jovin kaaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jovin Kaaya: Askari Magereza walituonesha upendo, walitutia moyo

    Kijana Jovin Kaaya, Mzaliwa wa King’ori, Wilayani Arumeru Mkoani Arusha, amesimulia safari yake ya kukamatwa, kushitakiwa kwa kosa la uhaini, pamoja na hali na maisha aliyopitia akiwa chini ya uangalizi wa Vyombo vya Dola kuanzia Kituo cha Polisi hadi alipofikishwa Gereza la Segerea jijini Dar...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jovin Kaaya: Nilivyotajiwa uhaini mahakamani nilimkumbuka Tundu Lissu

    Kijana Jovin Kaaya, mzaliwa wa Mkoa wa Arusha, amesimulia kwa kina sakata la kukamatwa kwake jijini Dar es Salaam Oktoba 31, 2025 na kushtakiwa kwa kosa la uhaini, hadi kuachiwa huru baada ya kesi hiyo kufutwa rasmi na Mahakama Desemba 24, 2025. Akizungumza na Jambo TV jana Desemba 29, 2025...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…