Habari zenu wakuu.
Leo nimemua kuandika kidogo baada ya kukaa muda mrefu bila kuandika humu JF.
Maisha yetu wengi wetu vijana wa kike na wakiume ni ya kawaida kama sio chini. Ila utakuta sisi ambao tuna pata kidogo lakin tunatumia kingi, nikimaanisha tunafanya saana anasa, hatuna tafakari...