juma

  1. Leak

    Juma Jux(Jux) ni Msanii bora wa R &B kwa sasa Tanzania ,ni kweli hana mpinzani?

    Wasalaam wana jamvi. Kiwanda cha muziki tanzania kimekuwa sana na ni wazi kabisa muziki wetu hasa bongo fleva umekuwa mgumu sana. Lakini kwenye miondoko ya taratibu na kubembeleza ni wazi kabisa kumekuwa na ugumu wa wasanii wengi na ni wachache wanaweza kumantain. Lakini ukifatilia trend ya...
  2. Superbug

    Juma lokole ni Nani?

    Huyu mtu namsikia ila simjui je anafanya biashara gani? Na mwenye picha yake plz namsikia tu anaimbwa kwenye nyimbo za Tanzania je ni celebrity?
  3. M

    Simba mstaafisheni Juma Kaseja

    Itakuwa ni jambo la faraja sana kwake maarifa yake ni muhimu kwa bench la ufundi, Manula ni kipa mzuri hatuhitaji kuendelea kuthibitisha hili lakini anahitaji mwalimu atakae kuwa mfano halisi kwake. Kaseja Juma kwa sasa hiv hachezi mpira kuwavutia watu tena anacheza mpira kuwafundisha watu...
  4. J

    Jaji Mkuu Profesa Juma awataka Majaji na Mahakimu kutendea haki Kesi za Uchaguzi ili Mahakama isigeuzwe kichaka cha Wanasiasa

    Akizungumza kwenye kikao cha kutoa elimu ya namna ya kushughulikia kesi za uchaguzi kwa majaji na mahakimu, JM Prof Juma amewataka watendaji hao kutoa haki kwa wakati. Profesa Juma amesema mahakama inapaswa kutoa haki ili isionekane kama tawi linaloweza kutumiwa na Wanasiasa. Semina hiyo...
  5. Jidu La Mabambasi

    Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM umenikosha kwa kumwengua Juma Nkamia wa Jimbo la Chemba, Dodoma

    Hakika kati ya watu walioenguliwa na CCM katika kugombea Ubunge, mmoja wapo wa wananojulikana sana ni Juma Nkamia wa jimbo la Chemba kule Dodoma. Huyu Mbunge amekuwa akijipendekeza kinafiki na kwa kuudhi, kwa Rais Magufuli wazi wazi. Amekuwa akitaka muda wa Urais wa Magufuli uongezwe kwa...
  6. R

    Uchaguzi 2020 Kama juma moja tu la Tundu Lissu kusimama jukwaani akitafuta wadhamini limewafanya CCM watafutane kwa kurunzi, siku 60 za kampeni itakuwaje?

    Kuanzia Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli, mwenezi Polepole na makada wengine ni kama vile wamepigwa ganzi! Maendeleo waliyohubiri kuyafanya kwa miaka mitano yameyeyuka mithili ya theluji kwenye joto la jua! Stigler's, flyover, ndege na SGR zimewekwa kwenye mizani ya uhalisia wa maendeleo ya...
  7. Shark

    Yanga yaachana Rasmi na Kelvin Yondan na Juma Abdul

    Klabu ya Soka ya Yanga imeamua kuachana rasmi na Walinzi wao Kelvin Yondan na Juma Abdul Jafary baada ya kushindwa kufikia maafikiano.
  8. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Rajab Salim Juma Alqushairiyyu kijana aliyegombea Ubunge jimbo la Kinondoni kupita CUF Uchaguzi wa marudio 2018 ametia nia tena

    Kijana aliegombea ubunge jimbo la kinondoni kupita CUF uchaguzi wa marudio 2018 ametia nia tena kurejea uchaguzi mkuu 2020 MH RAJAB SALIM JUMA ALQUSHAIRIYYU Kinondoni Nguvu Yetu Jimbo letu CUF Daima Haina Kufeli.
  9. Influenza

    Zanzibar 2020 Namba 16: Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utalii na Utamaduni Zanzibar, Rashid Ali Juma achukua fomu ya Urais Zanzibar kupitia CCM

    Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utalii na Utamaduni Zanzibar, Rashid Ali Juma amekuwa Mgombea wa 16 kuchukua Fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar
  10. mike2k

    Nani mfalme wa muda wote wa chorus/collabo bongo fleva kati ya Juma Nature na Gnako Warawara

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba kufahamu ni nani mkali wa machorus na colabo bongo kati ya hawa wasani wawili juma nature raia wa temeke na gnako chali ya chuga. juma Nature Juma Kassim Kiroboto 'Nature'. Tukumbuke chorus hizi Ugali Sonia Msela Ugali Radhia Sitaki Demu Kisa Demu Hatuna kitu...
  11. britanicca

    Juma Nature : Club wisk maji na Bia Ukizubaa wanakuchanganyia, ilikuwa Track moja kali sana

    Hapo sasa
  12. Sky Eclat

    U Bunge Viti Maalum Wasanii 2020 reende na Juma Lokole

    Katika kuongeza nguvu za awamu ya tano. Viti Maalum Wasanii kwa pamoja wanampitisha Juma Lokole awe mrusha bendera. Maendeleo hayana chama.
  13. AbdurRahman

    Natafuta kazi nimesomea fani ya umeme

    Habari! Natafuta Ajira nimesomea uhandisi wa Umeme 'MUST', nimemaliza mwaka 2019. kazi yoyote ya Umeme nipo tyr kufanya hata Kama ni wiring n.k,,, Kwasasa napatikana Morogoro 'Msamvu', Nahitaji msaada wenu nipate japo connection niapate kazi ya kusogeza maisha. Simu 0654409392
  14. Pascal Mayalla

    Wito: CJ Prof. Ibrahim Juma, make a historia kwa Mahakama kutimiza wajibu wake kulinda haki. Tumia Suo Moto kui-check Serikali pia ruhusu Pro Bono

    Wanabodi Samahani. Naomba kuanza na kuomba msamaha kwa kutumia maneno ambayo sio ya lugha ya Kiswahili wala lugha ya Kiingereza bali ni maneno ya lugha ya Kilatini kwasababu sikijui Kiswahili chake, wala Kiingereza chake, ni maneno ambayo yanafundishwa hivyo hivyo. Imani Kubwa na Jaji Mkuu wa...
  15. Sky Eclat

    Juma Lokole: Ningepata bahati ya kuwa na Diamond ningejijenga kwanza mimi na kusaidia ndugu zangu

    Juma Lokole "wanawake wanachezea nafasi wanayoipata kwa Diamond..Ingekuwa mimi Ningejijenga Kwanza Mimi na Kusaidia Ndugu zangu" wa Mitandao ya Kijamii JUMALOKOLE Anasema Kuwa Diamond hachezei wanawake bali wanajichezea wenyewe... Wanakimbilia kupata Mimba wakijua ndio Mondi Atawapenda Milele ...
  16. Wilson Gamba

    ANATAFUTWA: Michael Juma anatafutwa na mwanae. Alikuwa askari magereza, mkazi wa Masasi na Mtwara mjini

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, huyu ndugu alikuwa askari magereza katika gereza la Musoma miaka ya 1980 na aliondoka Musoma mwaka 1983. Anatafutwa na kijana wake anaitwa Matiku alimzaa na mama mmoja anaitwa Monika mwenyeji wa Musoma Vijijini,alizaliwa miaka ya 1981.Kwa mujibu wa mama...
  17. britanicca

    Makala: Juma Nature, Sinta walivyozua balaa kwenye uzinduzi wa ‘Ugali’ (TBT)

    Miaka 15 iliyopita, Juma Kassim Nature kutoka Temeke alikuwa moja kati ya wasanii watatu wenye majina makubwa zaidi kwenye mkondo mkuu wa Bongo Fleva. Albam yake ya kwanza, ‘Nini Chanzo’ pamoja na vibwagizo vikali kwenye nyimbo za wasanii wengine wakubwa zilikuwa chanzo. Nature, ambaye...
  18. britanicca

    Kikwete: Niliumia sana kundi la TMK kuvunjika, nilimuita Juma Nature Ikulu akakataa kusuluhishwa

    Katika mazungumzo ya Kikwete na Mwanahabari maarufu alieleza jinsi alivyopata ushindi mwaka 2005, akaeleza mchango wa wasanii katika siasa za Tanzania. Anaeleza kwamba kwa kiasi kikubwa alisaidiwa na kundi la Wanaume TMK kuteka hisia za vijana kwa kipindi hicho. Nililipenda kundi lile...
  19. CHEF

    Profesa Mussa Juma Assad agombee urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Profesa Mussa Assad ni mtu sahihi kuwa Rais wa Jamhuri Ya muungano wa Tanzania, kwa weledi aliouonesha ni kweli Tanzania tuna wasomi na watu makini sana na wasiogopa mtu, Kauli ya Baba wa Taifa ya kwamba tunahitaji vijana jeuri basi huyu ni miongoni mwa zao la baba wa taifa. Ukimtathimini huyu...
Back
Top Bottom