Habari Ndugu zangu,
Napatikana Dar es Salaam nahitaji kuanza biashara ya kununua mchele kutoa mikoani kuleta kuuza jumla DSM, hivyo naombeni msaada kwa mwenye uzoefu wowote na biashara hii ili nami kijana mwenzenu nipate kujiajiri katika biashara hii.
Nina mtaji wa chini ya million 5...
Habari zenu wana jukwaa la Biashara.
Nasafiri naenda Mbeya. Wilaya ninayokwenda hakuna maduka makubwa ya simu kama Kariakoo, ila watu wanapenda sana hizi smartphone.
Sasa natafuta muuzaji wa simu ambae ataniuzia simu kwa bei nafuu (bei ya jumla). Nataka ninunue simu mbili tu kabla sijasafiri...
Habari ndugu.
Jipatie viatu vya kike kwa bei ya jumla ya TZS18,000 tu kuanzia pieces 10 chini ya hapo tunauza kwa TZS20,000 tuu. Tunapatikana Ubungo Msewe - Dar es Salaam
WhatsApp: Share on WhatsApp
Simu: 0759891571
Karibuni sana.
UKwa kutumia google Map unaweza kuona hali hali halisi ya sehemu mbalimbali za dunia na kuzifahamau hata bila kufika. Hii imekuwa pia inasaidia watalii kutembelea sehemu fulani za dunia kujihakikishia wanyaoona huko Google maps.
Ukiangalia ramani ya dunia, utaona kuwa Amerika ya Kusini, Amerika...
"Sababu ya Kuungua Moto Soko la Karume juzi ni Wale Mateja waliopo katika vile Vibanda kupenda Kulanduka kwa Mihadarati kama Bangi kila mara Vizimbani hasa hasa nyakati za Usiku" Mdau Bwana Tito.
Taarifa hii ipo katika Ukurasa wa Instagram wa Mtangazaji wa ITV na Radio One Dada yangu Farhia...
Wapendwa poleni na majukumu.
Karibuni Sana nauza mikoba na pochi za kike pamoja na begi kwa bei ya jumla .
Napatikana dar temeke
Karibuni Sana mikoni tunatuma kwa njia ya basi. 
0694 185 384
tuwaombe wenyeviti serikali za mtaa mkoa dsm wamsaidie mkuu mkuu mkoa dsm pamoja na serikali kwa jumla kwenye hili la wamachinga ni ngumu mkuu mkoa kuzunguka kila mtaa kujua wamachinga ambao wamerudi upya katika maeneo ambayo waliondoka wenyewe kwa hiyari .maeneo ayo yote kuna viongozi wapo na...
Habari za mchana,
Ninaomba kwa anayefahamu sehemu duka/ kampuni/ kiwanda ambapo ninaweza pata desktop na laptop kwa bei ya jumla au ya chini zaidi.
Ninahitaji destop 300 na laptop 50 kuna mahali zinatakiwa kuwekwa.
Kichwa cha habari kinajieleza, niunganisheni wadau.. nguo kali mno, nicheki kwa 0738664971 tunauza jumla na rejareja. Mfanyabiashara usipate tabu ya kufungiwa usichojua kuna nini ndani, nimekurahisishia nguo Kali kwa bei poa
Karibuni mjipatie mtumba mzuri kwa bei ya jumla ya shilingi elfu 3 tu ukichukua nguo kuanzia 20.. Rejareja ni elfu 6 ... Namba kwa mawasiliano zaidi ni 0738664971
Ukurasa wangu wa instagram ni bnl_clothes_shoes_bags
Habari njema ni kwamba mikoa yote Bara na Visiwani kupatiwa mashine moja mpya ya Scan CT || Rais Samia Suluhu Hassan anaongeza mashine mpya 29 toka mashine mbili zilizokuwepo tangu uhuru|
===
Tangu Tanganyika ipate uhuru na tangu iwe JMT imefanikiwa kupata mashine mbili ( 2 ) tu za Scan za CT...
HABARI ZA WAKATI HUU WAKUU
Naimani muwazima na bukheri wa afya. Nataka kuuliza ni wapi nitapata vinywaji vya jumla(pombe hususani). Haswa vinywaji kama local beers na hivi vikali.
Kuachana na Manzese ningependa kujua wale wa manzese wanapatia wapi? Na je! Hawa sales representative wa makampuni...
Habari wadau.
Nategemea kufungua kibanda cha kuuza vifaa vya umeme maeneo ya Mkuyuni Mwanza hivi karibuni.
Kwa mnaojua machimbo ya kupata mzigo wa uhakika kwa bei nafuu naombeni msaada wenu.
Asante.
Nawasalimu wanajukwaa!
Natatizwa na Jambo kuhusu mkopo wa benki Fulani, itakapolazimu nitaitaja.
Mimi ni mtumishi wa umma ktk halmashauri Fulani, nimeomba mkopo wa wafanyakazi kwa makato ya sh 138000 kwa Kila mwezi kwa muda wa miaka 8.
Ukizidisha sh 138000 kwa miaka 8 ni jumla ya sh isiozidi...
Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari
picha chini inaonesha jumla ya gharama kwa baadhi ya gari tulizoagiza kwa mwaka huu 2021. Hivyo ukihitaji kumiliki gari yako kutoka nje inaweza kugharim wastani wa gharama hizo hapo chini.
Habari zenu wadau?
Nimeona nije na kauzi haka ili niweze kupambanua uelewa.
Ninachokijua na ambacho kinaandikwa kwenye machapisho mbalimbali ni kwamba Tanzania kuna makabila zaidi ya 120. Sasa ukisema zaidi ya, huwa haioneshi idadi halisi ya makabila hayo.
Naomba mwenye uelewa atujuze idadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.