Habari wana jukwaa,
Kama mada inavyojieleza. Ni ipi ladha ya juisi huwezi kuichoka hata unywe mara nyingi.
Kwa upande wangu mchanganyiko wa nanasi, parachichi na pasheni. Kwa kweli napenda sana mchanganyiko huu na ile harufu ya pasheni ndio naburidika kabisa.
Hii hata uandaaji wake sio mgumu...