Elimu Ya Degree Ya Bima & Uzoefu Wa Miaka Mitatu wa Microfinance: Natafuta Kazi

Elimu Ya Degree Ya Bima & Uzoefu Wa Miaka Mitatu wa Microfinance: Natafuta Kazi

Swahili thinka

New Member
Joined
Jan 3, 2024
Posts
2
Reaction score
2
Nina Elimu Ya degree ya bima na usimamizi wa majanga (Bsc in Insurance and Risk Management) Kutoka Chuo cha usimamizi wa Fedha (IFM),Main Campus.

Mbali Na Elimu yangu nina uzoefu wa miaka zaidi ya mitatu wa kufanya kazi katika taaisisi Za fedha & Mikopo (Microfinances). Kwa Miaka Hii Mitatatu Nimefanya Kazi Katika Nafasi Zifuatazo;-

1. Afisa Mikopo (Loan officer).Nikiwa Na majukumu ya kutafuta wateja (Marketing & Closing), Kukagua wateja (Laon assessment), Kukopesha (Loan disbursement) and Makusanyo na ufuatiliaji wa madeni (Follow-up and debt collections).

2. Meneja Wa Tawi (Loan Branch Manager). Kwa Nyakati tofauti Nimekuwa Msimamizi wa matawi matatu katika taasisi moja. Kutoka Kuwa Afisa Mikopo Nakuwa Kiongozi wa tawi na Jukumu muhimu na kubwa la Usimamizi Wa Fedha Ndani Ya Tawi (Cash Operations Supervisor).

Katika taasisi mbili nilizofanya kazi mimi na timu yangu tulifanikiwa kuanzisha na kufungua matawi mengine matatu yenye mitaji zaidi ya 30 Milioni. Hivyo kwa uzoefu huu nina uwezo wa kuongoza wafanyakazi wenzangu na kusimamia taaisisi katika majukumu na shughuli muhimu na kutoa muelekeo wa taasisi Na bila kusahau nipo tayari kuongozwa na kufanya kazi katika timu.

Hivyo Kulingana na elimu na uzoefu wangu nawezafanya kazi katika;-

a. taasisi za bima na mifuko ya uhifadhi Ya jamii.
b. taasisi za mikopo & benki
c. Idara ya usimamizi wa timu (Supervision and Monitoring)
d. Napenda Kufanya Kazi katika tasnia ya usafiri na Ugavi (Trasport and Logistics).

Makazi: Dar es Salaam.
Kwa Ajili Ya CV,Mawasiliano & WhatsApp : +255 745 202 989
 
Back
Top Bottom