Jinsi wanavyojiona ni timu tishio kisa tu walimfunga simba kwa kubahatisha goli 5-1 , hawa watatolewa kirahisi sana na Mamelod.
Kwa mkapa watapigwa 3-1 na kule south watapiwa kama walivyopigwa na CRB plus goli 1.
Wao wanafikiri mfano wakikutana na simba nusu itakuwa ni rahisi kuitoa simba...
Maskini Watanzania walipa kodi nawaonea huruma mno.
Simlsumu Rais Samia bali naulamu mfumo wetu wa kutawala.
Leo tumeona notice ya wateuliwa wapya na wengine wengi wamepata uhamisho kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine, wengine kutoka wilaya moja kwenda wilaya nyingine.
Hapo fedha...
Wakuu, naomba kwa mwenye connection ya wamiliki au wafanyakazi katika maduka ya Jumla ya Mtaa wa Liberty au popote jijini Mwanza anisaidie.
Lengo kuu nataka kufanya nao mawasiliano wanipe mwongozo wa Kuwa naagiza bidhaa za dukani kutoka mwanza kuja Kisiwani Ukerewe.
Natanguliza shukrani wakuu
Taifa hilo la Afrika Magharibi linakabiliwa na mzozo mbaya wa kisiasa katika kipindi cha miongo kadhaa baada ya Sall kuahirisha gafla uchaguzi wa rais wa Februari 25 saa chache kabla ya kampeni ya uchaguzi huo kuanza.
Sall ameitangaza hatua hiyo ya msamaha kama njia ya kuiunganisha nchi, baada...
Habari ndugu zangu.
Nadhani kila mmoja wetu yupo hai kwa anae soma hapa.
Kama kawaida mr .waziri nazidi kuwarahisishia wateja wangu kupata mzigo wa dagaa kutoka ziwa victoria kwa wale waliopo mikoani.
KWA WALE WALIOPO TUNDUMA SONGWE.
Leo mzigo wa dagaa aina ya full mzigo umefika nenda kachukue...
Habarini wadau. Nauza cement grade 42.5 kampuni ya Camel kwa bei ya 15,000 kwa mfuko. Eneo ni Tabata Saanene. Bei ni nafuu kwa kuwa ninafunga biashara.
Imebaki mifuko 200 tu. Wahini sasa. Risiti ya EFD ipo.
Kwa mawasiliano zaidi, piga namba 0687320462.
Habari zenu Wana JF ...nashida na mawasiliano ya wafanyabiasha ra wa nafaka Aina mbali mbali ikiwemo mchele,karanga,mbegu za maboga,ulezi, na n.k wawe na bei rafiki ili nami niweze kufanya biashara ...Asanteni
Jamani mimi nataka kujua hivi Tanzania inamiliki pesa jumla kiasi gani?. Nataka nichukue jumla ya pesa zote Tanzania nigawe Kwa idadi ya watu nchini halafu tujue wastani kila mtu anatakiwa na kiasi gani.
Hii itasaidia kuweka wazi hata Kwa sheria kwamba kila mtu nchini Tanzania anatakiwa kumliki...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Marco G. Chilya amewataka Wakaguzi wa Polisi, Askari wa vyeo mbalimbali na watumishi raia ndani ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma kufanya kazi kwa kuzingatia haki, weledi na uadilifu katika kutoa huduma bora kwa wananchi ili...
Katika enzi ya teknolojia, ulinzi na usalama wa data zako ni muhimu zaidi kuliko hapo awali. Picha, nyaraka muhimu, na mafaili ya kazini vyote vinahitaji kutunzwa na vizuri kuwa na backup. Na USB Flash Drive, inakupa suluhisho unalolihitaji.
📁 Nafasi Kubwa ya Hifadhi: Hifadhi picha, video, na...
accounting
bei
biashara
computer
duka
fedha
jumla
kumbukumbu
kusimamia
kutunza
maduka
malipo
management
management system
mapato
matumizi
mauzo
mfumo
mwaka
mwezi
offa
pharmacy
rejareja
software
supermarket
system
wamiliki
yako
Habari za asubuhi wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Habari,
Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 20 (zimezidi Lita 1-2 kwa kila dumu).
Mafuta ni masafi na hayana harufu, sio ya kuchemsha na si machungu. Muonekano wake unaita.
Mzigo upo Kibaha mjini.
Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580...
Wanaukumbi,
Tuliambiwa kuwa Jeshi la Israel limechukua umiliki wa Gaza na wanakamilisha vitu vidogo vidogo kumaliza vita, lakini cha kushangaza mbona kila siku tunasikia vifo vya Wanajeshi wa Israel IDF hawajahi kutuonyesha maiti za Hamas zaidi ya kuona Maiti za Watoto na wanawake.
DF...
Hellow habari nahitaji anayeuza maharage ya jano mazuri ya jumla jumla anicheki kupitia 0788768480,ni vizuri kama hutatokea mikoa jirani kama Morogoro na Mbeya itakuwa poa sana napatikana dar es salaam
Habarini members,
Nilikuwa naomba tupeane connection ya chimbo la kununua dawa( dawa za binadamu)kwa bei ya jumla kwa ajili ya pharmacy! Either Kariakoo au popote pale!
Natanguliza shukurani
Wanajamvi wakati tunaendelea kumuona Makonda akiendelea kuuwasha moto na kuendelea kuwa man of the match kuna kitu nimekibaini....!
Maduka mengi ya jumla(wholesale) hapa wilaya ya Bunda yananyonya sana wafanyabiashara wadogo wadogo(wa rejareja),ila mbinu wanayotumia ni kali sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.