jux na priscilla

Juma Mussa Mkambala (born September 1, 1989), known professionally by his stage name Jux, is a Tanzanian artist and songwriter.
Jux's music is a blend of RnB, Bongo Flava, and Afrobeats, with some of his most popular songs consisting of "Enjoy" "NitasubirI," "Fashion Killer," "Sugua," "Juu" and "Nidhibiti", each growing his household name in Tanzania and East Africa.
Since his debut, Jux has collaborated with a variety of African musicians, including Diamond Platnumz, Vanessa Mdee, Joh Makini, Zuchu, Gyakie, Bien, Marioo, and many others.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Priscilla Kashakuwa Mswahili Wabongo Mtakoma; Aweka Historia Usiku wa Hina wa Zuchu, Akicheza Kibao Kata

    Mrembo Priscilla, ambaye pia ni mke wa mwanamuziki maarufu nchini Juma Jux, ameonekana akicheza Kibao Kata. Tukio hilo lilijiri kwenye sherehe ya Usiku wa Hina iliyoandaliwa na msanii Zuchu, sherehe iliyokusanya safu ndefu ya wasanii, staa na watu maarufu wa tasnia ya burudani nchini Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Nigeria Yatoa Amri ya Zuio Kwa Muigizaji Lizzy Kutom-post Mtoto wa Jux na Priscilla

    Mahakama Kuu ya Jimbo la Lagos nchini Nigeria imetoa amri ya muda inayomzuia muigizaji wa Nollywood, Liz Anjorin, kuchapisha au kusambaza picha na maudhui yoyote yanayomhusu mtoto wa Priscilla Ojo na msanii Juma Jux, aitwaye Rakim, kwenye mitandao ya kijamii . Amri hiyo iliyotolewa kufuatia...
  3. JamiiForums Tanzania Jux na Priscilla wamburuza Mahakamani Lizzy Anjorin, auzuiwa kupost mitandaoni kuhusu Wao na Mtoto wao Rakeem

    Mahakama Kuu ya Jimbo la Lagos, Nigeria, imemzuia mwigizaji Lizzy Anjorin Lawal kuchapisha au kuweka maudhui yoyote kuhusu Priscilla Ojo, Juma Mkambala na mtoto wao, Rakeem Mkambala, kwenye mitandao yake ya kijamii. Mahakama hiyo pia imemzuia kusambaza au ku-post picha za Rakeem, hadi pale...
  4. JamiiForums Tanzania Picha: Jux na Priscy watarajiwa kupata mtoto wa kwanza. Waliwezaje kuficha muda wote huo?

    Wakuu, Sema kuna watu wana siri jamani. Mbona kwenye harusi hakuwa hivi? Kwa jinsi wanavyopenda shughuli hawa wawili unaweza kuta BABY SHOWER ikafanyikia Nigeria na Tanzania. Ngoja tuone!
  5. JamiiForums Tanzania Jux ajibu onyo la Wanigeria, akana kumchumbia Priscilla

    Staa wa muziki, Jux, amerudi bongo usiku wa kuamkia leo, Septemba 5, akitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere akiwa na mpenzi wake Priscilla Ajoke, mtoto wa mwigizaji mkongwe Iyabo Ojo kutoka Nigeria. Hivi karibuni, wawili hao walikuwa Nigeria wakijirusha kwenye party ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…