatatu, vifo vingi vikijumuisha wazee. Wanasema kiwango hicho cha joto kupiga katika eneo hilo...
Back
Top Bottom