Tarehe 1 Julai mwaka huu ni kumbukumbu ya miaka 102 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC. Katika kipindi cha karne iliyopita, CPC kimewaongoza Wachina kufikia maendeleo ya kihistoria, na kuiendeleza China, iliyokuwa maskini na dhaifu, kuwa nchi ya pili kwa uchumi mkubwa...