jumuiya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Jumuiya ya Bonde la Usangu yamtaka Balile kuomba radhi kabla ya haijamshtaki

    Jumuiya Ranchi hizo (Uraa) imepinga taarifa ya kuhusika kwake na operesheni zinazozuia maji kuingia kwenye Mto Ruaha Mkuu, na kutishia kumshitaki Deodatus Balile aliyewahusisha na sakata hilo. Mapema wiki hii kwenye hafla ya mazingira mbele ya Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango mjini Iringa...
  2. BARD AI

    Mwenyekiti wa Jumuiya wa Wazazi CCM Dar awakataa "Machawa"

    Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi mkoa wa Dar es salaam, Khadija Ally Said amekataa tabia ya makada wa chama hicho kumsifu hovyo (uchawa), huku akiwataka wafanye kazi kwa ushirikiano bila kujiona miungu watu. Amesema kufanya hivyo kutasaidia kufanikisha utekelezaji wa dira ya jumuiya hiyo...
  3. CM 1774858

    UTEUZI CCM JUMUIYA: Chama cha Mapinduzi chateua wagombea nafasi ya Taifa katika Jumuiya zake zote, hawa hapa walioteuliwa

  4. Analogia Malenga

    Soma mashairi ya Wimbo wa Jumuiya Afrika Mashariki (Jumuiya Yetu)

    Haya usipate tena aibu ukienda kwenye vikao vya maana kwa kushindwa kuimba wimbo wa Afrika mashariki. Kariri Mashairi haya ukienda sehemu kwenye hiyo kitu unaimba. Ubeti ya kwanza Ee Mungu twaomba uilinde Jumuiya Afrika Mashariki Tuwezeshe kuishi kwa amani Tutimize na malengo yetu. Kiitikio...
  5. L

    China yajizatiti katika kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja

    Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umemalizika hivi karibuni. Mkutano huu una umuhimu mkubwa kwa Wachina na hata jamii ya kimataifa. Akitoa ripoti katika ufunguzi wa mkutano huo, Xi Jinping alisema, China daima imeshikilia malengo ya sera yake ya kigeni...
  6. G

    Nashauri Rwanda iondolewe kwenye kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Kagame ni kiongozi kama rais wa urusi, ni mtu anayependa na kujivunia vita. Jumuiya ya Afrika Mashariki ilifanya makosa makubwa kuiruhusu Rwanda kujiunga nayo. Sasa ni wakati muafaka wa viongozi wa EAC kuacha unafiki na kuifukuza Rwanda ili tushi kwa amani
  7. 2019

    RC dhoofu: Jumuiya zimebaki na kina mama tu tena wazee

    Kwa sasa nyumba nyingi za ibada zinakimbiwa na waumini, hii unatokana waumini kuchoshwa na mienendo ya kanisa ambayo ni tofauti na lilichoachwa na mitume. Jumuia inabaki na wabibi tena wachache sana hata kupita mtaani kupeleka msalaba nyumba nyingine wanaona aibu. MAMBO YANAYOCHOSHA Nipokuwa...
  8. GENTAMYCINE

    Ni Mkatoliki 100% ila hizi ni sababu zangu za kwanini Sihudhurii na Sitohudhuria Jumuiya za kila Jumamosi....

    1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu. 2. Jumuiya imekuwa ni sehemu za Kuchunguzana Kimaisha. 3. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Masutano. 4. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Wanaume Kutongoza na Wanawake kutafuta wa Kuwachapa Nao ( Kuwabandua ) 5. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Kutishana kuwa...
  9. L

    China na Afrika zimekuwa jumuiya yenye mustakabali wa pamoja

    Nusu karne iliyopita, Wachina wapatao elfu 50 wake kwa waume walikwenda Afrika wakiwa wamejawa na moyo wa urafiki na kufanya kazi bega kwa bega na watu wa Tanzania na Zambia kujenga Reli ya Tanzania-Zambia (TAZARA). Zaidi ya Wachina 60 walipoteza maisha yao kwa kazi hii. Katika ziara yake ya...
  10. L

    China yataka maendeleo ya pamoja duniani huku ikijenga ukaribu wa zaidi kati ya Jumuiya ya China na Afrika

    China yataka maendeleo ya pamoja duniani huku ikijenga ukaribu wa zaidi kati ya Jumuiya ya China na Afrika NA BRYAN OTIENO Ushirikiano kati ya China na Afrika katika zama mpya ndiyo njia pekee ya China na Afrika kupata maendeleo ya pamoja. Ushirikiano huo umeweka msingi imara zaidi wa nyenzo...
  11. peno hasegawa

    Msele mwenyekiti mpya Jumuiya ya Wazazi CCM Hai kwa kumshinda mteule wa saashisha Mafue

    Mbunge wa Jimbo la Hai leo tar 25.9.2022 amepata pigo baada ya mjumbe aliyekuwa anampigania kushindwa na mr Msele kwenye jumuia ya wazazi ccm Hai.
  12. Pascal Mayalla

    Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki-3: Ujue Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Kwa Maslahi ya Taifa, Jumapili 18/09/2022 Kazi inaendelea Kwa Maslahi ya Taifa, inaendelea kuhusu Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki, leo nikijikita kwenye Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, nikiwapeleka sura kwa sura. Sura ya kwanza ni tafsiri tuu maneno, hii nimeiruka na kuanza na sura ya...
  13. Pascal Mayalla

    Sababu ya Kuvunjika EAC-I, Kuundwa Upya EAC-II,"The Coalition of The Willing" Kujimwambafay na Jinsi JK Alivyoiokoa Jumuiya Isivunjike Kwa Kujishusha!

    Wanabodi, Kazi Inaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa, Jumapili ya Leo, 11 September Kwa Maslalahi ya Taifa leo, inaendelea na sehemu ya pili ya Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki na Fursa za Mtangamano. Wiki iliyopita nilianza kwa kuitambulisha Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC na kusema hii ni Jumuiya...
  14. DENG XIAOPING

    Tanzania tujitoe Jumuiya ya Madola

    - Habari za muda huu wana jamii wenzangu, natumai ni njema. - Nilikuwa na dukuduku kuhusu uwepo wa taifa letu la Tanzania Jumuiya ya Madola, dukuduku langu limezaa maswali kadhaa yenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu wana jamii wenzangu. 1. Kwanini Taifa la Tanzania lipo Jumuiya ya Madola? 2...
  15. Dr Msaka Habari

    Jumuiya ya Khoja Shia Ithnasheri yaziomba taasisi nyingine kujitoa kuchangia damu ili kusaidia wagonjwa wenye mahitaji

    Na. Mwandishi Wetu, Dar Jumuiya ya Khoja Shia Ithnasheri kimeomboleza kifo cha Mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW), Imam Hussein (AS) aliyeuawa kikatili huko mji wa Kerbala nchini Iraq na Jeshi la Yazid. Ambapo umeunga mkono uchangiaji wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama , Kampeni ya Kuhamasisha...
  16. M

    Tutumie sarafu za mtandaoni Cryptocurrency au Tutumie sarafu moja ya jumuiya ya Afrika Mashariki?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la Benki Kuu ya Tanzania jijini Mwanza, aliitaka Tanzania kujiandaa na matumizi ya sarafu za mtandaoni au Cryptocurrency. Ambapo alitoa wito kwa Benki kuu ni vema waanze kufanya kazi za maendeleo...
  17. B

    Uganda yapinga Benki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa na Makao Makuu Tanzania

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Uganda ambaye pia ni waziri wa EAC Bi. Rebecca Kadaga apinga wazo hilo kwani Tanzania tayari ni makao makuu ya taasisi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Uganda ina Taasisi 3 za Jumuiya ya Afrika Mashariki zenye makao yake makuu Uganda. Jumuiya ya Afrika...
  18. Melubo Letema

    Kutoka Jumuiya ya Madola : Njaa zinabadili Upepo wa Mbio za Uwanjani Hadi Marathon

    Bofya Hapa Kumsikiliza... Njaa zinabadili upepo wa Riadha Mwanariadha wa Mbio za uwanjani, Mita 5000 ( Track and Field) Faraja Lazaro, ameshauri wahusika wa Riadha, wawekeze kwenye mashindano ya Uwanjani , Pamoja Serikali kuweka fungu Ili Wanariadha wasihame kwenda kwenye Marathon, ambapo Pesa...
  19. Melubo Letema

    Tanzania tumeambulia Medali 3 Jumuiya ya Madola Uingereza

    Baada ya Medali ya Kwanza ya Fedha kutoka Kwa Mwanariadha Alphonce Felix Simbu aliyoipata kwenye Mbio Ndefu Marathon Tarehe 30/07/2022, Leo Jioni Tanzania imehitimisha ngwe ya ndondi kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwa kupata medali mbili za shaba baada ya bondia wake wa pili Kassim...
  20. Roving Journalist

    Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza

    DUA KWA VIJANA WETU Leo Jumamosi Agosti 6, 2022 Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza, wakati mabondia wake Wawili na wanariadha idadi hiyo hiyo wakiingia dimbani kupambania medali. Kwa upande wa ndondi...
Back
Top Bottom