jpm

  1. Napendekeza siku ya Kumbukizi ya Hayati Magufuli tuandamane na mabango hadi kaburini ili kuhiji na kuonesha hisia zetu

    Bado ni mwaka mpya maana hata watoto hawajaenda shule bado. Pamoja na yote natambua juhudi na kazi kubwa inayofanywa na rais wetu mpedwa mama Samia kwa kuhakikisha usalama wa nchi na kuifikisha Tanzania sehemu fulani. Kwa sehemu yangu nakupongeza sana mama na hiyo inathibithisha kuwa kweli...
  2. B

    Walinzi wa Ranchi na maeneo ya ufugaji ya familia ya JPM huko Chato na Biharamulo waondolewa rasmi. Je, ufugaji utaendelezwa na Mama Janeth?

    Mhe JPM aliwekeza kwenye ufugaji wa ng'ombe nakuanzisha Ranchi yake iliyokuwa inasimamiwa Kwa kiasi kikubwa na Dola, Sasa hivi naambiwa walinzi wa umma waliokuwa wanalinda rasilimali hizi wamerejea serikalini na hivyo familia kubaki na jukumu la kusimamia miradi hii. Je, familia ya Mama Janeth...
  3. Kitakachowafanya CHADEMA kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za Magufuli

    Kitakacho wafanya CDM waweze kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za JPM. Kwenye hotuba zenu ni nzuri sana ila mnakosea sehemu moja na hapo ndio mnapata negative feedback kutoka kwa kundi kubwa la watanzania. Badirikeni, kama hamkumpenda JPM subirini mpaka muichukue hii nchi. Saivi nendeni...
  4. B

    Mwenyekiti wa CCM anakwenda kuamua tena nani agombee ubunge kama alivyofanya Hayati Magufuli kipindi kilichopita. Ukimkosoa Mwenyekiti umeumia

    Ndani ya CCM ulizaliwa mfumo wa wabunge kupita kwa hisani ya Mwenyekiti, mfumo huu unakenda kuzima mabishano ya hoja. In long-run hakutakua na kiongozi nchini atakayetoboa bila kumnyenyekea mwenyeti, na kwa mantiki hiyo tunaelekea kipindi ambacho malengo yako kisiasa utafikia pale tu...
  5. Mashirika mbona hayatoi gawio kama tulivyozoea wakati wa awamu ya tano?

    Nashangaa kwa Sasa hakuna shirika la umma linalotoa gawio kwa serikali ni Upuuzi na Ujinga kuamini kwamba tanesco Haina fedha za nguzo Sasa wanafanya biashara au wanatoa huduma???
  6. M

    Ni mpasuko mkubwa ndani ya CCM, kifo cha Hayati Magufuli chatajwa kuwa sababu

    Hii ni sababu kuwa kuna dalili kuwa hata kifo cha hayati JPM kina utata mkubwa. Mpaka sasa kuna kundi la wanaCcm linalojiona kuwa lipo kwa ajili ya kupinga ufisadi na ukwapuaji wa mali ya umma. Huku kuna kundi ambalo lilifurahia kifo cha Hayati JPM likijinasibu kuwa lina mpango wa kupiga madili...
  7. Leo yametimia yaliyosemwa na Hayati Magufuli mhimili mmoja umejichimbia zaidi na ndio unaolipa mishahara mihimili mingine.

    Kuna mwanahabari alielezwa hili jambo kuwa japokuwa kuna mihimili mitatu ya dola yaani Bunge, Mahakama na serikali kuu. Mhimili mkoja umejisimika zaidi. Maana umejichimbia zaidi na kusimika mizizi. Leo bila ya kumug'unya maneno tumesikia kwa masikio yetu na macho yetu. Mkuu wa mhimili wa Bunge...
  8. Kelele za wahuni wa CCM na Zitto kumchafua hayati JPM zimeishia wapi? Walidhania watanzania ni wajinga?

    From nowhere muanze kuwaingizia sumu watanzania kuwa hayati JPM hafai kisa tu aliziba na kuwabana msifanye ufisadi.Mbona wote mmekata kilimilimi chenu? Hii nchi ina raia wanaojitambua na wameumizwa sana na wanasiasa wenye njaa na wanaopenda kujaza matumbo yao kama Bulembo, Zitto na wengine...
  9. 2022 imeanza, tunamshukuru Mungu kutulinda, wembe ni uleule, hayati JPM alitufumbua macho hili taifa lina mali nyingi

    Madini yalikuwa yanatoroshwa hovyo, nchi ya Kenya ndio ilikuwa kitovu cha uuzwaji wa dhahabu na madini mengi toka Tanzania. Pesa za umma zilikuwa zinaliwa hovyo na kuingia kwenye mifuko ya mafisadi, hayati JPM akasema kila pesa ya umma iingie mfuko wa hazina. Kwa hakika ni mengi alitufumbua na...
  10. B

    Hayati Magufuli aliweza kujenga miradi kwa fedha za ndani, hizo fedha za ndani kwa sasa zinafanya kazi gani au mapato yameshuka?

    Awamu iliyopita Rais, Makamu, Waziri Mkuu na viongoozi wote wa Serikali walitueleza wazi kwamba wanajenga Kwa fedha za ndani. Chama cha Mapinduzi na taasisi zake zote walizunguka kutuambia Serikali ya CCM inajenga kwa kutumia fedha za ndani. Bunge na units zilizopo chini yake walituambia...
  11. Mfanyakazi TRA: Toka nianze kazi TRA miaka 8, haupo wakati ukusanyaji kodi ulikubalika kama wa Hayati Magufuli

    "...wakati wa Magufuli ilifikia wakati wafanyabiashara wanagombania kulipa kodi kwa hiari yao." "...nakumbuka kuanzia 2018 ndiyo kipindi hasa wafanyabiashara nchini karibu wote wakubwa kwa wadogo walianza kugombania na kulipa kwa wakati kodi stahiki na tena wakati huo hata habari ya wao kutaka...
  12. CCM msiompenda Mama Samia, mlitaka nani awe Rais baada ya Hayati Magufuli kufariki?

    Ninashangaa kuona kuna vikundi vya kijinga ndani ya chama changu cha CCM vinajifanya kua wajuaji sana na kwa wao ndio wanaojua sana nchi kwakua walikua sehemu ya utawala wa awamu ya 5. Vigenge hivi vinajifanya kua active kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali ya awamu ya 6, utafikiri mama...
  13. Tanzania sasa kuna separation of power tukiitumia vizuri katiba inapatikana

    Tanzania sasa kuna separation of power tukiitumia vizuri katiba inapatikana
  14. Je, kupaka matope utawala wa hayati Magufuli kutatubeba wapinzani kisiasa? Magufuli hayupo nasi kwenye ulingo wa kisiasa, kwanini mnakomaa kumchafua?

    Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapinzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukumiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri...
  15. CHADEMA ilimalizwa na Magufuli, sasa tujielekeze kuidhoofisha ACT Wazalendo

    CCM ya Rais SSH iko imara baada JPM kufanya kazi ngumu ya kuimaliza CDM - sasa tujielekeze kuidhofisha ACT Wazalendo CDM watagombea nchini ubelgiji; ACT ndio waangaliwe kwa jicho kubwa. Lkn pia CCM tuikatae katiba mpya na tume huru ya uchaguzi - tukikubali hata NCCR waweza kuzika chama...
  16. Mch. Peter Msigwa: Hayati Magufuli ametufundisha tujue tabia za watu wengi

    Muda ni Mwalimu mzuri sana ! Wanafiki wote wamejidhihirisha. Tabia za ki TIKITI MAJI nje wa kijani na ndani mwekundu, ziko wazi . Jambo moja la kumshukuru JPM ni la kutufanya tujue tabia za watu wengi. #MboweIsNotATerrorist https://t.co/Y6l1tcnXnd
  17. U

    Leteni ushahidi wa namna Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilivyoharibu mahusiano ya kimataifa

    Enyi walimwengu Naomba msaada kujulishwa hayati JPM akiwa raisi alivunja mahusiano gani na nchi mbali mbali Na jumuia za kimataifa ambazo leo nasikia wengi wakitamka kuwa sasa mahusiano hayo yaliyovunjwa awali yanatejeshwa kwa kasi sana. Angalizo kwa waleta majibu ya maswali hapa chini ndo...
  18. Kifo cha Hayati Dkt. Magufuli kimeipasua CCM. Je, huu ndio wakati wa wapinzani kutusua kisiasa?

    Alitabiri Remy Ongala kuwa Ccm ilishakufa sasa yametimia. Kuna wanaCcm waliokuwa upande wa hayati JPM wanaona sasa nchi imekamatwa mikononi mwa mafisadi na wezi. Kuna wanaCcm kumbe walifurahia kifo cha hayati JPM na hii inaonekana alikuwa kikwazo kwao. Ccm ya sasa imepasuka maana kuna...
  19. Magufuli: Mimi ndio Rais, ninajua siri zote za nchi

    HOTUBA YA JPM ITAKAYOISHI MILELE NA KUREJEWA NA VIZAZI VIJAVYO Nanukuu Mimi ndio Rais ninajuwa siri zote za Nchi hii. Linisingeweza kuzungumza haya kama haya ninayozungumza siyajui,ni kuguswa tu na roho mtakatifu nashindwa kuwataja, tumechezewa mno ndiyo maana nayasema haya hadharani ndugu...
  20. M

    CHADEMA wakubali kuwa wamekuwa wakikosea sana

    Kuna mambo ya ajabu sana unaweza usiamini yaani leo ukikutana na kijana wa Chadema na kumwambia mama vipi maneno yatakayo mtoka mdomoni uwezi kuyaandika. Na ukimuuliza JPM vipi atakwambia kwa sauti ya chini afadhali ya JPM alikuwa vizuri. Ukiendelea kumsikiliza unaweza ukachanganyikiwa. Mi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…