jpm

  1. R

    Kama mitandao ya kijamii ingekuwa inapiga Kura basi CHADEMA ingekuwa madarakani vinginevyo acheni CCM itawale

    Habari JF, Hivi kama watu, hasa vijana hampigi kura nini mnategemea? Katika Uchaguzi mkuu wa 2020 watanzania waliojiandikisha kupiga Kura ni milioni 29.8 , lakini ambao hawakupiga kura ni milioni 14.8. Sasa kama watu milioni 14.8 hawakupiga kura, si ndio hawa wanaojaza mikutano ya CHADEMA na...
  2. R

    Tabia hizi mbili za Hayati Magufuli zilifuta Mazuri yake Mengi sana, Watanzania kuna la kujifunza hapa

    Habari wana JF, kwenye hii dunia hakuna mtu alie kamilika nna maana kila mtu ana tabia au vijitabia ambavyo watu wengine hawavipendi au vinakufanya mtu kufanya ufanya mambo isivyo. Hivyo Pia JPM pamoja na mazuri yake yote yanayomfanya aonekana ni Rais bora mpaka alikuwa na tabia mbili kubwa...
  3. Kampeni za kumchafua Hayati Magufuli zimekwama

    Hivi nani hajaona kwa macho yake kuwa kuna mabadiliko makubwa ya kiuchumi ameyaleta hayati JPM? Kuhakikisha sekta ya afya, barabara, elimu , madini na usafirishaji inaimalika. Alafu kundi la wahuni kwa vile tu alidhibiti wasifanye ufisadi ndio watengeneze mikakati ya kumchafua. Hii ni ngumu...
  4. Tunaweka rekodi sawa, Hayati Magufuli alikuta ukusanyaji mapato upo chini akakusanya na kuyatumia vyema. Je sasa? Voyages

    Inasikitisha sana kwa nini watu wanakuwa na tafsiri tofauti juu ya mtu kuzungumzia ukweli wa suala husika. Lakini mtu anakuwa na povu ambalo halihusiki kabisa. Nani asiyejua kuwa hayati JPM ndio alianzisha mfumo kuwa mapato yote ya serikali yawe centralized na pesa zote ziingie hazina. Huko...
  5. M

    Ukweli mtupu: Hayati Magufuli atakumbukwa tu by any means necessary. Bila uthubutu wake haya yasingetokea

    Mwonekano wa maendeleo ya ujenzi wa meli ya MV Mwanza: Hapa Kazi Tu mkoani Mwanza. Ujenzi wake unagharimu TZS bilioni 89 (fedha za ndani), itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 1200 na mizigo tani 400, na itakuwa meli kubwa zaidi katika Ukanda wa Maziwa Makuu. 📸 @MSCLtz https://t.co/trZ3JdWbLR
  6. Hayati Rais Magufuli: Kiongozi wa mfano Karne ya 21

    Afrika na Dunia nzima inakiri kuwa Dr. JPM (Hayati) ndie kiongozi bora na mzalendo kwlikweli kuwahi kutokea katika karne ya ishirini na moja. Ni rais pekee aliyethubutu kutoa maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania. Katika awamu yake, alithubutu kukingia kifua raslimali za watanzania...
  7. Kwanini mgogoro wa Loliondo haukuibuka wakati Magufuli yupo hai? Hawa OBC ni akina nani? Kwanini Loliondo Gate? Mbona wanasiasa wa Oman?

    Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi? Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati Magufuli haya masuala hayakuibuka? Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema. Mkuu wa nchi anashiriki...
  8. Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

    Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno. Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi kukimbia nchi mpaka alipokosa ubunge. Tundu Lissu pamoja na kupata matatizo ya kuvamiwa na bad...
  9. Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

    Waziri wa Maliasili na utalii Mh Pindi Chana amesema kuna tangazo limekuwa likizunguka kwenye mitandao kuhusu usafirishaji wa wanyamapori ambalo lilizua taharuki toka jana. Hivyo kwakuwa yeye ni Waziri mwenye dhamana ya Maliasili na Utalii ametangaza kusitisha mara moja usafirishaji wa...
  10. Baada ya Hayati Magufuli kulifumbua macho taifa juu ya mapato ya umma yaliyokuwa yanaibiwa huko nyuma. Sasa yanatafunwa kupitia janja ya kulamba asali

    Ni collusion ya nguvu ambayo imeundwa na mtandao wa wanaCCM waliopo madarakani na wapinzani uchwara. Hii ni baada ya kuona hayati JPM aligundua mianya ya upigaji na akadhibiti ukusanyaji mapato. Kulamba asali ndio mtindo unaotumika sasa kukamua rasilimali za umma. Kwa nini hali inazidi kuwa...
  11. P

    Kufanyike nini sasa ili Hayati Magufuli achukiwe na wote? Naona waliokuwa wanamchukia wanabaki kuwa walewale

    Tusifichane, Imebaki kuwa wale wale wenye chuki na Hayati JPM, tena ni wale wale ambao yeye aliwaita wakwamishaji wa maendeleo ya nchi, na aliwashughurikia kisawasawa Waliokuwa wakila pesa za walipakodi Kwa mgongo wa wafanyakazi hewa, ndio hao hao wana chuki naye mpaka leo, kwa sababu mirija...
  12. Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

    Clip ya Dak 2:47 akiwa Oslo Forum anasimulia namna "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe" namna kilivyo piga bomu ofisi yake ya UWAKILI na kumjeruhi Tundu Lissu kwa risasi 16. Hatimaye Kinyago chenyewe kilinyauka mnamo 17/ 03/ 21.
  13. Wanasema Hayati Magufuli Alikuwa Anakubalika sana: Kwanini basi aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020?

    Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri. Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020? Kama alikuwa anakubalika kwannini...
  14. B

    Hayati Magufuli alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami na kujifanya TISS kwa kutishia wenzake

    Habari Wana jukwaa, JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa, Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa, Ukipost chochote against bwana yule umekwenda na maji Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na...
  15. Kiongozi wetu akiwa na Marais wenzake wa Afrika anamsifia hayati Magufuli ila akiwa na mabeberu anamnanga na kumponda

    Tulisikia kwa masikio yetu na macho yetu akikiri wazi kuwa hayati JPM alikuwa ana kiburi na alikuwa hashauriki. Na alifanya nae kazi kwa ugumu sana. Hii ina maanisha kuwa alipata wakati mgumu kuwa nae. Ila akiwa huko Ghana akipewa tuzo amekiri kuwa hiyo tuzo aliyopewa hakustahili kuipata maana...
  16. N

    Kanuni mpya Kikokotoo Inaondoa ubabe wa NSSF. Siasa za Magufuli ziliwabeba waonevu NSSF

    Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo...
  17. P

    2025, Tutawauliza, mlituahidi nini na Je,mmetekeleza.? Watajibu kwa uhakika, ni ndiyo, tulimnanga na kuusema kwa nguvu zote utawala wa JPM

    Sio wabunge na mawaziri, Bali hadi wasomi na Maprof wetu wote, kazi yao sasa si kushighuka kutatua matatizo yetu kama nchi! Kazi yao kubwa ni kuunanga utawala wa miaka mitano iliyopita na kumsema kwa kejeli na dharau nyingi Hayati JPM ambaye sasa haishi katika ulimwengu huu tulionao, Je...
  18. CAG: Kuna wizi wa Kalamu Ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi

    Moja kwa moja kwenye mada.. CAG abaini wizi na ufisadi kwenye mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi.. Wazalendo uchwara waje fasta maana 👇 === Miaka miwili kabla ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi haujakamilika, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amegundua...
  19. Shaka usilazimishe Wakuu wa Mikoa kuelezea mafanikio ya Rais Samia kwa nguvu

    Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika. Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao. Tusilazimishe mambo...
  20. Nimechagua kumchukia Zitto Kabwe kutokana na kuwa na chuki na Hayati Magufuli

    Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito. . Namchukia sana kutoka rohoni mwangu. . Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM. . Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…