Habari za uzima
Nkauliza tu mbona Hawa wah wanaouza kitimoto wakatili hivyo
Toka tar 5 kitimoto inepanda JUMLA Toka 8000 mpaka 11000
Kawaida Toka 12000-15000
Hivi hamna dini NYIE wauzaji
Mheshimun Mungu huu sio mda WA KUONGEZA bei ya vyakula kabisa
Kundi la nchi za BRICS linaendelea kupanuka, na likiwa sasa limeongeza nchi washirika mwezi Januari mwaka huu wa 2025, baada ya kuingiza wanachama wapya mwaka jana. Sasa kundi hili lina takriban ya nusu ya idadi ya watu duniani na zaidi ya 41% ya Pato la Taifa (GDP), ambapo limekuwa nguvu ya...
Ukiitaji chochote hapo juu mkuu nicheki
Bei zangu ni za viwandani na bidhaa ni uhakika. Pia ukiitaji ushauri kuhusu biashara hizi nipo tayari
Mikoani natuma kwa uaminifu Sana
Whatsup 0764225747
Kwa Mungu yote yanawezekana
Habarini wanaJF, naomba msaada mwenye kujua kuhusu biashara hii anipe abc. Nina mtaji wa laki nne nataka niagize nazi niiuze bei ya jumla kwenye masoko mfn. Ilala, Temeke au BugurunI
Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo ya kazi kwa lengo la kuhakikisha kuwa viwango vya kazi vinatekelezwa ipasavyo.
Jumla ya Amri Tekelezi 1,826 zimetolewa kwa waajiri waliobainika...
Habari za asubuhi wanajamii
Kwa waleo wauzaji wa vijora kwa bei ya jumla naomba kujuzwa bei zikoje niko mkoa mnaweza tuma pia sample za picha kama mko nazo
Habari wakuu.
Husika na mada hapo juu, mimi ni mfanyabiashara napatikana kanda ya kaskazini, najishughurisha na biashara ya duka la nguo za kisasa mchanganyiko za kiume na kike.
Nahitaji msaada kwa mtu yeyote tuingie share tufanye biashara pamoja kwa yeye kuweka mtaji au mfanyabiashara ambaye...
Habari za leo wadau wote wa Jamii Forum
Duka letu maarufu kwa biashara ya vitenge lililoko soko kuu kasulu mjini, kigoma, Tanzania Tuna furaha kuwatangazia kuwa tunazo aina zote za vitenge vikiwemo vitenge kutoka Tanzania, Kongo, Nigeria, Ghana na China (mfano Wax aina zote, Java za Kongo na...
Kwa wale ndugu zangu Wauzaji wa handbags na massimo(kama sijakosea kuiandika hiyo masimo) kwa bei ya jumla naomba kujuzwa bei za jumla handbags medium size pamoja na massimo
Pia naomba kufahamu bei ya jumla kwa pochi kubwa za kike
Unaweza kuziorodhesha dosari zao nyingi tu,lakini mwanamke ndio nguzo ya familia na dunia nzima.Ndio wanaleta furaha,wanapamba nyumba,wanazaa na kulea watoto,ndio nguzo ya kiuchumi ya familia.Tuwape maua yao
Nipo Kibaigwa Dodoma natafuta mtu ambae yupo dar es salaam au Morogoro ambae atakua ananiuzia na kunitumia kwa njia ya basi bidhaa zifuatazo
1. Bahasha no. 3- original na ya kawaida
2. Blubendi ndoo ya lita10
3. Foili
4. Radha za aina mbalimbali kwaajiri ya cake.
Kama upo tayari naomba...
UGUMU WA MAWASILIANO YA BARABARA NA MADARAJA NDANI KATA YA KIBATA WILAYA YA KILWA NI WA KUTISHA.
Kibata ni miongoni mwa kata 23 ndani ya Wilaya ya Kilwa. Kata hii Ina vijiji vinne. Kata hii Ina jumla ya shule nane(msingi 7 na Sekondari 1). Vilevile ni kata yenye dispensary 4 sawa na vijiji...
Habari!
Sisi ni wazalishaji na wauzaji wa mkaa wa kawaida. Tuna vibali vyote vya wakala wa misitu, na mkaa wetu unazalishwa kutoka kwenye misitu endelevu iliyo ruhusiwa kuvunwa.
Gunia zetu zimeshonwa vizuri na haziendi zikidondosha mkaa, tunatumia mifuko mipya na kamba madhububuti kusuka...
Jamaa alijiona na kafinance kake kuwa naye ni mchumi wakati kale ni ka segment tu ka uchumi.
Sasa kila kitu kimenyooka chini ya huyu mwamba wa uchumi. Dolla inashuka thamani dhidi ya tsh kila siku. Mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. Ajira kila kona
Mpina kwa heri ya kuonana.
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Changamoto, Mafanikio, na Mustakabali wa Demokrasia Yetu
Novemba 27, 2024, Watanzania walishiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa lengo la kuchagua viongozi wa vijiji, vitongoji, na mitaa. Uchaguzi huu, kama chombo muhimu cha kukuza ushiriki wa...
Habari za Kazi ndugu wadau..?
Niko mbele zenu kuomba ujuzi wa namna ya kuendesha biashara ya Kuuza Daftari Kwa bei za jumla..
Naomba nisaidie kujua hatua za kufanya ili kufanya kazi hiyo. Pia naomba kujua Nini changamoto kubwa hasa katika biashara hiyo.