Kuna watu hapa JF wanakariri habari za miaka ya nyuma halafu wanazileta sasa bila ya kujua nini haswa wanachokiandika.
Ni hawa wanaopenda kuandika habari za nchi kuibiwa, na habari za ndege kuonekana huko maporini. Hawa kuna mahali hawaelewi labda hawafahamu kuwa TZ ya sasa imenunua rada nne...
Mama juzi kajisifu kukopa sana ili kukamilisha miradi aliyoanzisha Jpm, na kwamba atahakikisha hakuna hela ya mkopo inaliwa.
Watanzania tujue mabeberu walikua wanachukizwa na ari ya jpm ya kujitegemea na ile kuwafunza watanzania kwamba nchi yao ni tajiri jambo ambalo ni kweli. Aliwaonyesha...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora imemhukumu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala kumlipa fidia ya shilingi milioni 80 Alexander Ntonge mkazi wa kata ya Ipuli Tabora mjini, baada ya kupatikana na hatia katika mashitaka aliyofunguliwa ya kuwaamuru Askari Polisi...
Huyu JPM ndiye mtu ambaye alijinasibisha na usafi,kupinga ufisadi, wakati akiwa anaila nchi bila kunawa. Ni vile tu awamu hii Wana kifua Cha kukaa kimya, msikilize Malima, RC Mwanza
Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu?
Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo.
Hayati Magufuli kwa...
daraja
hayati magufuli
january
january makamba
jina
jpm
magufuli
makamba
mradi
mshauri
mstaafu
mwanza
mwinyi
rais
rais samia
sababu
samia
ufisadi
wenyewe
Watanzanzania sio watoto wadogo. Wanaakili timamu. Tamko lako kuwa wabaya wanakufa na wema wanasurvive lilimlemga mojamoja kwa moja hayati JPM.
Kisa cha wewe kumlenga ni kwa sababu alidhibiti mafisadi ? Alihakikisha hakuna mgao wa umeme unaoletwa na January?
Alihakikisha kuwa pesa za umma...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC), Adam Malima, amezuia magari kupita katika daraja la muda linalotumiwa na mkandarasi kupitishia vifaa vya kujengea daraja la John Pombe Magufuli, lililopo Kigongo-Busisi, akisema utaratibu huo umekuwa ukiwachelewesha mafundi kutekeleza ujenzi wa daraja hilo.
Kuanzia...
Tunaendelea na visa na mikasa ya hayati JPM..
Hakuna siri JPM hakuwa chaguo la wana CCM mwaka 2015, hata mwenyekiti wa chama hakumtaka awe Rais bali alizidiwa na nguvu ya asili.
Mwenyekiti alimkusudia kumrithisha kijiti rafiki yake wa kitambo Bernard Membe,lakini wana CCM walimtaka Edward...
Wakati wa JPM alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akasota rumande miaka minne. Mwaka jana akaachiwa kwa NOLE. Aliporejea nyumbani akakuta biashara zake zimekufa. Mke ana mtoto mwingine aliyezaa nje ya ndoa. Mke anadai hakuplan ku-cheat ila changamoto za maisha zilimlazimisha. Baada ya kila kitu...
Wahasimu wa Hayati JPM wanaendelea kutuaminisha kuwa, JPM hakuwa Mtanzania pia PhD yake ilikuwa feki.
Licha ya hayo yote, wanaungana na wengi kuduwaa jinsi PhD feki ilivyo tofauti na PhD original.
PhD original tulizonazo hapa Tanzania, hazitusaidii na hazijawahi kutatua matatizo yetu kama...
Ni lazima nikiri wazi kabisa, mimi nilikuwa ni mmoja wa wanaomuunga mkono JPM kwa muda wote aliokaa madarakani. Sikuficha kuunga kwangu mkono, nilisimama nae muda wote. Bahati mbaya Binadamu siku zake chini ya jua huwa zina mwisho hata afanye mema mengi kiasi gani.
Kipindi chote cha msiba wa...
Kwa nini tulifikia uchumi wa kati mdogo Kabla ya lengo halisi la serikali?
Malengo ya Serikali yake wakati wa uhai wake, ilikuwa tufikie uchumi wa kati 2022, lakini cha ajabu, Taifa lilifikia uchumi wa kati 2020 mapema kabisa, mbali na Dunia kuwa kwenye msukosuko wa Covd, lakini hakikuharibika...
Mmekuwa mkisema, Serikali ya JPM, ilikuwa ikipika data ya makusanyo, makusanyo hayakuwa hayo, alikuwa akikusanya billion kadhaa tu,
Cha ajabu sasa, miradi ya matrion iliyokuwa ikiendeshwa na serikali yake na hakuna hata mmoja uliotelekezwa na awamu yake, tena bila tozo wala miamala ya kibenk...
Barabara alizosimamia zinasaidia kila sekta ya uchumi hapa nchini.
Hospital, Zahanati na Mashule aliyojenga yanawasaidia watanzania kujenga uchumi.
Misingi ya kusimamia rasilimali za umma aliyoiweka inawasaidia Watanzania leo hii
Habari wana JF, natumaini wote baadhi yenu ni wazima wa afya, na wale wasiyokuwa wazima afya, nawaombea mtakuwa wazima afya pia.
Kabla sijasema sana napenda kuweka wazi kuwa mimi siyo mnazi wa Chama chochote cha siasa ila ni kijana tu niliyefanikiwa kuwepo na kutambua mambo kwa uhalisia wake...
Hili linanishangaza! Hivi siku hizi wale Tiss waliompatia taarifa Rais mwendazake na yeye kukosa kifua kuzisema hadharani, kwa vitendo wameenda wapi?
Au siku hizi wanaripoti kwa Kassimu Majaliwa tu na yeye ameamua kukaa kimnya?
Ninajiuliza mbona wanyonge wa JPM Sasa wamegeuka wanyonge wa...
CCM IWEKE KUMBUKUMBU YA JPM NA SIO TAIFA!!!
Kuna wito unatolewa na wabunge na makada wa ccm kuwa Rais mwendazake John P. Magufuli atengewe sikukuu ya kitaifa kuenzi mchango wake kwa taifa,hoja ikiwa kwamba amefanya mambo mengi sana mazuri kiasi cha kumuwekea siku maalum ya kumkumbuka ambayo...
Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana
====
Aliyoandika Kabendera
Wale mliouza mali zenu kupata pesa za kuhonga kusaidia plea bargain zenu zikubaliwe mjitokeze kutoa ushahidi. Wafanyabiashara mliopelekwa ofisi maarufu ya serikali, mkatishwa kwa mitutu ya...
Kipindi cha JPM palikuwa na wababe wa utekaji, uuaji na uporaji.
Ni ktk awamu hii ambapo tulishuhudia utamaduni mpya ukiibuka hapa nchini wa viongozi kutishiwa na bastola mchana kweupe na wengine kushambuliwa na bunduki.
Waliyo yafanya haya bila shaka ni wale wahuni ambao Erick Kabendera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.