Habari wan JF Natumai ni wazima,
Nilikua nahitaji mashine ya kukamulia juice ya umeme je naweza kupata wapi na kwa bei gani.
Naomba kwa mwenye kufahamu pia mwenye kujua connection ya miwa inakuwa naomba kufahamu.🙏
Wakuu habari za kazi. Nina juice dispenser ya mitungi mitatu, lakini ilitengenezwa maalumu kwa kutumia umeme. Nataka kwenda kuitumia mahali ambapo hakuna umeme, ndipo nikawa najiuliza je inawezekana nikanunua mfumo wa solar na ikawezekana kuiendesha hiyo juice dispenser?
Specification zake ni...
Wakuu,
Nimani ulishawahi kusikia au kuambiwa kama una upungufu wa damu kunywa anjali, au kunywa chemicola inaoza damu fasta, au kuambiwa usinywe sana juice hizo kwani damu itakuwa nyingi sana.
Hii ni kweli?
Wataalamu wa afya wanasema Unywaji wa juice nyingi ya matunda au matunda yenyew kwa wakati mmoja
Inaweza kusababisha kwenda chooni sana yaani kuendesha (kuharisha) , Hapa wahenga tuliokulia kijinini nadhani tunaelewana ,Hasa ile misimu ya Maembe , Huwa tunayafakamia then tunaenda kucheza sasa...
Kwema wazee, natafta kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa awe na sifa zifuatazo
Chini ya Umri wa miaka 25
Awe mzoefu wa biashara ya juice ya miwa hasa eneo la Kariakoo na Mbagala
Awe na ujuzi wa kuifanyia service mashine
Awe ameshapoint eneo la kufanyia kazi lenye mzunguko mzuri ...
Wassalaam!
Moja kwa moja niende kwenye point ndugu zanguni, mashine ya juice yà miwa inahitajika
Location: Dar es salaam
Condition: used
Offer: 500k
Karibuni tufanye kazi
Habari wanajamii...
Natoa fursa kwa mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote kwa kiwango cha juu na wanaozingatia usafi sana.
Eneo ni Bar maarufu iliyopo Dar Es Salaam, maeneo ya Tabata inafahamika kwa jina BARACUDA BAR & LOUNGE.
Malipo ya kazi nalipa...
Kasema leo, Dar ni jiji la biashara, wasiopenda kelele waende Dodoma, watu watafute pesa, wale bia, mziki mnene. Maana wanachangia maendeleo ya jiji.
==========
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaomba Wakazi wa Mkoa wa Dar es salaam kufanya starehe ambazo hazitokuwa na...
Wadau naomba mwenye kufahamu wanapouza sukari Kali ya unga ya kutengenezea juice anifahamishe kwani Ninashida nayo.
Sukari hiyo hutumika kutengenezea soda coca cola, pia naomba msaaada kwa mwenye kufahamu wanapouza Rangi ya ukwaju.
Habari wazee wa masotojo,
Moja kwa moja kwenye mada. Hii sikufanya mimi, alifanya dogo nyumbani. Alikuwa anataka kutengeza juice amazing ili aoneshe ujuzi wake.
Basi akachukua maembe na pensheni freshi, akatia ka hiliki vizuri na sukari safi, sasa kwenye kuongeza madikodiko si akaweka na...
Jana Jioni baada ya iftar nikaenda kwa mangi nipate juice kidogo nikaagiza Azam embe ya chupa ya plastic.
Ikabidi ni shake before use nikaifungua Nikapiga fundo moja nikaona ladha tofauti tofauti. Nikapiga fundo la pili Ile juice Ina Kama Ute Ute flani wa njano, nikachek exp date 2024 na...
Manual juicer ya kisasa
(Bei Tsh 30,000)
&Haitumii umeme, rahisi kutumia.
&Inatoa juice Safi bila chemical
& Portable,rahisi kusafiri nayo
&Imeundwa kwa material imara(Aluminum)
&Rahisi kuisafisha.
WhatsApp link. Golden Online Store
Simu no 0658 106 630
Ndani ya Dar ni free delivery.
Unalipia...
Mulamula ametumbuliwa. Maswali ni Mengi lkn yapo mawili makubwa yaliyoaibisha nchi yetu kimataifa, yamkini yamesabishwa na makosa ya balozi zetu (zilikuwa chini ya Mulamula) kushindwa kuratibu mambo vizuri?
1. Je, ni ile kadhia ya mama kupandishwa school bus kwenye mazishi ya malkia?
2. Je...
Whatsup!
Leo nimeona nije na Biography ya Marehemu Juice Wrld, kwa wasiomjua wapate kumjua na wenye kumjua waweze kuyajua zaidi ambayo hawakuweza kuyajua.
Lakini pia kupitia uzi huu tutaendelea kujuzana hata yale ambayo unayajua na humu sijaweza kuyaandika kwasababu sio rahisi maisha ya miaka...
Kwanza nawashukuru kwa dhati NBC kwa kudhamini ligi yetu, kwakweli mwakahuu vilabu hata vile vidogo havikuwa na ukata wakutisha kama tulivyo zoea kipindi cha nyuma vilabu vilikosa mpaka nauli.
Pamoja na hayo, kwakweli waliopewa kandarasi ya kutengeneza kombe la mwaka huu kwakweli sijui wana...
Wakuu, habari zenu,
Samahan mimi nipo Mwanza nina juice bar naona hapa biashara kidogo imekua ngumu nawaza kuhamia mji mmoja kati ya Katoro au Kahama,
Naombeni ushauri kwa wenyeji wapi panafaa zaidi kwa biashara hyo na urahisi wa kupata eneo na matunda, pia aina ya watu sehemu izo,
ASANTENI
Habari wakuuu.
Nimekuja mbele yenu kutaka msaada kwa mwenye ujuzi wa biashara ya juice za matunda fresh location ni Dar.
Je, ni zipi changamoto za biashara hii.
Je, soko lake likoje na ni kwa namna gani naweza kuingia katika soko la ushindani.
Je, mtaji ambao unaweza kuendesha biashara hii...
Hivi jamani kuna mtu ameshawahi kupita maeneo ya Karume sokoni opposite na TFF akakutana na wale jamaa wanaouza Juice?
Yaani jamaa wale ni wajinga sana kuna siku nimepita pale kwa mguu jamaa muuza juice akanichangamkia as if ananijua ananiongelesha Mambo vipi we jamaa? Habari za siku nyingi...
Habari ya mwaka mpya wakuu, mwaka wa 2022. nawatakia kila la heri yote, sasa natafuta machine ya kutengeneza juice ya miwa, machine mpya, ni wapi naweza inunua au ni wapi naweza enda kuangiza moja, nasikia hata VETA wanauda machine aa hizo, naomba ushauri wenu waku, natangulia shukrani zangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.