UONGOZI wa Young Africans Sports Club umetoa taarifa ya kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Me. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa hafla ya kuipongeza klabu hiyo kwa kucheza mchezo wa Fainali ya Kombe la Shikirisho la CAF, Msimu huu.
Katika taarifa hiyo mbali na mambo mengine...
Kejeli dhidi ya mafanikio ya Simba ya zinakuwaga kubwa halafu pale upande wa pili wanapofikia mafaniko hayo au wanapopata changamoto fulani ambayo Simba waliwahi kupitia ndiyo fahamu zinawajia wanasahau yale waliyowahi kubwabwaja.
Msimu uliopita katika mashindano ya Champions League hatua ya...
Subiri kwanza, bado mapema. Cyprian Musiba Majura Muingereza popote alipo anaweza akawa anachekelea kuwa Membe kafariki, hivyo amenusurika kulipa mabilioni aliyokuwa anadaiwa. Anajidanganya sana. Hii ni sawa na kuchekelea kuruka majivu halafu ukatua motoni. Hii ngoma bado mbichi sana!
Hukumu ya...
Nakubali biashara ni hatua, ila hatua alizopiga huyu muha ni uchawi kabisa. Alikuwa akitembeza sambusa.
Ukihesabu kwenye ile pot yake ni kama sambusa 50-100 kwa siku. Hapo hupata 25k-50k kwa siku, ukiondoa gharama za kuandaa, muda na chakula, lets say kwa siku anapata faida ya 10-20k. Kuumwa...
Natumai muwazima wa afya poleni na harakati za kusaka haki ya tumbo.
Nipo mkoa wa tanga mimezunguka sana kusaka hiyo bidhaa pichani.
Lakini bado sijafanikiwa nahitaji msaada wapi nitapata kwa jumla na kwa bei gani kimsaada zaidi
Natumai nitapata mrejesho wenu mapema sana na asante sana kwa...
Ninauza Alizeti, Mashudu ya Alizeti, Mafuta ya Alizeti.
Pia, ninayo mahindi mapya mwaka huu, na Mahindi ya mwaka Jana. Alizeti ni ya mwaka Jana. Karibuni sana waungwana.
Pia, Kwa ushauri wa kilimo cha Alizeti, Mbaazi, Mahindi, Dengu na karanga
Natambua mpaka mzigo uishe ndo tunaweza pata hesabu za faida na hasara vinginevyo itakuwa tuna assume tu. Ila kama inawezekana unaweza nipatia formula ili nione inavyokuwa.
Kuna hizi bidhaa hapa
Bidhaa zinazokuwa kwenye package moja ila zinauzwa moja moja labda ndani ya package ziko mia na...
Wapo Watoto 18 wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri Kati ya Siku 30 - 60
Yaani umri wa Mwezi Mmoja - Miezi Miwili Kasoro.
Wapo Majike 9 na Madume 9
Wote Wanauzwa
Bei ya Mtoto mmoja wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri wa Mwezi Mmoja ni Tshs. 80,000/= Tu
Tuwasiliane
+255738141339
Text, Call or Whatsapp...
baba
bei
bei nafuu
bunju
christmas
dar
dar es salaam
fursa
hybrid
jumla
kisasa
mama yao
mbegu
mwaka
mwaka 2021
nafuu
nauza
nguruwe
nyama
nyama ya nguruwe
offer
umri
watoto
Mambo yasiwe mengi,
Nahitaji supplier mwenye mfuko ya kilo 25 na kilo 50 kwa bei ya jumla alete quotation yake na contact au physical address tufanye biashara.
Karibuni.
Unawapa kitafunwa gani wageni wako?
Wateja wako wanafahamu kwamba, korosho ni kitafunwa pendwa zaidi?
Una nafasi ya kuzipata leo kwa bei ya jumla, zimeandaliwa vizuri kurudisha kumbukumbu.
Bei ya Jumla;
Ikg =21000/
Nusu kg=11500/
Robo kg=7000/
100g =3000/
Agiza leo nikuletee mpaka...
Hello wana JF,
Karibuni ofisini kwetu kariakoo mtaa wa agrey na msimbazi jengo la canaan complex ujipatie handbags nzuri na za kisasa wa wadada na wamama kwa bei ya jumla na rejareja.
Kwa mawasiliano ni 0626817740
Karibuni sana wana JF naomben sana support yenu
Wasalaam, Umofia kwenu!
Eeh bana eeeh were were mwaka jana nilipata bonge la demu mtoto wa kipare bonge la pisi ukanda huu wa pwani alikuwa mdent wa chuo fulani anatokea kati ya Makanya, Same au Hedaru sina hakika, demu black beauty, trackoo hana mpinzani, kichwa kidogo dogo, hana tumbo...
Kijana wenu hapa nafungua movie library ya kisasa, kudownload movie zote itakua time consuming, mwenye ana collection ya movie kali zote za 2020 to 2022 aliyepo mwanza tunaweza punguziana nikakupa ela kidogo ya wi fi.
Habari wakuu.
Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya sikukuu.
Bila kuwachosha sana, nimeweza ku save jumla ya shilingi milioni 64 hadi sasa, kiasi hiki nimeweza kukisave kuanzia mwezi April mwaka huu kutoka kwenye mshahara wangu. Nipo mkoa wa Dodoma.
So far, nimefikiria kuwekeza katika...
Jana TANESCO wametoa taarifa kuwa kuna upungufu wa Megawati 300 kutokana na ukame na matengenezo yanayoendelea
Sasa nikawaza kama tunazalisha jumla ya Megawati 1600 basi kukitokea upungufu wa Megawati 300 ni umeme mdogo sana ukilinganisha na uzalishaji wetu,
So inakuwaje upungufu wa megawati...
Wadau habari za leo !
Nachukua nafasi hii kuwatangazia biashara ya dagaa wa maji chumvi kwa sampuli zao:
1. Dagaa nyama,
2. Dagaa wakavu/Lukumbu,
3. Lumbunga , na
4. Ng`onda pia wapo.
-Mauzo ni kwa jumla,
-Bei ni poa,
-Msimamizi wa kila kitu ni mimi mwenyewe, naazingatia ubora na usafi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.