Kuna mzigo wangu wa maharagwe ninazo Kg 600 nauza kwa bei ya Tsh 1800.
Usafiri Utalipia mzigo Upo Kasulu Kigoma.
Ni maharagwe mazuri yaliyovunwa Mwaka huu.
Unapoamua kuingia kwenye ulimwengu wa biashara, zipo changamoto kadhaa ambazo lazima
utakutana nazo katika harakati za utafutaji. Changamoto kubwa zaidi ni kujua wapi pa kupata bidhaa kwa bei ya jumla ili uweze kuuza kwa jumla na rejareja.
Najua, ndugu msomaji wa kitabu
hiki, pengine hata wewe...
Habari wa JF.
Kama title inavyojieleza hapo juu nahitaji chimbo ya jeans kkoo kwa bei ya jumla, kuna jamaa niliongea nae leo tuonane kkoo anipeleke matokeo yake hapokei simu ko nimeenda nimerudi empty.
Jipatie ubuyu mtamu sana wa kiarabu ambao unapata kwa ladha tofauti tofauti
Ladha ya Vanilla
Ladha ya Chocolate
Ladha ya Pilipili
Ni mtamu na hauchubui Mdomoni
Call:0752228138
Jumla na Rejareja
Hellow wapendwa nauza nguo za mtumba kali Magauni na tops kali pia.
-Magauni jumla utapata kuanzia sh 2000, 2500 tu hadi 3000 guys vigauni vizuri mnoo ambayo ukienda kuuza unapata faida kama unataka kuanza biashara karibu
Nauza magauni kwa reja reja pia kuanzia sh elfu 7000 hadi 15000...
casual
familia
hello
jumla
kali
karibu
karibuni
kuanzia
machimbo
mbili
mitumba
mtu
mtumba
nafuu
nauza
nguo
nguo za mtumba
nzuri
official
safi
unapata
warembo
Je una butcher la samaki wa maji chumvi(samaki kutoka baharini),tunauza samaki kwa bei ya jumla bei zetu ni nafuu na unalipia pale unapopokea mzigo,mzigo wetu unaipokelea mbagara zakhem, tafadhari fungua hiyo picha uone bei zetu za samaki na pia unaruhusiwa kuuliza chochote
Naomba mods msifute hii thread yangu
Wana jukwaa kila siku nitakuwa na post simu hapa na vifaa vyake pia laptop flat TV na majiko ya gesi ukiitaji chochote nitakuletea .bei ni za jumla na bidhaa zetu ubora umezingatiwa
Nauza jumla na rejareja
Karibuni sana.
Kwa wale wafanyabiashara nawapa bei...
Karibu kupendezesha miguu kwa sendo kali na za kisasa. Kwa 15,000 tu unapata chaguo lako leo.
Kama unataka kwa jumla nakuuzia kwa bei ya punguzo kubwa kuanzia pair 5. Piga simu/WhatsApp: 0683535699.
Katika pitapita zangu nimekutana na hilo jarida la Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) nikaamua kuleta kwenu pia (doing my civic duty) document ni pdf ipo attached ila kwa ufupi naweka picha kwenye gharama zinazotazamiwa kutumika ili kufanikisha hilo jambo (baadhi...
Habari ya muda huu wadau.
Nipo stage ya kuweka tiles, sasa hizi hesabu zinanipa headache.
40×40 - box 65
25×40- box 45
Skirting - box 7
Tiles za tangastone- box 18
Naomba msaada wa kupata namba/connection ya kiwanda cha tile twyford pale chalinze.
Au,
Kujua wholesale price ya tiles za...
WATEJA WANGU WANGUVU NIMEWALETA SIMU ZA NOKIA 106 FULL BOX BEI YA JUMLA TSH 19500 REJAREJA 23000 NIPO KARIAKOO UHURU PLAZA MIKOANI UNATUMIWA KWA UAMINIFU MKUBWA
NIPIGIE 0713861567 / 0760081567
Wakuu,
Kuna chimbo nimelipata pana gape ya vioo vya simu kuanzia viswaswadu hadi Smartphone.
Nimejaribu kusaka maduka yanayouza jumla, naona bei zimechangamka sana. Mfano kioo mafundi simu wanavyouza elf 30, madukani nao wananiuzia bei iyo iyo.
Tupeane connection nitakapopata kwa bei nzuri...
Wazee mpooo! Hiz raba mara ya mwisho tulipata tenda mwanza tukazituma. Kali sana na kuzugia zugia zinafaa
Size kuanzia 32 mpaka 43
Boksi zinakaa 24 na kila moja inauzwa elfu 10 kwa mchina so boksi lake ni 240k
Duka la mchina linapatikana mtaa wa Narungombe na Kongo (Kariakoo) na mchina...
Ndugu zangu, habarini.
Naomba ushauri, nataka kujenga. Nimepigiwa mahesabu kwamba paka nyumba kuisha ninatakiwa mifuko 300 ya cement.
Sasa, nafikiria kununua toka kiwandani kwa jumla ili kupata bei ya jumla.
Swali langu ni kwamba, je nitaruhusiwa kununua toka kiwandani moja kwa moja au lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.