Mwenyekiti wa zamani wa TAMWA na Mhariri Mkuu wa Clouds media Joyce Shebe amebainisha namna Waandishi wa Habari na Vyombo vya Habari kwa ujumla wake vilivyopata wakati mgumu kufanya kazi Oktoba 29 mwaka huu na siku zilizofuata, kufuatia vurugu zilizotokea siku hiyo ambazo zilisababisha uharibifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.