jua

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    Msaada: Anayejua gharama za mashine za kupandia mahindi na mahali zinapopatika Dar es Salaam

    Salamu, Wapendwa nahitaji kujua mashine ya kupandia mahindi zinapopatikana na gaharama yake. Nipo Dar es salamu muda huu. Nia na madhumuni yangu ni kuepuka hasara kubwa niliyoipata mawaka huu wa kilimo baada ya kupata mavuno duni sana, kutokana na mtindo wa kurusha mbegu huku nalifukuza trekta...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Ukiona kiongozi anatumia Lugha za kutisha Watu, jua huyo ni dhulmati" mdhalimu", mashetani ndio hufanya hivyo

    UKIONA KIONGOZI ANATUMIA LUGHA ZA KUTISHA WATU, JUA HUYO NI DHULMATI"MDHALIMU", MASHETANI NDIO HUFANYA HAYO. Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Saikolojia ya mtu mwovu anapokabiliana na Mijadala hukimbilia Vitisho. Yupo mwovu hutoa vitisho Kwa sababu ya kuficha Maovu yake...
  3. Intelligent businessman

    Wanaume tukumbushane mapema, kabla jua halijazama

    Bro, Wanaume wa UWABATA wanaangamia kwa kukosa maarifa, wanapotea, wanaenda kwa mkumbo, hawajui hata lengo la maisha yao ni lipi, wanapeperuka, wamekosa uzito, wameshindwa kukaza, wamekuwa kama bendera. Tuwashutue au tuwaache? Hachana nao bro, acha wapotee, hawajielewi, acha wajipalie mkaa...
  4. Mwanadiplomasia Mahiri

    Tamthilia ya Jua Kali ilipaswa iishe siku nyingi

    Kwa wale mnaofatilia tamthilia hii mtaungana nami kuwa director Lamata analazimisha kuongeza matukio ili ivutie lakini katika uhalisia ilipaswa iwe imeisha siku nyingi. Bill kashajua mama yake ni aunt Zai, Maria na Frank kila siku vitimbi kama ilivyo femi na luka kila siku drama za kufumaniana...
  5. amadala

    Ndoa kwa mara nyingine Tena ya Dula Makabila na Mpenzi wake Naira wa Jua Kali

    Hello!! Msanii wa singeli Dulla Makabila anatimiza ahadi yake leo aliyoitoa wakati akifanya interview na Dozen Selection kuwa haitafika Jumatatu lazima amuoe mpenzi wake Naira wa Juakali Dullamakabila muda huu anatoka kwenye hotel yenye hadhi ya nyota tano Hyatt Regency na kuelekea kufunga...
  6. Artifact Collector

    Fahamu Solar System na Jupiter/Saturn System ambao hukuwahi kuujua

    Huu ndo mfumo wa sayari achana kupitia attachment, achana na huo ambao unaouona kutokea NASA A- sun Jua haina umbo la duara kama tunavyoaminishwa, kwa lugha nyingine hakuna star yenye umbo la duara kama tunavyoaminishwa B- Sun Fussion activity Tofauti na saturn na jupiter, fussion activity...
  7. Mcqueenen

    Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

    Asalam aleykum...twende kwenye mada Kusali jumapili Amri ya Nne inasema kwamba siku ya kuabudu ni ya 7 ni Sabato. Wakatoliki wanaita hii amri ya Tatu kwa sababu waliifuta Amri ya Pili inayokataza mtu kuabudu sanamu. Ambayo bila shaka Wakatoliki wengi hufanya. Wakati wa Masihi Yehowshuwa...
  8. KING MIDAS

    Kwanini Marubani hupenda kuvaa miwani ya jua?

    Miwani ya Jua hupunguza athari za mwanga mkali wa jua, uchovu wa macho, na kulinda tishu za macho dhidi ya mionzi hatari ya jua. Kwa Rubani (kama jadi) pia humlinda dhidi ya miale mikali ya Jua anapokuwa angani na zaidi ya hayo, kuepuka kuathiriwa na uchafu unaoweza kuruka kutokana na mgongano...
  9. GENTAMYCINE

    Wazungu ninaowajua Mimi ukiona wanakusifia Mwafrika jua yafuatayo...

    1. Wewe ni Empty Set 2. Wameshakudharau 3. Wanakusanifu 4. Wanafaidika nawe 5. Wamekutega na Umetegeka 6. Watapenda usiishie tu Kuwakaribisha Sebuleni Kwako bali watapenda hadi Chumbani ( Bedroom ) Kwako waingie. 7. Watakuambukiza Laana na Dhambi isiyosamehewa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu...
  10. Dasizo

    Je, ni sahihi nguo za ndani zianikwe nje zikauke na jua?

    Baadhi ya wanawake wanatabia ya kuanika chupi kwenye kamba bila kujali wanaishi na nani je, iko sawa?
  11. R

    HUBA vs JUA KALI: Tamthiliya ya Huba wamekosea wapi?

    Kadri ziku zinavyokwenda watazamaji wengi wanaipotezea tamthiliya ya HUBA na kuelekea nyingine hasa Jua Kali. Huba wamekosea wapi? Je, hawana uhalisia - tamthiliya nzima hakuna role models, haireflect maisha au?
  12. GENTAMYCINE

    Ukitega kufunga Ramadhan Moja tu jua hujafunga kwa Miaka 83

    Nikiwaambia Dini Ngumu na wenye Kuabudu katika Kweli katika Imani zetu ni 0.5% tu muwe mnaamini na mnanielewa. Haya sasa Wewe unayepanga Kutega Kufunga au Kuruka Siku kadhaa unaambiwa ukifanya hivyo kwa Siku Moko (Moja) tu jua ni sawa hujafunga kwa Miaka 83 hivyo ili Dua yako isikike, ipokelewe...
  13. ndege JOHN

    Jua kali, hakuna mvua, kodi kubwa

    Hali ni mbaya sana mawilayani huku wafanyabiashara wengi waliokuwa wanawika wamefilisika Na kufunga biashara zao kwa sababu ya TRA. Mnapaswa muwalee wafanyabiashara ili wapate faida just imagine Mfanyabiashara anapigwa penalt ya kodi millioni 200 lazima afunge biashara akimbie. Zamani msimu...
  14. GENTAMYCINE

    Ukiona Mfanyabiashara yeyote anakufanyia hivi jua anaitaka Nyota yako Kali ili imsaidie Kibiashara

    Kuna Dada kila GENTAMYCINE nikibahatisha kuwa na Hela au Nikiokota Pesa njiani huwa napenda Kununua Vyuku ( Nyama ya Kuku ) wa Kukaanga Kwake. Kilichonishangaza na Kunishtua kila nikienda Kununua huwa ananiambia kuwa nikianza Mimi Kununua Kuku Kwake huwa zinatoka upesi na Wateja humiminika...
  15. mocoservices

    Ukiona Dalili hizi Kwenye Simu Yako, Jua Kuwa Uko "hacked"

    Habari mwanajamvi, najua umekuwa na siku ndefu sana ya kikazi maofisini au biasharani, ama mwingine unasoma uzi huu ukiwa kazini, piga kazi, kazi ni kipimo cha utu. Kabla sijaendelea mbali naomba nisema kwamba mimi ni fundi simu, kazi hii imefanya nijifunze mambo mengi kupitia changamoto za...
  16. Hemedy Jr Junior

    Hivi ni lini Mwezi ukaongoza Jua?

    Wangapi hapa tumeenda sawa? Vitabu vimeandika mwanamke marufuku kutoa sauti ya juu kwa mwanaume, sasa inakuwaje mwanamke anakukoromea?
  17. M

    Ukiona Mashabiki wanaanza Kuhesabu Vidole na Kuombea Timu fulani ifungwe ili Wafuzu jua imeshapotea

    Kama Wewe unazitaka kwa Udi na Uvumba Alama ( Points ) Sita ( 6 ) za Ndani Nje za Mganda unadhani na Yeye Mganda hazitaki zako Sita ( 6 ) za Nje Ndani? Halafu nani aliyewaambia na Kuwadanganya kuwa Mgine nae akija Temeke atakuja Kizembezembe wakati Kimahesabu Yeye na Wewe ( Sisi ) Kinyumenyume...
  18. kyagata

    Saa 1 na dakika 11 usiku hapa Mbeya jua bado linawaka

    Niko Mbeya, hapa ni saa moja usiku kwa mujibu wa saa yangu ila bado jua linawaka. Nimewasiliana na mtu yuko Dar ananiambia wao huko giza tayari na wako wanakula supper. Kwanini kuna tofauti hii ya kuzama kwa jua kati ya mikoa hii miwili?
  19. DR SANTOS

    Ukiona una tabia hizi basi jua unaanza kuzeeka

    Ukiona unafanya yafuatayo basi jua umeanza kuzeeka, upo nyuma ya muda: 👉Kuwa hasira bila sababu ya msingi: ishu ndogo mara anakua agressive balaa 👉Kuilaumu serikali Kwa ishu zako binafsi: Hapa mtu Hana pesa anaanza Kuilaumu serikali🤣🤣 serikali ifanyeje Sasa? 👉Kukosoa kosoa watu na kuona Kila...
  20. Kaka yake shetani

    Mwisho wa Dunia ndio mwisho wa Jua litakapofikia tamati. Je, kuna mtu anaweza fika miaka bilioni 5,000,000,000 nusu umri wa Jua uliobakia?

    Sayansi na dini zinapishana kidogo kwenye maono na mitazamo. Siwezi kukataa dini zinavosema wala sayansi inavosema,vitu ambavyo vinaweza kunipa ukweli ni huu msemo kuwa "chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho". Tuje kisayansi maana hapa ndio upande wangu: Fahamu katika nyota unazoziona angani...
Back
Top Bottom