Nauza juice dispenser njia tatu.. ipo vizuri inatumia umeme mdogo sana.. unaweza weka juice ata siku sita ikawa inazunguka bila kuharibika. Pia inatoa ubaridi ule ule wa juice ya kwenye fridge.
Nzuri kwa restaurant, hotelini hata pick na pay.
Bei rahisi kabisa
Bei: 580,000
Location: Kimara...
Wakuu habari, samahan kuuliza si ujinga na kama ni ujinga basi ukinipa jibu utakuwa umenipunguzia ujinga.
Tunashauriwa kunawa mikono kwa maji tiririka. Iman yangu naamini tukinawa virus wanaondoka na maji, hiyo sawa.
Tukitumia sanitizer, tunapaka kwenye mikono na kuhamin virus wamekufa. Sasa...
Natarajia mko salama wakuu na wanajamii forum. Niko na swali ambalo natarajia hapa ni pahari pazuri pa kupata jibu, sasa nataka kuwekeza kiwanda au viwanda vya kutengeneza juices, toka mananasi.
Maembe na machunga na pia matunda mengine kama passion fruits and mapapai, sasa swali langu ni hili...
Habari zenu wadau,
Naomba kuuliza namna ya kupima chakula cha biahara mfano wali na nyama au ugali na mboga zake ili kupata faida Pia juice ya parachichi na embe au embe na passion huniletea hasara sijajua kuna kitu cha nyongeza cha kuweka ili kuifanya iwe nyingi au labda natengeneza nzito...
Viwanda vyetu hususani kama vya Azam vijiandae kwa maumivu kwani itakuwa ngumu kushindana na maviwanda ya Kenya. Pia na sisi tunaotaka kujenga tujumba twetu tujiandae maumivu kwani cementi ya kutoka viwanda vyetu ambayo ina ubora wa hali ya juu hususani ile ya Dangote, kiasi kikubwa kitakuwa...
Nauza mashine ya juice ya miwa na banda lake na kila kifaa cha kazi ikiwepo vyombo vya wateja,vya maji na extension ya umeme wewe ni kununua miwa tu na kuanza kazi..
Inatumia umeme
Imetumika MIEZI MITATU TU!!!
Kila kitu 1M
Habari wapendwa wa JamiiForums.
Naomba mwenye elimu ya kutengeneza barafu na juice ya matunda mchanganyo wa nanasi ndizi na parachichi aweze kunisaidia, email yangu ni yasinijawadu@gmail.com
Asante sana.
Pia soma: Juisi mbalimbali nzuri kwa afya yako
Natafta mdada anayeweza kutengeneza fresh juice , umri Kati ya miaka 18-30
Awe msafi (extremely) awe mvumilivu na ,mwelewa , Elimu form 4 ad above .....
Ajue location bora ya kuweka biashara Kwa Dar es salaam ..... Anichek PM...
Mtaji upo so nahtaji mtaalam na mshauri pia ...first task aje...
Natafuta eneo la kuuza juice ya miwa,nina mashine na banda na kila kifaa kinachohitajika hivyo natafuta eneo.
Likiwa Tabata segerea stand itafaa zaidi
Ni lazima kuena mzunguko mkubwa wa watu.
Kwa yeyote mwenye eneo anichek dm
Habari Jf.
Nauza mashine ya kukamulia juice za miwa.
Mashine inatumia engine ya petrol.
Mashine iko vizuri na mwamvuli wake kwa ajili ya kukukinga na Jua.
Bei ya kuuza ni 1.1 milion, dukani ina 1.3milion.
Mashine iko Ubungo River side.
Atakayenunua namtolea elfu 30 ya usafiri.
Piga simu au...
Habari wakuu nahitaji msaada wa kupata mashine ya kukamua juice ya miwa.
Nipo Dar es salaam kama kuna mtu unaweza kunielekeza zilipo kwa hapa Dar ntakushukuru sana
Au kama unaweza kunisaidia contacts za mahali nitapata hizo mashine.
Tunamashine mpya za kukamulia juice ya miwa
➡ Zinatumia betri hvyo unaweza fanya biashara hata mahali ambapo hakuna umeme,
➡ Bei ni 2.3 ml
📞±255657291795 WhatsApp kwa maelezo zaidi
.
Naamini mmesherehekea salama pumziko la pasaka na poleni kwa ambao haikuwa amani kwa namna moja au nyingine.
Aidha poleni kwa misukosuko na taaruki ya ugonjwa wa COVID -19 najua imeleta athari kadhaa zikiwemo vifo na makatazo ya kujumuika katika shughuli mbalimbali za mikusanyiko. Zaidi kwa ili...
Habari ndugu zangu,
Leo nimekuja hapa mapema hii nikiwa na shida ya hii mashine ya kutengeneza juice ya miwa, nahitaji kutoka kwa mtu atakayeweza kunikodisha na sio kununua. Awe Dar es salaam na bei ya kukodisha iwe affordable
Hi wanabodi
Napenda kujua hii juice ya ukwaju ni ukwaji kweli au tunakunywa mchanganyiko tu. Na hii maziwa ya asas nayo siku nimeyanywa siku ya pili niliyaacha wazi nikakuta yameharibika inakuwa ni maziwa au dawa ndo zimejaa huko...maana maziwa ya mtaani aisee yanamaji balaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.