jux na priscilla

  1. Waufukweni

    Jux ajibu onyo la Wanigeria, akana kumchumbia Priscilla

    Staa wa muziki, Jux, amerudi bongo usiku wa kuamkia leo, Septemba 5, akitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere akiwa na mpenzi wake Priscilla Ajoke, mtoto wa mwigizaji mkongwe Iyabo Ojo kutoka Nigeria. Hivi karibuni, wawili hao walikuwa Nigeria wakijirusha kwenye party ya...
Back
Top Bottom