jua

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. Mjanja M1

    TMA: Joto linachangiwa na kusogea Jua la Utosi

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema joto kuongezeka katika mikoa mbalimbali kunatokana na kusogea jua la utosi na upungufu wa mvua. TMA imesema vipindi vya jua la utosi nchini hufikia kilele mwishoni mwa Novemba wakati jua likielekea Kusini (Tropiki ya Kaprikoni), na hali hiyo...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Ukiona Dalili hizi jua uzee ndio huo unabisha mlangoni

    Wakuu mpo Salama! Kuna Watu hawajui kuwa namna uzee unavyoingia. Sio ajabu wameshaingia uzee lakini hajui au hawana uhakika. Sasa hizi ni moja ya dalili kuu zinazoashiria kuwa unaingia katika uzee. 1. Kufananisha Watu au Mahali au matukio Kuna ile ukimuona mtu unafikiri ulimuona wapi hata...
  3. Ghost MVP

    Mgawo wa Umeme unaweza kuisha kwa kuanzisha Shamba la Kuvuna umeme wa Jua

    Kauli za Serikali kuhusu swala la Mgao wa Umeme zimekuwa kero zenyewe, maana kila siku kuna Vijisababu ambavyo havina majibu. Sasa mimi nashauri Serikali iangalie namna ya kupata mwekezaji, ambaye atatuletea huduma hii ya kuvuna umeme wa jua na kwa hili jua la Dar yaani umeme utakuwa unanguvu...
  4. Surya

    Tambua wapi unakwenda na jua muda ni mali

    This life is so fucking terrible, people love, Crayz Love but behind Love there's Money. Money. To find money, you need time, na mtaji wa kwanza ni Afya na Akili. Health mind Even your father can just use you, only to fulfill his own desire. Oky all of us we Love. What you Love ? You...
  5. jastertz

    Kutokwa na vipele vidogo vidogo na Kuwashwa mithili ya Sindano kwenye Jua au Joto

    Habari JF's, Kumekuwa na mfululizo wa matukio ya kuwashwa kwa baadhi ya watu, wengine wakiwa wanasikilizia tu muwasho kimya kimya, hadi pale utakapomuelezea hali yako ndo na yeye anasema ''Hata mimi pia nawashwa sana hasa kwenye jua.'' Kwangu mimi sichukulii kama jambo dogo, Ningependa kuona...
  6. GENTAMYCINE

    Ukiona kuna Nafasi ya Uteuzi iko wazi na anafutwa Mtu halafu kisha akajadiliwa mno JamiiForums jua kwa 100% hapati tena

    Kabla ya Kukurupuka kuja Kubishana nami juu ya hiki nilichokisema tuliza Kwanza Akili yako, fanya Utafiti wako hapa JamiiForums na nina uhakika mwishoni utakubaliana nami 100% Na mara nyingi hii huwa ni Strategy ya System na Wasaga Kunguni ( Watu wasiopenda na kukupenda ) katika kutaka kujua ya...
  7. passion_amo1

    Jua lile literemke mama! Maisha ni mapambano hakuna budi kuingia vitani.

    Wakuu habari za uzima? Jua lile literemke mama ni moja ya nyimbo wengi wetu tuliokuwa tukiimba pindi tupo mchakamchaka shule. Hii nyimbo ilikuwa inatupa nguvu na hali mpya siku nyingine inapoanza. Leo nita share na nyinyi stori ya kaka yangu ni mtoto wa baba mkubwa Na kanizidi umri. Stori...
  8. MKATA KIU

    YANGA hatupo vizuri kucheza mechi kwenye jua. Mechi kuanza saa 10 jua bado kali.. Yanga tunaweza kufungwa Dar

    Habari wadau. Yanga tupo vizuri sana kwenye mechi zenye mazingira mazuri ya hali ya hewa ya kutochoka.. maana mpira wetu ni pasi za kutosha.. Kucheza juani naona kabisa kutoboa ngumu leo. Yanga huwa tunateseka sana kucheza kwenye jua
  9. F

    Simba aruhusiwe kucheza mechi vs Wydad ianze saa tisa kwa Mkapa kwenye jua. Kama Mamelodi anavyoanza mechi zake na Waarabu saa tisa kwenye jua

    Habari wadau. wiki ijayo simba anarudiana na Wydad kwa mkapa. Ni vizuri mechi hiyo ianze saa tisa jua bado kaii ili iishe saa 11 kasoro jua bado halijazama pia Hii mbinu anaitumia Mamelodi Sundown anapocheza na waarabu , waarabu hawajazoea kucheza kwenye jua Kama CAF wanairuhusu Mamelodi...
  10. L

    Kwanini Kinyerezi kuna mgawo wa Maji iwe mvua iwe jua?

    Naomba kuuliza nini kinasababisha kuendelea kuwepo kwa mgao wa Maji Kinyerezi? Mfano mimi nnapoishi sijaona maji ya DAWASA zaidi ya miezi 3 pamoja na mvua zote hizi zinazonyesha.
  11. J

    Kocha Gamond: Ije mvua ama jua lazima Yanga tuwafunge Medeama kesho

    Kocha wa Yanga Miguel Gamond akiongea na vyombo vya habari kabla ya mechi yao na Medeama kesho amenukuliwa akisea "Ni lazima tushinde mechi yetu ya kesho mbele ya Medeama ili tufuzu hatua inayofuata, najua sio rahisi ila tutaweza kesho kupata alama, tumepata alama moja kwenye kundi ila timu...
  12. Uhakika Bro

    Stori (ya Kisukuma) inayoelezea kuanza kwa jua, mwezi na nyota duniani

    "LIMI BUPE ISANA: "Bhanhu bhakatongela bupe. "Bakaja lushiku lumo ku Ban'igulu n'itandala lya Lububi. Lububi lwali giti 'giligilita' yabo. "Aliyo ban'igulu bakabi na wisu: bakabis'Isana nu tusandiko twa bubhi twalekanile na twa wiza. "-Huna lulu, bhakashoka mu Si. Aho balugula ikundikikijo...
  13. K

    Rais Samia, tunataka katiba mpya kabla ya uchaguzi wa mwaka 2025

    Mhe. Rais, sisi wananchi kwa ujumla tunakuomba kwa heshima na taadhima iwe jua na iwe mvua tunataka Katiba Mpya kabla ya 2025. Usemi kuwa wananchi wanataka elimu kwanza kuhusu Katiba Mpya usemi huo hauingii akilini mwetu tunataka Katiba kabla ya uchaguzi 2025 ili nchi iendelee kuwa na amani...
  14. Chief Wingia

    Hivi ni hapa Dar tu ndio jua linapiga kiasi hiki au ni Tanzania nzima?

    Aisee jua linapiga dar hii
  15. Moronight walker

    Jamani, Msikimbie majukumu ya watoto wenu wa nje. Ukizaa jua kuna kulea mtoto

    Habari wa jf. Kuna rafiki yangu mmoja alioa mwanamke mwenye mtoto tena mapacha ni wakike tupu. Ila wao wanakaa kwa Baba yao na Baba yao ashaoa na amezaa watoto 3 na mke wake huyo mwingine 1 alizaa na mchepuko ni mdogo, Kwa hio mwamba anawatito 6 home kwake. Huyu rafiki yangu yeye anawatoto 2...
  16. Mhafidhina07

    Walalahoi wenzangu hivi ili joto hamlioni au mie peke yangu!

    Dar na zanzibar ndani hakukaliki,ivi ndiyo vita au jua lipo closet to the earth.?
  17. hermanthegreat

    Kama mapenzi hayajawahi kukuumiza jua wewe bado hujakua

    Ukiona nyani mzee jua kakwepa mishale mingi. Kumcheka au kumdharau mtu aliyeumizwa na mapenzi ni dalili ya immaturity. Kama hujawahi kuumizwa na mapenzi jua wewe bado hujakua na hata kama umekua hujapevuka yaani unakuwa mtu mkubwa na sio mtu mzima (tofautisha)
  18. R

    Anayejua inakouzwa mizani midogo ya digital (Bathroom scales) Sehemu za Kariakoo

    Wakuu naomba msaada wenu. Natafuta mzani mdogo wa battery wa kupima uzito kwa ajili ya mgogwa kwa jina la kibiashara inaitwa bathroom scale. Tafadhali nisaidie kunijulisha ni maduka yapo ya nauza hizo bidhaa hapa Kariakoo au hapa Dar es Salaam.
  19. Maleven

    Mwenye gari ana gari tu, hili jua linanipiga balaa

    Hata kama gari ina CC 500, bado wapewe heko wenye nayo, huu mwezi wa tisa umekua na jua kali balaa, na linanipiga vilivyo, ifike hatua sasa nitafute hata ya mil 3.5 kwakweli, jua litaniua
  20. Proved

    India yatuma chombo maalum kuchunguza jua.

    India imepiga hatua kubwa mno, wanastahili pongezi kuingia kwenye 'field' tuliyozoea kuona Wamagharibi, Wachina na Warusi. Pongezi kwa India na wanasayansi wake.... Bado zamu ya Africa ipo njiani inashaallah.. Yoda dudus HIMARS T14 Armata Aleyn kp kipanya44 imhotep...
Back
Top Bottom