Tunauza samaki aina ya sato kutokea Ziwa Victoria..
Usafiri kutoka Mwanza hadi Dar juu yetu.
Tunauza kwa bei ya jumla tu, kuanzia kilo 50.
Bei:
Bei kwa kilo moja ni Tsh 8,500/-
Malipo:
Utalipia mzigo ukifishakufikia ulipo.
Location:
Tunapatikana, Banana Dar esalaam.
Delivery:
Tunafanya...
Salaam Familia
Napenda kuuliza hizi ID Holders zinapatikana bei gani kwa jumla.
Wana Print kwa bei gani kwa jumla wanao Print.
Wauzaji wa rejareja wanuzaje.
Maswali
Wananunuaje Kwa jumla
Wana Print beigani jumla
Wanauzaje wauzaji wa rejareja
NB: UDSM...
Nawasalimu wote.
Mimi ni kijana mjasiriamali ninaetarajia kufanya biashara ya jumla ya vitu vya dukani(Arusha&Moshi) lakini ningependa kupata mawazo na ushauri namna ya kuagiza vitu hivyo kutokea Dar kuja mkoani.
Uzoefu wa biashara hii ningeupata kutoka kwenu ningeshukuru pia. Vitu...
Vyama vya upinzani tunapokua tunalilia demokrasia hapa Tanzania huwa tuna maana gani iwapo kwenye vyama vyetu tu hatuna demokrasia.
Leo viongozi wa vyama vya siasa Tanzania wana combined leadership period of more than 50 years. Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha mada hapo juu, Lipumba alipewa...
GREAT DISTRIBUTION AND MARKETING SERVICES iliyopo Arusha inanunua mayai kwa bei ya 5500 kuanzia trei 100.
Tupo Arusha Mjini
Kama una mayai wasiliana kwa namba zifuatazo 0622887399 au 0622115570
Karibuni
Wauzaji wa vifaa vya umemekwa jumla na rejereja naomba kufahamu bei ya vitu hivi nataka niviongeze dukani kwangu.
1-Majiko ya umeme.
2-Pasi
3-Hita
4-Blenda zakusagia juisi.
Mwenye kuuza hivi vitu kwabei ya jmla naomba anipe mawasiliano na bei zake.
Hello JF,
Moja kwa moja kwenye bandiko
Mimi ni mmoja wa wamiliki wa Duka la Jumla kiukweli hi biashara inalipa sana hasa inalipa faida ya milion 1.5 kwa mwezi kabla ya kutoa malipo ya wafanyakazi na Kodi ya pango nabaki na 600k au 700k Kama faida, kwa Duka moja.
Hivyo kutokana na biashara...
Wakuu natumaini mu wazima.
Natafuta mawasiliano na wauzaji wa bia kwa jumla pale Dodoma mjini. Kama yupo yeyote humu au kuna mtu anaweza kuniunganisha na muuzaji yeyote tafadhali nitumie namba ya simu niweze kuwasiliana nao kibiashara.
Unaweza kuituma hapa au kwenye PM.
Natanguliza shukrani...
Hello JF Members,
Natumaini mnaendelea vizuri, naomba msaada kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji connections ya kupata mtu anayeweza niuzie mafuta ya jumla/alizeti au kuniunganisha pia, napatikana Dar.
Nitafurahi kwa mchango wenu kwangu, najua nitapata msaada.
PM ipo wazi,
Baadhi ya mahitaji ya wadau:
Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani.
Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
Habari wakuu poleni na majukumu ya kujenga Taifa Mana wazee tunapambana paka inafikia muda unasema sijui niende kigoma kucheki nyota kwanza[emoji16]
By the way nilikua na mission za kununua samaki na kwenda kuuza pale makambako samaki nawatoa bonde la mto kilombero sehemu moja inaitwa gundu...
Serikali imesema idadi ya walimu wa shule za msingi na sekondari walioajiriwa ni 8,000 pekee tofauti na 13,000 inayolalamikiwa na wadau. Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt Laurean Ndumbalo amefafanua kuwa katika kibali cha ajira za walimu elfu 13 alichotoa Rais...
Wadau wa biashara ya samaki naombeni msaada wenu. Ninataka kuanzisha bucha la samaki lakini kuna mambo kadhaa sijapata taarifa zake kamili hivyo naombeni msaada wenu.
1. Ninaweza kuwapata wapi kwa jiji la Dodoma?
2. Ni vibali (nyaraka) gani natakiwa kuwa nazo kufungua bucha hili?
Ahsanteni...
Wasalam wapendwa wa Jf.
Nahitaji sabuni za kuogea aina ya ALFA kwa bei ya jumla. Muuzaji wa jumla wa sabuni hizo alieko Dar naomba ani dm tufanye biashara. Au kama unafahamiana na muuzaji wa jumla wa sabuni hizo tafadhali niunganishe nae. Niko Moro.
Shukrani.
Poleni sana majirani, ila hii Corona imewaonyesha uwezo wenu na udhahifu wenu kama nchi katika kukabiliana na majanga, sasa ninadhani kwa wakenya wengi wanajua kwamba kwa kipindi kirefu walikua wanadanganywa na viongozi wao kuhusu uwezo wa Kenya ukilinganisha na majirani wake.
Watu 17 wamathibitishwa kufariki kwa #COVID19 na kufanya idadi ya waliofariki kufikia 1013 nchini humo
Wizara ya Afya ya Kenya imesema watu 685 wamekutwa na maambukizi ya #CoronaVirus na kufanya walioambukizwa kufikia 55,877
Watu 1,271 bado wapo hospitalini wakipatiwa matibabu huku wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.