Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.
Hili ni bandiko la utabiri,
Hii tume haina maisha marefu, serikali itaibomoa kabla ya mwaka 2030.
Ujio wa NIDA umeleta changamoto kwa NEC sababu kitambulisho cha mpiga kura hakina matumizi mengine ya muhimu tofauti na kupiga kura, lakini NIDA ndio habari ya mjini yaani ni kama maji lazima...
Kwetu bwana , kulikuwaga na pikipiki ya babu, miaka hiyo mzee alishindwa kulitengeneza, likawa limekaa tu, sasa linalazwa ukumbini.
Asubuhi mnaamka nalo kulitoa kwanza liwapishe, jioni ndo kitu cha mwisho kuingizwa, hata kama umelala bahati mbaya mzee atakuamsha ukaingize piki piki yenu.
Basi...
Kwa Sasa CCM siyo tena chama cha Siasa bali ni kundi kubwa la watu linalotumia Siasa kujitajirisha.
Wakati wa enzi za Ali Hassan Mwinyi akiwa Mwenyekiti (1993-1994) wa chama hicho, mmojawapo wa waasisi wa chama hicho, Mwalimu Julius Nyerere alisema " CCM imegeuka kuwa kama kokoro, inabeba kila...
Marekani imefanya utafiti na kugundua ya kuwa jumla ya bataliani 5 za jeshi la IDF zilikuwa zikiwafanyia uhalifu mkubwa wapalestina kabla kuzuka vita vya Gaza.
Miongoni mwa bataliani hizo ni ile ya wayahudi wahafidhina la Netzah Yehuda ambayo ilihusika na kumuua mpalestina Omar Assad, ambaye...
Mimi najutia nilifanya investment badala ya kufanya savings.
Mwisho wa siku biashara zimekufa sina savings hata moja.
Najutia kutonunua viwanja pesa yote nikaweka kwenye miradi ambayo yote imekufa.
Ongezea tujifunze
Naandika ujumbe huu kwa masikito makubwa juu ya Kauli zako ulizozitoa kwenye mkutano wa ndani wa viongozi wa CCM pale Tarafani Kanadi Wilaya ya Itilima siku ya Tarehe 25.4.2024 kuhusu Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa.
Umeutumia mkutano huo wa ndani wa Viongozi wa CCM Itilima badala ya...
Mimi sio mchoyo nawasanua vijana.
Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja.
Mambo ya customer care, location, research, demand and suply watakazokuambia humu hazina nguvu huku mtaani ziache...
“Kama mnavyojua hali ya wenzetu [Somalia] haiko vizuri sana, kwahiyo tumewahakikishia kuwaunga mkono kwenye kujenga uwezo wa wao kama nchi kujilinda wenyewe.” – Rais Samia Suluhu
Sasa nchi yetu tumekwisha iendeleza na kuilinda vya kutosha sasa tuna vuka kwenda kuwajenga na kuwaendeleza wengine...
Nchi kumi na nane zimejaribu kuwalaghai viongozi wa Hamas kwamba waachie mateka wote ilionao.
Hata hivyo nchi hizo zimekutana na kigingi kutoka viongozi hao wakisema ili mateka hao waachiliwe ni lazima kwanza vita visimame na Israel iondoke Gaza sambamba na watu kuruhusiwa kurudi majumbani...
Wanaokuacha kwenye mahusiano wengi walipanga hivyo hata kabla ya hilo kosa wamelotumia kama sababu
Mara nyingi anayeachwa anakuwa na msongo wa mawazo na kujiona asiye faa kwenye hii Dunia na wengine huenda mbali mpaka kujiona wasio na thamani yoyote, je nawe umewahi kuwa hivyo baada ya kuachwa...
Salaam,Shalom!!
Ndugu mmoja akapita Kwa jamaa zake katika eneo alilokuwa akifanyia biashara, akawashirikisha kuwa amepata mchumba na ataoa hivi karibuni, hivyo anaomba michango Kutoka Kwa wadau.
Jambo Hilo likawa kheri masikioni mwa Rafiki zake. Ndugu huyo, akachangisha michango pesa nyingi...
Timu ya Yanga imeweka bango kubwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam linaloonesha matokeo ya jumla ya kipigo walichotoa kwa mnyama msimu huu.
Kwa mechi zote mbili za msimu huu klabu ya Yanga Afrika imeisulubu Simba jumla ya magoli 7-2 kama inavyoonekana kwenye bango hapo..
Vipi maoni yako? Je...
Majuzi gari langu lilipata shida. Nilianza kupita maduka ya spea kutafuta spea za gari. Nilishangaa kuona taa tu ya baadhi ya magari zianauzwa hadi milioni 1.5. Tena si magari ya bei mbaya kwamba ikiwa alinunua gari milioni 100 hashindwi taa ya 1.5 m. Baadhi ya magari ni ya bei ya kawaida 15-30...
1. Timu ibadili njia ya Kupitia hasa Kuingia Uwanjani kwani tumetegwa katika Mageti mawili.
2. Wachezaji wa Simba SC wakati wa Kusalimiana wasipeane Mikono na wa Yanga SC bali wagonge Ngumi tu.
3. Mchezaji wa Simba SC ambaye leo atabeba Mzigo ( Ndumba ) ya Timu afanye kila awezalo asiwe...
Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia wanaongelea ajenda za wakuu wa mikoa na wilaya na wabunge, mwananchi tofauti na ukilinganisha na...
Kiukweli kila nikiwaangalia viongozi wa Simba nyuso zao hazina Nuru tena, imebaki Bora liende tu na kwasasa mzigo mzito upo kwa kocha wao benchika,
Siku ya mechi na singida black star ilibidi abaki uwanjani kwa dakika kadhaa, ukiulizwa kwamba alikua anawaza nini utakua na majibu mengi ambayo...
Baada ya Kuiangalia Video Clip yako iliyowekwa na Gazeti la Mtandao wa Mwanaspoti (ulipokuwa unazungumza) huku Body Language yako ikielezea mengi na Sura yako ikiwa Kali isivyo kawaida na kama ulivyozoeleka naamini kuna Jambo lililojificha lakini kama Siku PCCB (TAKUKURU) wakiamua waingie Kazini...
Marehemu asemwi vibaya ila huyu mwamba alinifurahisha sana.
Mmoja kati ya viungo bora kabisa wa enzi zake,siku moja kabla ya kifo chake,Isnsil Aden Rage akimpatia milioni zaidi ya kumi kama sehemu ya ada ya usajili wake.
Mafisango akaita marafiki zake wakaitumbua aswaa,ilikuwa ni kuhama bar tu...
Kablu ya Singida Fountain Gate imesikitishwa na kitendo cha gilikipa wao Beno Kakolanya cha kutoroka kambini muda mchache kuelekea game yao dhidi ya Yanga.
Singida wanakichukulia kitendo hicho kama ni hujma na wanafatilia kwa undani pamoja na wachezaji wengine wote wenye viashiria vya kuihujuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.