Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu ametembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) ambapo kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo Ummy Mwalimu amepokea msaada wa vifaa tiba vya upasuaji kutoka Jumuiya ya St. Roch ya nchini Uingereza wenye thamani ya Th. 3 bilioni.
Katika...
Uamuzi huo umechukuliwa wakati huu Gabon ikiwa chini ya utawala wa Kijeshi ambao ulimtoa madarakani Rais Ali Bongo.
Uamuzi huo umetolewa na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Madola huku wakitoa hoja kuwa Gabon inatakiwa kufanya uchaguzi haraka iwezekanavyo.
Jeshi lilimwondoa Bongo...
Mzuka Wanajamvi!
Watu kama hawa Kanye West wanaweza kuwa na hulka ya diplomasia na ushawishi wa kuzaliwa.
Tuliona jinsi Denis Rodman alivyokaribishwa na kim North Korea na kiaina kulegeza kwa mbali uhusiano na Marekani.
Kanye West anaweza kuwapatanisha Putin na Zelensky wakakaabmeza moja na...
Bunge la Tanzania Agosti 31, 2023 limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012 ambapo pamoja na mambo mengine, itaondoa vikwazo vya kikodi na visivyo vya kikodi kwa wafanyabiashara wa Tanzania katika nchi za jumuiya hiyo.
Akizungumza na...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012.
Itifaki hiyo imeridhiwa Agosti 31, 2023 Bungeni jijini Dodoma na Wabunge wa Bunge hilo ambao walitoa maoni na mapendekezo mbalimbali yaliyolenga...
Kongamano la tatu la Amani na Usalama kati ya China na Afrika lenye kauli mbiu ya “Utekelezaji wa Mpango wa Usalama wa Kimataifa, Kuimarisha Mshikamano na Ushirikiano kati ya China na Afrika” linafanyika mjini Beijng, na kuhudhuriwa na zaidi ya wajumbe 100 wakiwemo viongozi wa majeshi ya nchi za...
Hapo Vatikani, Marekani, Ulaya, Sao Paulo, HongKong na maeneo mengine duniani wakatoliki huwa wanautamaduni Kama hapa nyumbani kukutana kila jumamosi asubuhi kusali .
Na Kama mtu hashiriki siku akifariki hapati Misa maalum kanisani?
Lidumu kabisa katoliki la mitume
Helo Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) Wameshutumu Vikali kile wamepita Undumilakuwili na Ukosefu wa Uadilifu Kwa Wanaopinga mkataba wa Bandari kwa kile wameita kugumbia macho Mikataba ya hovyo iliyowahi ingiwa hapo kabla.
---
Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar...
Wakati mkutano wa 15 wa viongozi wa BRICS unaendelea mjini Johannesburg, Rais Xi Jinping wa China na mwenzake Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini leo wataongoza mazungumzo ya viongozi wa China na nchi za Afrika, na kuwa pamoja na wakuu wa nchi za Afrika waliohudhuria mkutano huo kujadiliana kwa...
Na aliteuliwa na Pontiff ( Pope ) Mwenyewe kutokea kule kule kwa Wenye dunia yao Vatican ambao Wanaogopwa mno na Marekani na Israel.
Endeleeni tu Kujichanganya sawa?
Umoja wa Afrika (AU) umeridhia kumuunga mkono Spika wa Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) kuwa Mgombea pekee kutoka Bara la Afrika wa nafasi ya Urais wa Jumuiya ya
Mabunge Duniani (Inter-Parliamentary Union-IPU).
Uamuzi huo ulifikiwa katika Mkutano wa 43...
Upande mmoja wa Tanzania sasa ni rasmi mwaka mpya wa Dini fulani itakuwa ni siku ya mapumziko.
Sasa basi, kama imeweza kuwa hivyo ndani ya Tanzania, kwa nini TEC na Jumuiya ya Kikristu wasidai mapumziko nao siku ya mwaka mpya wa Kikristu?!
Kanisa la Roma kwa mfano, linao mwaka mpya wa Kanisa...
Jukwaa la kila mwaka ya Uhuru wa Mtandao(internet) Barani Afrika (FIFAfrica) iliyoandaliwa na Ushirikiano wa Sera za Kimataifa za Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa Afrika Mashariki na Kusini (CIPESA) itafanyika Dar es Salaam, Tanzania kuanzia tarehe 27 hadi 29 Septemba 2023.
Mwaka huu...
Mary Chatanda, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (Taifa)
Leo mchana wa tarehe 03 Julai 2023, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (CCM), Mary Chatanda, amehutubua Taifa kupitia TBC, akiwa mkoani Njombe.
Ameonyesha dhamira ya kupangusa “uchafu” unaotishia kuzima nyota ya Rais Samia.
Lakini mbinu aliyoitumia ni...
Tarehe 1 Julai mwaka huu ni kumbukumbu ya miaka 102 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC. Katika kipindi cha karne iliyopita, CPC kimewaongoza Wachina kufikia maendeleo ya kihistoria, na kuiendeleza China, iliyokuwa maskini na dhaifu, kuwa nchi ya pili kwa uchumi mkubwa...
VIKWAZO 10 VYA KIBIASHARA KUONDOLEWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimekubaliana kuondoa vikwazo kumi vya kibiashara visivyo vya kiforodha (NTBs), huku vikwazo nane vikiendelea kushughulikiwa, na vikwazo vingine vipya vinne vimewasilishwa ili...
WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO AMEJADILI MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA TAASISI ZA DINI MBALIMBALI
Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania na Uongozi wa Jumuiya ya Mabohora Tanzania tarehe 13 Mei, 2023...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. #PindiChana amemteua Ally Mayay Tembele kuwa mwakilishi wa Tanzania Katika Bodi ya Ushauri wa Michezo ya Jumuiya ya Madola (CABOS) kwa miaka 3.
Ally Mayay ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini, ataiwakilisha #Tanzania katika Bodi...
MHE. JULIANA SHONZA APOKEA VYETI KWA KUTAMBUA MCHANGO WAKE KATIKA JUMUIYA YA WAZAZI CCM
Mbunge wa Viti Maalumu CCM Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Danieli Shonza amepokea vyeti viwili vya shukurani kwa Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Ndugu Gilbert Kalima. Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Songwe...
Inasikitisha sana kwa taasisi kubwa ya chama chetu kutokemea na kusahihisha upumbavu kama anao fanya huyu naibu waziri wa maji kwa wanawake wa mkoa wa mbeya.
Mimi kama miongoni wa wajumbe wa mkutano mkuu wa wanawake niliitikia wito wa jana kwenda pale tughimbe kwamba tumeitwa na mbunge wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.