Salam!
Wote tunajua mchakato wa kuandika Katiba mpya Tanzania wakati wa Kikwete na hadi kukwama kwake.
Wote tunajua msimamo wa Magufuli wa kutokutaka kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya.
Sasa Rais Hassan ameanzisha mchakato wa Katiba Mpya.
Mimi ni Realist. Na napenda tuwe realist katika...
Akizungumza Bungeni leo Lugaha Mpina amedai ya kuwa kuna maagizo aliyatoa Waziri Mkuu na hayafanyiwi kazi na Waziri Mkuu yupo kimya hatua inayoonesha labda naye ameridhia
Hata hivyo hoja zake zilipingwa na Waziri Jennista Mhagama akidai ya kuwa hazina ukweli kwamba maagizo yanafanyiwa kazi na...
Wana Chato wamejiapiza kwamba uchaguzi wa ubunge unaokuja, wanakwenda na Katwale.
Wanachato wanasema kwamba Katwale alikuwa chaguo lao lakini JPM alimpandikiza Kalemani.
Gumzo kubwa wilayani Chato ni kwamba miradi yote wanayoiona Chato ni kazi ya JPM. Mbunge wao Kalemani hajafanikisha mradi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Kufutarisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim...
Nimeamini! Mtandao wa mafisadi nchini, mwenye kuuvinja sio mfano wa Magufuli tena, anapaswa awe ni mtu katili kuliko Hitila, mwenye sura mbaya kuliko Idd amini dadaa
Kila Mtanzania kwa sasa, hahitaji kuuliza kwa mwenzake kuhusu ufisadi ulivyokithili sasa, watu wako bize kuiba kiasi hata Mh Rais...
Mbunge wa zamani wa Nyamagana kupitia CHADEMA EZEKIEL WENJE amenukuliwa akisema kuwa kama Rais wa Awamu ya Tano, Marehemu Dkt John Pombe Magufuli angekuwa hai basi asingekubali hali aliyoiita "ufisadi" huu uliotajwa kwenye ripoti ya CAG.
Nimeshangazwa sana na kauli hii ya Wenje na nimejiuliza...
Kashfa nyingi za ripoti ya CAG kwa mwaka jana na mwaka huu zimetendwa wakati wa Magufuli; ndege, nishati, mashirika ya umma ikiwemo TTCL yanatuhimiwa kuiba au kusababisha upotevu wakati wa Magufuli. Hii nikutokana na ukweli kwamba maelekezo yalikuwa mengi kuliko utaratibu.
Maelekezo na speed ya...
Mbunge wa zamani wa nyamagana (chadema) EZEKIEL WENJE amesema kama Magufuli angekuwa hai asingekubali ufisadi huu ulio tajwa kwenye report ya CAG.
Wenje aliyekuwa waziri kivuli wa mambo ya nje ameosesha kubwa kwa sasa Chadema wanaona kubwa Magufuli alikuwa bora sana kwenye kupambana na rushwa...
Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi...
"Naamini mwaka huu tutakuwa na ongezeko la Mashirika yanayotoa gawio, Mashirika yasiotoa gawio lazima tutumie sheria kuhakikisha yanatoa au yanaondoka, Msajili wa Hazina simamia hili. Taasisi zote zinazotakiwa kutoa gawio, zifanye hivyo kabla ya mwezi wa saba, haiwezekani hadi Jeshi limetoa...
Hii series inasikitisha sana. Inaeleza jinsi wahuni wanavyotumia biashara ya kuexport dhahabu kutoka Africa kwenda Dubai wanavyotakatisha pesa.
Mapastor fake wamejaa humo ndani.
.
Hii wanaijua vizuri wakandarasi na watoa huduma serikalini. JPM aligoma kuwalipa kwa kisingizio Cha uhakiki, kwa miaka mitano alivyokuwa madarakani hakuwalipa, watu wakafilisika, benki zikauza Mali zao.
Sisi tukawa tunashangilia na kumpamba kwamba ni mzalendo hatujawahi kupata. Uzalendo wake na...
Kwa report hii ya mkaguzi wa fedha za Serikali CAG kuwa na upotevu mkubwa wa mabilioni ya fedha za wavuja jasho masikini wa Kitanzania, walah JPM angekula vichwa vyote na kujiongezea wapinzani wapya leo!
Nchi hii bila kitengo cha kuwapoteza hawa mafisadi ni sawa na kufuga mbwa kichaa...
Pamoja na mvua kunyesha maeneo ya Pwani bado maeneo mengi hakuna maji; it's like kuna mgao zaidi ya mwezi sasa. Ila magari yakuuza maji yanaongezeka mjini that means wapo watu wanahujumu juhudi za serikali kusambaza maji ili wao wauze maji.
Matokeo yake ni haya kila siku Bomba limepasuka ...
Maisha ya wananchi wa Chato yanaendelea kama kawaida. Hakuna tawi la CRDB Chato lililofungwa. Hakuna mahala kuwa stendi imekwa stendi ya mabasi inatumika na mabasi ya mikoani yanapita stendi na kuchukua abiria.
Mmeandika habari kwa uongo na unafiki. Chato sio Gbolite. Mnatakiwa kufungiwa kwa...
WanaJF,
Heri ya Jumatatu! Mara nyingi sana nimesikia, nimesoma mengi juu ya uchafuzi wa image ya aliyekuwa Rais wetu JPM - wengine hujenga hoja dhaifu juu ya Katiba mpya (hawa wanaweza kuwa sahihi lkn tujiulize KIPINDI JPM ANAOMBA URAIS WAPI ALIPOAHIDI KULETA KATIBA MPYA? Aliahidi kushugulikia...
Mnyika amesema mzee Masinde pamoja na kutambua kuwa anaumwa ugonjwa huo lakini hakutaka ufahamike kwa familia na ndugu wa karibu ili kutozua taharuki na kuwafanya wakate tamaa.
===========
Akitoa salamu za rambirambi mbele ya familia ya marehemu, Mnyika amesema Masinde alifariki kwa ugonjwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.