Ndugu zangu wana JF, ni matumaini yangu mko sawa kabisa.
Rejea kichwa cha mada chahusika.
Hawa majirani zetu walitamani sana Hayati JPM angekuwa Rais wao enzi za uhai wake.
Binafsi naona kama maombi yao yamejibiwa na Mungu kawajalia kumpata William Samoei Ruto, ambaye ana sifa karibia sawa...
Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.
Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya...
Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni. Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi hii.
Uelekeo wa sasa ni mwenyekiti...
Kinachokwenda kutokea CCM, ni kuwajengea imani wote waliokuwa na hasira juu ya kutukanwa na kubagazwa kwa aliyekuwa kipenzi cha Watanzania wengi hayati John Pombe Magufuli
Mabadiriko yanayofanywa na CCM, ni mpango madhubuti ya kuinasa tena kanda ya ziwa kisiasa na kuendelea kuwa mtaji wao...
"Tuna kiwanda cha Esther Bioscience Africa kinazalisha chanjo lakini chanjo nyingi tunaagiza nje ya nchi, tuna viwanda vya viuatilifu lakini bado viuatilifu tunaagiza nje ya nchi. Tukisema tunalinda viwanda kwa hapa tunavilindaje?" Luhaga Mpina, Mbunge wa jimbo la Kisesa
Ofisi Nyingi za serikali zilizokamilika hazina watumishi badala yake watumishi wamerundikana kwenye ofisi zao za zamani wakisubiri hadi waelekezwe kuhamia.
Taasisi za fedha zimehamisha watendaji huku hospitali ikitelekezwa kwa kukosa wataalam .
Uwanja wa ndege unaoweza kuhudumia abiria wa...
Bungeni mnalalama kama vile nyie sio chombo kuiwajibisha serikali.
Lakini ukweli upo wazi kuwa genge linalowaibia watanzaia kila uchwao mlalijua.
Mbaya zaidi mnajua wazi lilifurahia waziwazi kifo cha hayati JPM.
Kumbe hili genge lilifurahia kupata mwanya wa kuwaibia watanganyika.
Sina mengi ya kusema ila Makonda ukiweza kutatua kero za wananchi on spot, kurudisha uwajibikaji kwenye ofisi za umma maana waajiriwa wote na watumishi wote wapo kwa udhamini wa CCM so unaweza kuvimba nao, huduma muhimu ziboreshwe, ikiwemo shule, hospitali, miundombinu ya maji, barabara na umeme...
Watu wanauliza, kwanini awamu ya JPM ya Kalemani haikuwa na mgao? Jibu hilo hapo anatupa mwamba yeye mwenyewe...
https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==...
Ni kipindi chake ndo machinga(wanyonge) walikuwa wengi na wanaongezeka daily na hakuna mpango mkakati wowote wa kuwapunguza kwa kupanua sector binafsi mana serikali ilikataa kabisa kuajiri kisa Barbara.
Sector binafsi ilikufa kabisa au iikuwa inapumulia mashine kiasi ambacho wote waliokuwa...
Hawa jamaa sasa wamekomaa kisiasa. Maana juu ya sakata la Bandari na mkataba tata wamekomaa.
Huko nyuma walitaka kuleta siasa za kisanii wakadhani hayati Magufuli anapenda janjajanja. Alipowatosa wakaanza kuwa pingapinga.
Wananchi wakadharau na kuwaona wapigaji tu. Ila sasa baada ya kubanwa na...
Acacia, kampuni ya uchimbaji madini iliyokuwa na shughuli zake nchini Tanzania kabla ya kuingia kwenye mgogoro mkubwa na Serikali, inadaiwa kutumia takriban Shilingi bilioni tatu (Dola za Kimarekani milioni 1.2) kwa mwaka kulipa maafisa waandamizi wa Serikali kati ya 2008 na 2015, uamuzi ambao...
Muda mwingine inafikia hatua mtu unawaza huenda ni hujuma za baadhi ya watengaji wakuu na wanasiasa wanaotaka wananchi waichukie serikali ya sasa na kumkumbuka Hayati Magufuli.
Mama yetu Samia tunakupenda sana lakini Mwenyezi Mungu akujaalie kuwabaini watendaji na wanasiasa wenye HILA NA...
Waliomwambia JPM kuwa Katiba haileti maendeleo, huenda ni haohao wanaomwambia Samia kuwa Katiba inaweza kuwepo na isifuatwe. Ni aibu kwa viongozi wa CCM walioapa kwa Katiba kutamka maneno haya hadharani. Kimsingi wanapswa kuitetea sana Katiba maana hata Urais wao umetokana na Katiba.
CCM...
Habari wana JF.
Huyu wakili msomi Mwabukusi namwona kama mbadala wa Hayati JPM.
Japo tofauti na Magufuli, Mwabukusi ni mkali zaidi halafu wakati huo huo ni mpole, mnyenyekevu na mwenye huruma zaidi kulinganisha na Hayati JPM!
Ili tuendelee kama nchi, tunawahitaji sana viongozi wa Kaliba hii...
Mmoja wa washiriki kwenye Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari 2020 amerusha swali kwa wawasilishaji Mike Mushi na Ayoub Rioba pamoja na meza ya Mgeni Rasmi Waziri Nape Nnauye kwanini serikali haijatoa ufafanuzi juu ya kupotea kwa internet kipindi cha uchaguzi mwaka 2020 kama serikali hivi...
👇
---
Leo August 12, 2023 Tundu Lissu kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuhusu kukamatwa kwa Mdude Nyagali na Wakili Mwabukusi. Katika kutoa maoni yake kuhusu jambo hilo ameandika:
Bonnie Mwabukusi, lawyer & critic of President Samia's handover of all of Tanzania's ports to DP World, has...
Kama tujuavyo kuwa mheshimiwa sana upande ule, ndugu Tundu Lissu, aliitangazia nchi kuwa anaenda Chato kuhiji kaburi la JPM. Hilo lilitokea juzi kama sio majuzi. Alisema 'lazima' afike.
Baadae tukasikia UVCCM imepiga marufuku 'madange' hayo na kutoa tamko kwa chadema kuwa 'mdako' huo au 'kidali...
" Siasa ni sayansi ya sanaa na huenendana na nyakati. Ndiyo maana kwenye siasa hakuna adui wa kudumu na rafiki wa kudumu vilevile.
" Magufuli pamoja na mabaya yake lakini hakuwa mwizi na mgawa rasimali zetu kama Mkapa, Kikwete na huyu mwizi wa sasa.
" Magufuli kamwe asingekubali kuuza bandari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.