Yaani kama vile jamii ya Tz kwa sasa ilivyokumbwa na wimbi la kutisha la machawa pro max basi kuna hawa viumbe wanaojiita wachambuzi , kwa kweli ile sheria ya degree ianze tu hiyo December labda itapunguza vilaza waliojazana huko wakijipa majina ya soccer pundits
Simba ilipopigwa hamsa hamsa...
SHEIKH HUSSEIN JUMA VICE PRESIDENT WA UNITED TANGANYIKA PARTY (UTP)
Wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika mtu kuitwa kuwa ni UTP ni sawa la leo kuitwa gaidi.
Picha hiyo hapo chini ya kwanza inamuonyesha Mzungu Brian Willis aliyeletwa Tanganyika na Conservative Party.
Hapa anasimamia...
Hahahaha ah vijana sasa hivi naona wanajitahidi
Ari Mpya
Kasi Mpya
Nguvu Mpya
Ehee hata mimi nimeliona hilo toka longi taim
Au siyo Babu Ayubu
Hilo liko wazi
Jamani vijana wapewe nafasi
Si ndio sisi-M
Si ndio sisi-M
Si ndio sisi-M
Ah pisha njia
Tunaingia
Wote pisha njia
Nasema tena kwamba si...
Mamba aliyepo kwenye kina kirefu kuanzia Jumamosi ijayo atakuwa Jimboni Iramba akitembelea kata na tarafa zake kwa ajili ya kupongezwa na wanaCCM kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Fedha na pia kuwashukuru wapiga kura wake wa Chamani kwa kumwezesha kuingia bungeni na hatimaye kuteuliwa katika nafasi...
Akitokea Tumbaku ya Mororgoro na kujiunga na Dar Young African miaka ya 1974 na kuendelea mchezaji huyu nguli Juma Matokeyo semeni mtamlinganisha na mchezaji gani wa sasa duniani watu ambao mlimuona? Leogigar Tenga sema utamfananisha na nani anaecheza sasa hivi hapa nchini na mchezaji huyu Juma...
Na. M. M. Mwanakijiji
Mojawapo ya masimulizi ya kiimani ambayo yalinivutia sana tangu zamani ni safari ya wana wa Israeli kutoka Misri kwenda nchi ya ahadi wakiongozwa na Nabii Musa. Simulizi hili nimelisoma mara nyingi na kila ninapolisoma Napata mafunzo mapya. Hata hivyo mojawapo ya mafunzo...
Jana nilikwenda ofisi ya MORUWASA - Morogoro kufuatilia maombi yangu ya kuunganishiwa maji nyumbani kwangu, niliandikiwa invoice kuwa natakiwa kulipa zaidi ya Tsh 300,000 kwa umbali usiozidi mita 8 toka lilipo bomba (wao wanaita tawi) la mamlaka hiyo ambapo wengi wamechukulia hapo.
Nikawauliza...
HILI NI JUMA ZIMA LA VITABU DUNIANI 5
''Rajabu Ibrahim Kirama Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam''
Mwandishi: Mohamed Said
Mchapaji: Readit Books Ltd Dar-es-Salaam
Ukoo wa Rajabu Ibrahim Kirama wa Machame Nkuu umehifadhi kwanza kichwani historia ya wazee wao kwa simulizi kutoka kizazi...
LEO SIKU YA VITABU DUNIANI 1
"The School Trip to Zanzibar"
Mwandishi Mohamed Said
Mchapaji: Africa Proper Education Network, Dar es Salaam
Hiki kitabu kimechapwa mwaka jana 2020 na kinawafaa sana watoto wa shule za msingi kwa kujifunza Kiingereza na historia ya Zanzibar.
Kupitia kitabu hiki...
Majirani mjitahadhari dhidi ya Kimbunga Kikali kinachokuja kubamiza Dar juma tatu ijayo. Kimbunga kitakuwa na upepo unaovuma at 100 kph
Rare tropical cyclone is approaching one of Africa's most populated cities
By Pedram Javaheri, CNN Meteorologist
Updated 7:51 PM EDT, Thu April 22, 2021...
Kaimu Kocha wa Yanga Juma Mwambusi amesema kitendo alichofanya mchezaji wake Saido Ntibazonkiza kwenye mchezo dhidi ya Gwambina FC ni kutokana na furaha ya kufunga goli kwa sababu hakufunga katika mechi mbili zilizopita.
“Ntibazonkiza alikuwa anafurahia kupata goli kwa sababu mechi mbili...
The other Justices of Appeal shall be appointed by the President after consultation with the Chief Justice, from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of the United Republic as provided for in Article 109 of this Constitution, or from amongst persons who qualify to...
Hii ni baada ya benchi lote la ufundi kutimuliwa.
Ikumbukwe kwamba Mwambusi aliondoka kwenye benchi la ufundi la Yanga kwa sababu zilizotajwa kuwa za kiafya, lakini sasa amerejeshwa kama kocha wa muda.
Hapo vipi!
Nimeshakutana na watu wenye kuamini baadhi ya siku kwenye juma zina mikosi, hivyo hufunga hata kazi zao.
Je, hizi siku zipo na je kuna ukweli?
Sina mengi ya kusema lakini enough is enough Tutu vengere a.k.a Rage aliweza enzi hizo kuna kanjanja moja tu lililokuwa linaivuruga simba na habari z auongo likiwa redio one kwa sasa limeajiriwa kwingine na linaendeleza libeneke lake kama kawaida,Radio one walipigwa stop kusema na kutangaz a...
Taarifa inaonyesha kwamba Kamati ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba imepitisha majina mawili ya kuwania Uenyekiti wa Simba , huku wagombea wengine wakienguliwa (sifahamu vigezo vilivyotumika ) , waliopitishwa ni Mangungu na Juma Nkamia , maana yake ni kwamba kati ya wawili hawa mmojawapo atakuwa...
Baada ya Rotimi kuchafua hali ya hewa huko Insta hatimaye dua za Jux zimekua dua za Kuku, kiukweli wengi hawakutaraji na hata Jux mwenyewe alijua dada yetu anafanyiwa window shopping tu nakuachwa kimasihara ... hatimae limepumzishwa jiwe la magram yakutosha kwenye kidole cha dada yetu , na hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.