Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.
Inawezekana Visiwani wakaanza mradi mkubwa wa uchimbaji gesi kabla ya mradi wa uchimbaji gesi ya LNG Lindi?
Naona upande mmoja umekuwa kimya sana ilhali upande mwingine mambo yameshika kasi......
Pia Soma: Mradi wa gesi-Lindi LNG Wa Thamani ya Trilioni 105 Hatihati Kukwamishwa na Michakato...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Majimaji Songea mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.
dkt. samia
jamhuri
jamhuri ya muungano
kabla
kitaifa
kufunga
muungano
rais
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tamasha
tanzania
utamaduni
wananchi
CHADEMA wameshikilia hoja yao ya kufanya maandamano kesho. Serikali pia imeshikilia msimamo wake pia kuwa kesho hakuna maandamano. Serikali ina hoja ya kwa kutokea uvunjifu wa amani na CHADEMA pia wana hoja ya kutaka vijana wao waliotekwa waachiliwe huru au warudishwe wakiwa wamekufa. Mfano...
Baada ya rais kutoa hotuba kuwashutumu mabalozi waliohimiza uchunguzi huru na wa haraka,watu wanaoona mambo kwa rangi zake waliona matundu na kasoro katika hotuba ya rais.
Jana,mwenye ID Malcom Lumumba alinyoosha maelezo kwa kina kuelewesha watu ni wapi rais alikosea katika hotuba yake...,na kwa...
Kama title inavojidadavua hapo juu:, Kuna haja ya kuwaonyesha Maharamia kupitia michezo hususani soka, ingawa na mingine hipo haja ya kufanya hivo pia kuwa tunapinga mauwaji yanayoendelea kila kukicha nchini, nazani kupitia soka na machezo mingine, itakua tumefikisha ujumbe kwa hawa nyonya damu...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha linatekeleza kwa kasi miradi ya umeme itakayounganisha Mkoa wa Kigoma katika gridi ya Taifa ifikapo mwishoni mwaka huu ili Mkoa huo usitumie umeme unaozalishwa kwa kutumia mafuta...
Aman iwe nanyi wana wa MUNGU
Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao
Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi nazionaga kabeba myahudi kwa ajili ya kuwaulia magaid wa hamasi nimeshangaa sana
FFU wakiwa wanalinda...
Wafanyakazi wa serikalini na baadhi ya makampuni huwa wanakatwa pesa kila mwezi kwenye mishahara yao kwa ajili ya malipo yao ya mafao ya kujikimu wakistaafu.
Mafao wanayopewa kwa mkupuo moja huwa ni fedha nyingi sana mfano milioni 200, 150, 100, 50, 30, n.k. kulingana na kazi walizofanya...
Hivi majuzi, tulishuhudia upatikanaji wa kiongozi bila kupingwa. Hii haikutosha, kwani kuna mmoja pale kaskazini ambaye katiba iko wazi akimaliza misimu miwili anaachia wenzake, lakini ghafla kaongezewa miaka kadhaa.
Hii inafanya baadhi ya watu kujiuliza Je, wale Wachaga ni wajinga kweli, au...
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro inapaswa kukagua mradi wa ujenzi wa geti jipya la kuingia chuo cha polisi Moshi, na kujiridhisha kabla ya Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa hawajafika kuufungua. Hadi sasa, vyombo vya ndani vimefanya uchambuzi wa eneo hilo, lakini mradi huo haujakamilika...
[.MUHIMU.]...Vitu HATARISHI Vyakuepukana Navyo na Kuachana Navyo Kabisa Kabla Hata MWAKA 2024 Haujaisha....
1.Kutumia Muda mwingi Sana Kwenye Social Media
.
Kwenye mitandao, wewe ni mwandaa maudhui au mlaji?
.
Zaidi ya 90% ni walaji.
.
Unapoteza muda wako kuangalia maisha ya wengine.
...
Kwa uzoefu wangu nina uhakika 100% kuwa kabla watu hawajalala siku ya Ijumaa tayari movie itakuwa ishatoka.
Ni mwendo wa movie tu.
Movie hii itatolewa kufukia jambo.
Watanganyika msitolewe kwenye reli kwa aina yoyote ya movie hata kama hiyo movie itahusisha kutolewa watu uhai.
Akili yangu...
Neno Marekani mtaliona sana tu, hadi nikirudi nyumbani. Ila leo niwape story kwa ufupi ili mjue safari zinaanzaje.
Kwanza mjue mimi ni kiumbe wa kutoka mkoani huko, sio Mdaslamu. Na nilikuwa sipapendi Dar nikaamini naweza toboa mkoani.
Mguu wa shingo mguu wa roho nikaingia sana vijijini huko...
Pimping - Kupata fedha kwa njia ya kuwadalalisha wanawake watumike kingono
Kumekuwa na michezo michafu inafanyika mabinti wa mikoa hiyo Songida, Manyara na Dodoma wanaitwa kuja kwenye majiji wakiahidiwa kazi kumbe ni mambo mengine kabisa.
1, Bar - Yaani wauza bar na Pub imekuwa kama wamekariri...
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapo chini.
Nianze kwa kusema kuwa dunia ina mengi, na kamwe hauwezi kuyajua kama haujaambiwa au kuyaona. Ndio maana waswahili wanamsemo wao unaosema "tembea uyaone". Hii haimaanishi kwamba utembee uyaone...
Salaam wana MMU
Ambao hamjaoa usipite bila kusoma huu uzi.
Wahenga walisema kuishi kwingi kuona mengi. Pia tembea ujionee. Misemo hii katu usije ukaipuuza hasa linapokuja suala la kupata mwenza wa maisha.
Kwa kipindi kirefu toka nimalize masomo, nilijikuta nimenaswa kwenye kazi za kitumwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.