Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga.
Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku...
Mtu aliyekuwa anajua mbinu zote za wafanyakazi wa Tanesico kwamba, kipindi hichoo cha wao kuongoza, kulikuwepo na kikundi maalumu cha kufungulia maji ya mtela ili tu kutengeneza mgao haramu wa umeme na wao kutengeneza biashara za majenereta
Mbinu hiyo iliwafumbua watanzania wengi, na tangu...
Kwa namna Mapato ya Serikali yanaonekana kuwa hayatumiwi vyema ili hali Serikali inakusanya mapato mengi kupitia kodi, tozo na faini pia hata ada kibao.
Wakati wa hayati JPM alidhibiti mianya ya upotevu wa pesa za umma.
Aliweza kuwa na ukusanyaji madhubuti wa pesa za umma na zote zikatunzwa...
Habari JF, ni zaidi ya Mwaka sasa tangu Hayati JPM atutoke. Katika pitapita zangu mitandaoni yote ya nyumbani na kimataifa lakini pia pitapita za mitaani nlijifunza mambo makubwa manne .
1. Wazungu wameongeza kutudharau waafrika hasa watanzania ,Maana hata yule mtu aliyoonyesha muelekeo mzuri...
Habari Watanzania wenzangu,
Kuna jambo ambalo naamini viongozi wetu huwa wanalipuuza wakifika kwenye viti hivyo.
Japo Tanzania ina utajiri mwingi sana, lakini Watanzania asilimia kubwa ni fukara sana.
Hii ni kuanzia kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, viongozi wa Taasisi mbalimbali, Majaji, Bunge...
Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24.
Eneo la tukio na...
hawapendi
hawataki
jambo
jamii
jpm
mara
mifugo
mikoa
mkoa
mkoa wa mara
musoma
mwanafunzi
panya
panya road
sana
serikali
silaha za jadi
udsm auawa
uvamizi
watanzania
Nasema hivyo Kwa sababu, Vilaza na wafoji vyeti, mpaka Leo bado wanamachungu na hayati JPM
Mpaka sasa bado wanalisakama jina lake, licha kwamba aliwasaidia ili warudi shule kuongeza marifa
Bado wangali wanahasira naye, na hatuelewi tuwasadie nini ili waondokana na upumbavu walionao
Mpaka Leo...
Watanzania tunapenda sana kutengeneza habari za uongo. Ni kipaji fulani kisichofaa kuwa sifa ya mtu lakini ndio ukweli kwamba tunacho na tunapenda kukiendeleza.
Uvumi unaweza kusambaa haraka sana mpaka mhusika anapokuja kukanusha tayari habari zinakuwa zimeshambaa kila kona na uongo wa kutungwa...
Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi.
-
Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU...
hali
hayati
jpm
kibanda
kina
kisasa
kuchunguza
laki tano
majaliwa
milioni
miradi
miradi mikubwa
mlinzi
ofisi
picha
takukuru
tozo
ujenzi
umerudi
veta
wakamatwe
wote
Wanachi wataumia sana, hawana mtetezi.
👇
Nipashe ilitembelea maeneo mbalimbali ya Dar es Salam na kubaini kupanda bei za bidhaa zinazotumiwa na kwa mlo wa kila siku ambazo ni mchele, maharagwe, unga wa ngano, unga wa sembe, dona na choroko.
Mchele kilo moja umepanda kutoka sh. 1,800 au 2,000...
Makamu mwenyekiti wa CCM amemaliza ziara ya mkoa wa Geita na kuanza ziara ya mkoa wa Mwanza
Akiwa mpakani mwa mikoa hiyo miwili Komredi Kinana amekagua Daraja la JPM na kuridhishwa na hatua za Ujenzi ambao ni 57%
Chanzo: Star tv
----
Na Mwandishi wetu, Mwanza
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha...
Wewe mwenyewe ulishuhudia na uliona namna alivyotekeleza
👇
===
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amesema Serikali imejenga vituo vya afya 234 kutokana na fedha za tozo ya miamala ya simu ndani ya mwaka mmoja tangu kuanzishwa...
Kama alivyowahi kunukuliwa akisema, Jengo la Tanesko ubungo, akitokea kiongozi mwenye kusimamia sheria, litavunjwa tuu, na hatimaye akaja kushika mwenyewe na likavunjwa,
Na sasa, akija kutokea Rais asiye na unafki ndani yake, lazima JPM atapewa tuzo!
Tunaposema JPM (hayati) anastahili tuzo ya...
Sikuwa shabiki wa yule mzee, kachangia pakubwa sana kuua demokrasia, keleta hali ya unafiki kwenye mahakama, bunge ndo kabisa aliligeuza kituko hadi kuna wabunge waliapishwa gereji wakitokea jela usiku uliopita.
Lakini one thing unaweza kumsifu ni connection yake na street na maisha ya mtu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.