Jamii yetu inaamini kuwa Mwanaume ndiye mtongozaji na Mwanamke ndie kiumbe anastahili kutongozwa, si vinginevyo, na hii ni universal accepted, hayo ya mwanamke kuanza kusema ni ya sasa hivi kizazi cha AI.
Ila hata Biblia utaona mtu wa kwanza kuumbwa alikua mwanaume so it means alieanza kuhisi...