Ahlan
Uzi unaenda moja kwa moja kwa kocha Mgunda,nafuatilia mtanange wa simba dhidi ya prisons kupitia azam max nikiwa jijini Ljublijana hapa nchini slovenia.Nikiangalia kikosi cha simba naona wazi kuwa kocha Mgunda anapangiwa kikosi na msaidizi wake Matola. Hivyo ajiandae kabisa kutimuliwa...
Watanzania kwenye suala la kuweka kumbukumbu na takwimu tuna tatizo kubwa sana, kuanzia mtaani Hadi serikalini.
Leo nimekaa nimejiuliza he ni msanii Gani wa Bongo Fleva anayeongoza Kwa kurecord trucks nyingi na zilizokuwa released sijaweza kupata jibu, lakini Kwa mawazo yangu anaweza akawa kati...
Kila alipokuwa akipelekewa mic na waandishi wa habari nchini Malawi Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda hakuonyesha kuogopa au kubabaika au kushikwa na kigugumizi cha ghafla bali alikuwa very calm, comfortable and confident na kukizungumza vizuri. Kama mapungufu ni ya kawaida sana ila...
Habari za mchana huu wadau wote wa jf?
Poleni na mihangaiko ya kutafta pesa. Mtaani kugumu kweli, kila kitu bei juuu😆
Niende kwenye point!
Wilaya ya Nkasi ni moja ya wilaya za mkoa wa Rukwa. Hii wilaya ina uhaba mkubwa sana wa maji. Mito ni mingi ila asilimia 90 ni mito ya msimu mmoja, yaani...
Taarifa ya TFF ndio hiyo, yani hapo ndio wametowa ufafanuzi Sasa ufafanuzi wao unazalisha maswali zaidi kuliko awali.
1. Kuna makocha wamehitimu mafunzo na wana Leseni class A ya CAF, halafu kuna orodha ya makocha 21 akiwemi Juma Mgunda wamehitimu mafunzo lakini hawana Leseni.
Sasa swali la...
Kufundisha timu mbili za ligi moja kwa wakati mmoja wa ligi haikubaliki na sio weledi. Madhara yake ni pamoja na:
1. Juma mgunda ana mapenzi/maslahi na timu mbili za ligi kuu kwa wakati mmoja.
2. Juma mgunda anaweza kupanga matokeo ndani ya ligi kuisaidia Coastal au Simba katika mazingira...
Kiukweli sijajua wanaomsifia huyu mtu wanatumia vigezo gani;
1. Baada ya kulipa bili ya kuonganishiwa maji itachukua hata nusu mwaka kuungishiwa bomba mpaka mitaro inajifukia(mabomba wanasema hamna na hapa rushwa na watu wa stoo ndio kwao kama TANESCO).
2. Wananchi kujichangisha mamilioni ili...
Namkumbuka huyu mwamba kuanzia miaka ya 2002 ,wengi wetu huenda walikuwa wadogo kabisa,,juma k juma,Tanzania one,huyu jamaa amecheza na wachezaji wengi ambao Leo ukiwaona ni wazee,,wakati beki ni bonfasi pawasa,kaseja alikuwa langoni,wakati matola ni mchezaji kaseja alikuwa langoni,wakati Steven...
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia kwenye Jumatatu hii ya Pasaka , Kwamba Mheshimiwa Juma Raibu aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro , kabla ya kung'olewa hivi karibuni , ameanza kampeni kabambe ya kuondoa miundo mbinu yote aliyojitolea akiwa madarakani .
Wakati wa madaraka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Habibu Juma Said Suluo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA). Bwana Suluo anachukua nafasi ya Bw. Gilliard W. Ngewe ambave amemaliza Mkataba wake.
Kabla ya uteuzi huo Bw. Suluo...
Nianze kwa kukupa pole na majukumu mazito ya kulijenga taifa letu.
Mimi kama mwananchi nina maoni au ushauri kuhusu Jaji Dkt. Adam Mambi wa Mahakama Kanda ya Kati DODOMA.
Sina shaka hata chembe na utendaji wake nikili wazi tatizo lipo kupanga ratiba za kazi zake, mtu unasafiri kilomita 500...
Diwani wa Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi Raibu Juma akiongea na Redio Moshi Fm kupitia kipindi cha Darasa mseto ameweka wazi kutoa Dollar 5000 ikiwa atapata video inayoeleza kutetea wapenzi wa jinsia moja (Ushoga) katika sherehe aliyohudhuria.
"Ishu ya kuhudhuria sherehe ya wapenzi wa...
Aprili 11 mwaka huu baraza la madiwani wa halmashauri ya manispaa ya Moshi lilifanya maamuzi magumu ya kung'oa kwenye kiti chake cha umeya,Juma Raibu ambaye ni diwani wa kata ya Bomambuzi .
Miongoni mwa tuhuma zilizomng'oa Raibu kwenye nafasi yake ni pamoja na madai ya rushwa katika utoaji wa...
Hatuwezi kuwa na Mahakama ambayo kazi yake inasikilizia Serikali badala ya kufuata sheria. Kesi za msingi zinachukuwa miaka mingi pasipo ulazima.
Ni wakati wa huyu Professor kurudi kufundisha na kuokoa huu Muhimili muhumu kwa taifa letu. Lakini ni wakati wa kuwa na Jaji Mkuu ambaye katokana na...
Wake wa Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso kutoka kushoto Bi. Zainabu Abdallah na Kauthari Tarimo wakifuatilia mjadala wa hotuba ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2022/2023
Mbunge wa Pangani na waziri wa maji, Juma Aweso leo amefika bungeni na wake zake wawili, wametambulishwa na spika Tulia wakiwa wamekaa pamoja kwa bashasha tele. Meza za Bunge zimegongwa mpaka zinataka kupasuka zikichagizwa na vigelegele kutoka kwa wabunge wanawake, nikajiuliza waheshimiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.