Nilishasema huyu kijana huwa wanamuonea sana linapokuja suala la maamuzi.
Kule lile pambano ambalo alicheza na Juma Choki na ushindi akapewa Juma Choki aisee ule uamuzi wengi tuliutilia mashaka uamuzi sahihi ulikuwa apewe ushindi Loren Japhet au matokeo yawe sare.
Loren Japhet alipeleka...
Kwanza niwashukuru nyote mlonipa ushauri juu ya Nini tufanye tumpate mzee wetu.Ukweli tulifanya kila kitu ata kujiunga magroup mbalimbali ya wasapu na fb.
Tuliopita kila Kona,tulifanikiwa kumpata mzee mmoja aliyekuwa anafanya kazi gereza la musoma na sasa Ni mstaafu yupo Mkoani Singida alikiri...
Mbunge wa Jimbo la Chaani Mhe. Juma Usonge amesema hayo alipokuwa akizungumza na wanakijiji kwenye kikao cha kuratibu shughuli ya kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa Skuli ya Sekondari ya Pwani Mchangani kwenye ukumbi wa Skuli ya Sekondari Pwani Mchangani iliyopo Wiliya ya Kaskazin A Unguja...
Mkongwe wa muziki wa bongofleva, Juma Kassim Kiroboto maarufu kama Juma Nature anasema watu waache kumzushia kama amezeeka wakati ndio kwanza ana miaka 37 hajafika hata miaka 40. Yeye bado kijana mdogo wasimuite mzee.
My take:
Nature ameingia kwenye mkumbo wa dada yetu Wema Sepetu, ambae...
Abdulghafar Idrisa Juma, Mbunge wa Jimbo la Mtoni
Mhe. Abdulghafar Idrisa Juma, Mbunge wa Jimbo la Mtoni tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara iliyosomwa na Waziri mwenye...
Soka la bongo halitaendelea kamwe kwasababu ya ubovu wake kuanzia kwny timu zake unafiku uzandiki ushamba
Hivi hizi simba na yanga n timu za Kenya na Tanzania au? maana ushabiki unazidi Sasa si ajabu jumapili umuone mwana simba anawashabikia rivers hadharan kwa mkapa wampige yanga hii hata watu...
======
Watangazaji wa kituo cha wasafi Baba Levo na Juma Lokole wamezua sintofahamu baada ya kurushiana maneno yanayo hashiria kuhusika na vitendo vya kishoga na ufiraji ambavyo ni kinyume na maadili ya kitanzania!
Baada ya picha za mtoto wa Kajala kusambaa kwenye mitandao ikidhaniwa kuwa...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kutamba na ngoma yake ya Nilonge Nisilonge miaka kadhaa iliyopita, Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) amefariki dunia.
Msiba wa H- Mbizo umetokea katika hospital ya mkoa wa Morogoro alipolazwa kwa wiki mbili kufuatia matatizo ya mgongo.
Mdau mkubwa wa sanaa...
Miezi michache baada ya kuvuliwa umeya kutokana na kashifa ya kudaiwa kuhudhulia sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa mmoja wa wanumme wanaodaiwa kuwa katika mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja, aliyekuwa meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameingia katika kashifa nyingine tena, akidaiwa...
Pamoja na kutumia Nguvu Kubwa sana (yenye Unafiki mwingi) ya kuonyesha kuwa Unampenda Kocha Mkuu wa Simba SC (Boss wako) Roberto Olivieira na kwamba huna tatizo nae tayari wenye Akili na Maono wameshakushtukia na hata Kocha Olivieira nae Kakushtukia na wameamua Kumleta huyo Mtunisia ili aje kuwa...
Mtu akisema "bongo nyoso" inamaana bongo noma, au hatari, au ujanja ujanja mwingi.
Mtu akisema umetoa boko ni kama umeharibu, hukufanya kama ilivyotarajiwa au ilivyozoeleka, sasa je? Kuna uhusiano wa na lile tukio la wachezaji au ni coincedence ?
Michuano ya CAFCC inahitaji mbinu nyingi sana wakati Juma Mgunda ni mzuri zaidi kwenye uhamasishaji.
Ni sahihi kwa Simba kuleta kocha atakayeenda kushindana kimbinu kuliko kuwa na mhamasishaji peke yake.
MZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele.
“Tuna kazi kubwa sana ya kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli, tuna kazi kubwa...
Juma Mgunda atabebeshwa zigo la lawama, ila ukweli ni kwamba Simba ni mbovu. Watu tulisema toka mwanzo kwamba Simba ni mbovu tukaishia kutukanwa.
Njooni Jumamosi Taifa muone Mbeya City atakavyogongwa bao nyingi na Yanga ndiyo mtajua tatizo la Simba siyo kocha, shida ni timu mbovu.
Juma Mgunda...
Hali ya wananchi wilaya ya Moshi , eneo la mwika mamia ya watu wamepatwa na ugonjwa wa hatari wa kuharisha na kutaapika baada ya kutumia maji ya RUWASA.
Kilio hili kimemfikia mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ila hakuhangaika na wananchi Bali amekimbilia kusimamia moto mlima Kilimanjaro.
Wagonjwa ni...
Aliiongoza Coastal Union kucheza fainali ya kombe la FA. Inshaallah mwenyezi Mungu muweza wa yote akimpatia uzima na afya njema siku ya tarehe 16/10/2022 ataiongoza miamba ya soka ya Afrika Mashariki Simba Sc kutinga katika makundi ya ligi ya mabingwa Afrika.
Hakika Juma Mgunda ni dhahabu na...
Amani iwe nanyi:
Nimepokea taarifa za kushtusha kutoka katika chanzo changu cha kuaminika nchini Misri ikieleza kuwa Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud Ibrahim Ibrahim El Khatib ni mfuatiliaji mkubwa wa mechi za Simba Sc na amekuwa akikoshwa na uchezaji wa timu ya Simba toka kocha Guardiola...
Nimewahi kumuuliza mwandishi na mchambuzi mmoja maarufu, kwanini makocha wengi wa Tanzania hawafundishi soka nje ya nchi, jibu nililopata sikuridhika nalo sana. Alinijibu kuwa ligi yetu imekua sana na ni ligi bora afrika mashariki na kati hivyo makocha wetu wanaona bora wabaki hapahapa nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.