jukwaa la ajira na tenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Elimu Ya Degree Ya Bima & Uzoefu Wa Miaka Mitatu wa Microfinance: Natafuta Kazi

    Nina Elimu Ya degree ya bima na usimamizi wa majanga (Bsc in Insurance and Risk Management) Kutoka Chuo cha usimamizi wa Fedha (IFM),Main Campus. Mbali Na Elimu yangu nina uzoefu wa miaka zaidi ya mitatu wa kufanya kazi katika taaisisi Za fedha & Mikopo (Microfinances). Kwa Miaka Hii Mitatatu...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi hata iliyo nje ya taaluma yangu

    Habari wanajukwaa Mimi ni kijana wa miaka 26 Jina ni Innocent Nyakunga Makazi kwa sasa ni Shinyanga Mjini. Elimu nimesoma hadi kidato cha sita kisha nikaenda chuo na kuhitimu Shahada ya sayansi katika usimamizi wa kodi (BACHELOR OF SCIENCE IN TAXATION) mwaka 2022. Nimefanya internship...
Back
Top Bottom