Nawashauri familia ya JPM wasimruhusu Lissu na genge lake lisiende katika kaburi la JPM kufanya Siasa. Japo Mimi sio mnazi wa JPM, lakini inaonekana wamejipanga kisiasa katika kuzuru kaburi Hilo, na wanaweza hata kutoa matusi mazito, hasa Lissu, wakati wakijifanya kumuombea.
Pia baadhi wamesema...
Ukisikiliza ile clip inayodaiwa na Nape kuwa Tundu Lissu kamtukana Rais na ghafla kwa kufikiri ni kosa, DCI Kingai kamwita Tundu Lissu ili amhoji na bila shaka ikiwezekana afungulie mashitaka, basi utagundua mambo kadhaa kuonesha kuwa walioindaa wana akili sana na kina Nape na Kingai bila...
Je, huu ni wakati wa wanasheria wa serikali kulamba asali kupitia kesi za kimikataba na kimataifa?
Mikataba mingi iliyovunjwa na JPM, ilivunjwa kwa negotiation ya win win stuation ili kuanza upya!
Tokea miaka ya 2018 huko miaka mitano nyuma, mwekezaji kampuni ya Nickel ambaye haijulikani...
Friends and Enemies,
JPM Marehem, alikuwa ana Msemo wake pendwa ''Turichereweshwa Sana'' na hawa wanaojiita wanademokrasia na watetezi wa Haki za binadamu,nakumbuka pia katika suala la mradi wa bwawa la Nyerere alizungumza pia kuwananga wale waliokawa wanampinga katika mradi ule Kwa hoja ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas samesema Shujaa Hayati Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni
Tundu Lissu anaongea na Waandishi wa Habari
Mungu ni Mwema wakati wote!
1. Madhumuni (vision) na malengo (objectives) mazuri ya Rais wetu, ambayo aliyatangaza wazi hadharani, yalikuwa ni kuifanya bandari ya DSM kuwa ya kiwango cha mwendo kasi, cha kisasa na cha viwango vya kimataifa (international standards) kama zilivyo bandari hususani zile za Singapore na Taiwan...
Nukuu:-
Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!
Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa...
Friends and Enemies,
Kwa tuliomsikiliza Wilbroad Slaa juzi pindi akihojiwa na kituo kimoja Cha redio amesikika akitoa kaul nyingi sana za dhihaka na kejeli Kwa serikali,Slaa akafikia hadi hatua ya kusema kwamba Rais AMEJIFICHA,hatoi kaul kana kwamba nchi hii haina Kiongoz.
Slaa lazima atambue...
Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa, mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani...
Bashe fungua mipaka. Bashe wewe ni jembe. Mama amekupa rungu ili wakulima wapate pesa.
Hii nini sasa?
====
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Tamasha la Utamaduni la Bulabo Mkoani Mwanza leo June 13,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kuwaomba...
Inasadikiwa kuna mikataba 40 ilisainiwa huko Dubai, mmoja ndio huoo.... nao ni wa uchungu kushinda Mwalovera na ndio wa kwanza tu kati ya hiyo yote!
Itatofuata..... tusishangae kuona kipanda cha aridhi mkoa fulani kupewa hao jamaa kwa njia hizihizi za kubinafisisha!
Nyaya zimeshagusana, moto...
Kwa ufupi sana JPM alitamani kuona Wafanyakazi nchi hii wanaishi kama mizuka, mizimu au mazombi.. hakuna ajuae ni kosa Gani haswa aliwahi kufanyiwa na watumishi wa nchi hii, yapo mambo ambayo mama amejitahidi angalau kuyarudisha lakini mengine inabidi mchakato au hata hekima tu, ngoja...
Ukweli ni kwamba Hayati Magufuli alikuwa anaipenda hii nchi na Ndoto yake ilikuwa na kuifanya Tanzania kama Ulaya.
Bado tunahitaji Rais kama Magufuli.
Mungu ibariki Tanzania.
DC Mstaafu Simon Odunga anaandika
Endelea kutabasamu CHUMA, mpaka sasa bado hakuna wa kulinganisha na wewe. Najua hayupo aliyekamilika 100% lakini najua hata miaka 50 ijayo bado itakuwa vigumu kumpata Rais wa watu kama wewe. Ulijitoa Mhanga kwa ajili ya Taifa hili, "Legacy" yako itaishi hata...
Moyo umesinjaa kwa kile nimekiona leo ktk ufunguzi wa Majengo ya ikulu Dodoma.
Nawaza najiuliza na sipati majibu. Nimeenda mbali zaidi nikasema hata kama hatuamini juu ya uwepo wa Dunia nyingine tusio iyona watu wa siri mlishimdwa hata wauliza Mashekh juu ya elimu Dunia? Mh nadhani Kuna jambo...
Ni dhahiri Lissu ni mwanasiasa wa matukio, na huwa anapata nguvu panapokuwa na misuguano kati yake na viongozi wa juu. Na yeye amegundua hilo, kwamba ana thrive kisiasa katika mazingira ya ugomvi na kutukanana.
Ndio maana anaona kwamba wenzake wanapoenda katika maridhiano, ni kama "wanamchimbia...
Ulishawahi kujiuliza, kwa nini JPM alibaki na Kasesera ambaye ni mwandani lia lia wa Benard Membe?!
Utaamini kwamba pamoja na mbwembwe zote Mchungaji Msigwa alikuwa mlisha habari wa JPM kutoka upande ule?!
Kwa nini JPM alimrejesha RAS yule kuwa DG....?!
Simulizi hiyo ifuatayo itakufanya...
Ipo habari msisimko isiyofahamika na wengi kumhusu Aliyewahi kuwa W NJ ndugu Benard Membe aliyetangulia mbele za haki na ndugu Paul Makonda aliyepata kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Nyuma ya pazia, wawili hao wana hadithi nzuri na yenye fundisho ndaniye. Kwa sababu wahusika wakuu hatunao...
Baada ya msiba wa Bernard Membe kutangazwa kumekuwepo na mpasuko wa wasi kati wafuasi wa Hayati Magufuli na walamba asali ya serikali ya awamu ya sita maarufu kama MSOGA GANG.
Kundi la Hayati Magufuli linajumuisha wavujajasho na watu wenye subiri
Kundi la walamba asali linajumuisha vyombo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.