jpm

  1. R

    Hii video inaonesha tofauti kubwa iliyokuwepo kati ya hayati Magufuli na Tundu Lissu juu ya Uzalendo kwa Taifa. JPM tunamu-underrate sana

    Nawasilisha source:IBM channel youtube
  2. Miaka mitano ya Hayati Magufuli taifa lilipiga hatua kubwa kuliko miaka kumi ya Jakaya

    Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga. Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku...
  3. P

    Ili upigaji uwe rahisi na miradi kutokukamilika na umeme uwe wa mgao, lazima JPM azodolewe kwa sababu nyepesi na za kipuuzi

    Mtu aliyekuwa anajua mbinu zote za wafanyakazi wa Tanesico kwamba, kipindi hichoo cha wao kuongoza, kulikuwepo na kikundi maalumu cha kufungulia maji ya mtela ili tu kutengeneza mgao haramu wa umeme na wao kutengeneza biashara za majenereta Mbinu hiyo iliwafumbua watanzania wengi, na tangu...
  4. Ufisadi na ubadhirifu unaondelea nchini kuipatia CHADEMA nguvu za kisiasa tena. Awamu ya 5 CHADEMA ilipotea baada ya ufisadi kudhibitiwa

    Kwa namna Mapato ya Serikali yanaonekana kuwa hayatumiwi vyema ili hali Serikali inakusanya mapato mengi kupitia kodi, tozo na faini pia hata ada kibao. Wakati wa hayati JPM alidhibiti mianya ya upotevu wa pesa za umma. Aliweza kuwa na ukusanyaji madhubuti wa pesa za umma na zote zikatunzwa...
  5. R

    Mambo makubwa manne niliyojifunza baada kifo cha Hayati Magufuli

    Habari JF, ni zaidi ya Mwaka sasa tangu Hayati JPM atutoke. Katika pitapita zangu mitandaoni yote ya nyumbani na kimataifa lakini pia pitapita za mitaani nlijifunza mambo makubwa manne . 1. Wazungu wameongeza kutudharau waafrika hasa watanzania ,Maana hata yule mtu aliyoonyesha muelekeo mzuri...
  6. C

    Niliwahi kumwambia Hayati Dkt. Magufuli, nakwambia na wewe Rais Samia; Watanzania ni masikini sana!

    Habari Watanzania wenzangu, Kuna jambo ambalo naamini viongozi wetu huwa wanalipuuza wakifika kwenye viti hivyo. Japo Tanzania ina utajiri mwingi sana, lakini Watanzania asilimia kubwa ni fukara sana. Hii ni kuanzia kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, viongozi wa Taasisi mbalimbali, Majaji, Bunge...
  7. Panya Road waua mtu mmoja Kawe na kujeruhi wengine watatu

    Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24. Eneo la tukio na...
  8. P

    Ukitaka uchukiwe na jamii ya wapumbavu, ni kuwaambia ukweli. Hayati Magufuli alichukiwa kwa sababu ya kuwaambia ukweli

    Nasema hivyo Kwa sababu, Vilaza na wafoji vyeti, mpaka Leo bado wanamachungu na hayati JPM Mpaka sasa bado wanalisakama jina lake, licha kwamba aliwasaidia ili warudi shule kuongeza marifa Bado wangali wanahasira naye, na hatuelewi tuwasadie nini ili waondokana na upumbavu walionao Mpaka Leo...
  9. P

    Maiti bado zinaokotwa ndani ya viroba, tutubu dhambi ya kumsingizia Hayati JPM la sivyo itaendelea kututafuna

    Watanzania tunapenda sana kutengeneza habari za uongo. Ni kipaji fulani kisichofaa kuwa sifa ya mtu lakini ndio ukweli kwamba tunacho na tunapenda kukiendeleza. Uvumi unaweza kusambaa haraka sana mpaka mhusika anapokuja kukanusha tayari habari zinakuwa zimeshambaa kila kona na uongo wa kutungwa...
  10. Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

    Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi. - Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU...
  11. Miaka mitano ya hayati Magufuli, bei za nafaka hazikupanda namna hii. Sasa zimepanda na wananchi wanakula mlo mmoja na nusu

    Wanachi wataumia sana, hawana mtetezi. 👇 Nipashe ilitembelea maeneo mbalimbali ya Dar es Salam na kubaini kupanda bei za bidhaa zinazotumiwa na kwa mlo wa kila siku ambazo ni mchele, maharagwe, unga wa ngano, unga wa sembe, dona na choroko. Mchele kilo moja umepanda kutoka sh. 1,800 au 2,000...
  12. CHADEMA mtamkumbuka hayati Magufuli, mlijifanya bichwa ngumu

    Sasa mnalilia nini? 👇
  13. J

    Komredi Kinana afurahishwa na Ujenzi wa Daraja la Magufuli ( Kigongo - Busisi) ambao umefikia 57%, ampongeza Hayati Magufuli

    Makamu mwenyekiti wa CCM amemaliza ziara ya mkoa wa Geita na kuanza ziara ya mkoa wa Mwanza Akiwa mpakani mwa mikoa hiyo miwili Komredi Kinana amekagua Daraja la JPM na kuridhishwa na hatua za Ujenzi ambao ni 57% Chanzo: Star tv ---- Na Mwandishi wetu, Mwanza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha...
  14. Hii ni moja ya kazi nzuri ya Hayati Magufuli

  15. Nimekutana na JPM akiongelea kodi, wale wa tozo najua mpo

    Ukiwa na hasira na anayeongea tafadhali hamia burundi niache nipambane na tozo.
  16. Bashungwa hayati JPM alijenga vituo vya afya 1000 bila tozo. Acha kuzebeza wananchi

    Wewe mwenyewe ulishuhudia na uliona namna alivyotekeleza 👇 === Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amesema Serikali imejenga vituo vya afya 234 kutokana na fedha za tozo ya miamala ya simu ndani ya mwaka mmoja tangu kuanzishwa...
  17. Mwigulu mbona wakati hayati JPM yupo watoto walisoma na kupata mikopo ya chuo kikuu bila tozo?

    Ina maana huko nyuma pesa za kukopesha wanafunzi zilitoka wapi 👇
  18. P

    Hayati Magufuli, kama sio leo basi ni suala la muda tu kupewa tuzo ya heshima kama Rais aliyesimamia vema rasilimali na kupunguza kero kwa wananchi

    Kama alivyowahi kunukuliwa akisema, Jengo la Tanesko ubungo, akitokea kiongozi mwenye kusimamia sheria, litavunjwa tuu, na hatimaye akaja kushika mwenyewe na likavunjwa, Na sasa, akija kutokea Rais asiye na unafki ndani yake, lazima JPM atapewa tuzo! Tunaposema JPM (hayati) anastahili tuzo ya...
  19. N

    Tulimuona katili ila Hayati Magufuli alikuwa aware na hali ya maskini na huruma kwao

    Sikuwa shabiki wa yule mzee, kachangia pakubwa sana kuua demokrasia, keleta hali ya unafiki kwenye mahakama, bunge ndo kabisa aliligeuza kituko hadi kuna wabunge waliapishwa gereji wakitokea jela usiku uliopita. Lakini one thing unaweza kumsifu ni connection yake na street na maisha ya mtu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…