Mwenye Macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi Sikiaa.
Wakati Vyombo vya Habari vikubwa hapa Nchini vikiwa mfukoni Kwa Msoga Gang na Kwa matukio ya kupangwa, lengo ikiwa ni kupambana na JPM.
Hata Yesu alisema 'Waacheni wapige kelele, maana Hata Hawa wakinyamaza basi Ile miamba na mawe...
Kwanza naanza kwa kumshukuru Mungu kwa maisha ya aliyekuwa rais wa JMT hayati JPM.
Lakini pia nimpongeze rais wetu wa sasa mama yetu kipenzi SSH kwa kutimiza miaka miwili ya kuliongoza taifa letu. Mama anatuongoza vizuri sana.
Katika kutekeleza ahadi zote za mtangulizi wa rais wetu, mama...
KUMBUKUMBUYA KIFO CHA JPM KWA UPANDE WANGU.
Ilikuwa saa 5 usiku 17 March 2021. Nilikuwa ndani ya kuta za gereza la Ruanda mkoani Mbeya selo namba 16. Nikasikia kelele nyingi selo zingine ukizingatia kelele haziruhusiwi usiku mpaka kuwe na tatizo. Maana kelele ndio alarm ya kuwaita askari...
Huyu Mtu anaishi, Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi.
Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa.
Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM, Channel zote maarufu maarufu Zina watazamaji kuanzia 5K na kuendelea!
Maajabu ya Mwaka, Rais Samia na Jukwaa lake la...
Leo ilikuwa ni siku ya kumbukumbu ya siku iliyotangazwa kifo cha mpendwa Rais wetu Hayati Magufuli ukweli wa kilitokea lini tuachane nayo.
Kilichonifurahisha leo
ni namna ambavyo siku hiyo imeadhimishwa kwa misa maalum ya kumuombea badala ya kufanyika kiserikali kitu ambacho kingejaza wanafiki...
Kuna mdahalo mkali sana unaendelea kuhusu kumbukumbu ya miaka miwili bila JPM.
Kumeshaibuka pande mbili za wanaomkumbuka.Magufuli. upande wa kwanza ni wale wanaomuomboleza wakikumbuka mema yake. Na upande wa pili ni wale ambao wanashangilia kifo chake.
Serikali inayoongozwa na CCM imekaa kimya...
Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa Wilaya Mstaafu amesema nanukuu
"Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi...
Waziri wa Ulinzi, Innocent Bashungwa amemwakilisha Rais Samia Suhulu Hassan kwenye misa ya kumuombea Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli leo Machi 17 2023 nyumbani kwa Hayati Magufuli Chato mkoa wa Geita.
Nanukuu
"Nimepata heshima ya kumuwakilisha mhe. Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Bila shaka ni watu ambao kwa namna moja au nyingine aliwabeba na kuwapa nafasi ya kuongoza, kujifunza na kupanda kisiasa
Aliziba masikio kelele za watu wengi dhidi ya baadhi yao na hata kukataa ushauri wa watu wa karibu na wataalamu juu ya kuwaweka pembeni, alifikia hatu kusema 'yeye ndio Rais...
Leo ikiwa ni kumbukizi ya Hayati Dkt. Joseph Pombe Magufuri, Rais Samia Suluhu amemtakia pumziko la amani na amesema anaendelea kuendeleza yale yote mazuri yaliyoachwa na uongozi wa Awamu ya tano.
Miaka 2 tangu magufuri aondoke na ikiwa ni miaka 2 tangu Rais Samia Suluhu ashike madaraka tumeona...
Wanabodi,
Leo siku ya Machi 17 ndio siku Taifa tulipotangaziwa kifo cha Shujaa wetu JPM, hivyo katika kumkumbuka, na kumuenzi, mnaonaje tukijikumbusha baadhi ya mabandiko ambayo tulimshauri JPM na ushauri huo ukafanyiwa kazi, kwa kutaja bandiko husika, ulishauri nini, na nini kilikuja kufanyika...
Marehemu JPM hadi sasa ndiye kitisho kikubwa kwa mrithi wake ambapo Chawa Fc wanapambana bila kupumzika kuchafua kwa makusudi jina lake na legacy aliyoiasisi.
Eneo ambalo kwa haki kabisa marehemu hakulitendea haki ni Haki za Binadamu. Na eneo hilo alikuwa mkali kweli kweli kuanzia kwa watu wake...
Kesho Machi 17 ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli.
Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake?
Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
Hili ni kutoka moyoni kabisa!
Nchi ya watu wa jamhuri ya JPM, haifumbii macho upandaji wa mazao kiholela na kuishi kwa tozo zisizo na kichwa wala mkia, Haina uhusiano kabisa na rushwa, wazembe kule hawatakiwi, mafisadi hawaweki pua zao kule, kule ni HAPA KAZI TU Na kuishi kwa kumtegemea MUNGU...
Asalaam Aleykum wana JF.
Nawapenda sana. Nadondoka kwenye mada moja kwa moja.
Kulingana na utafiti mfupi nilioufanya, nimegundua kwamba Hotuba na ziara za Hayati JPM zilikuwa zinafuatiliwa na kusikilizwa na Watanzania wengi sana. Hii ni tofauti ukija kwa Hotuba na ziara za mrithi wake ambaye...
Kusimamia Haki kunalipa, kusimama na wanaoonewa kunalipa na siku zote wananchi awafundishwi kuchagua jema na baya Bali wanalazimishwa kuchagua wasichokitaka.
Majimbo mengi ambayo wagombea Ubunge WA pande zote walisimama na wananchi hakuna changamoto ya wagombea hao kushawishi Sana wapiga...
Inasaidia nini kupiga soga na kina Mbowe na kuonyesha umma kuwa mnademokrasia wakati mali za umma zinaibiwa na wananchi wanateseka. Hizi ni demokrasia uchwara
Sasa hivi akina mama wakienda kujifungua imekuwa biashara. Huko nyuma haya mambo yalikoma.
Polisi wanamaliza kesi wanavyotaka...
Ndugu wadanganyika wenzangu,
Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA ya mwaka 2015 pamoja na mambo mengine, ilikuwa na mambo yafuatayo;
1. Kujenga reli mpya na kukarabati zilizopo kwa viwango vya kisasa kwa kuzingatia maslahi ya nchi.
2. Kuboresha bandari zilizopo na kujenga mpya kama vitega uchumi vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.