Kupitia Ukurasa wake wa X (Twitter) Kiongozi wa Chama Mstaafu kutoka ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameandika "Nitashangaa sana kushindwa hii kesi. Kampuni ya PAET, mtoto wa ORCA, alipokuja nchini mwaka 2001 alikuta tuna gesi imeshavumbuliwa. Hawakuwekeza hata senti tano nyekundu kutafuta Gesi...
Salaam wakuu.
KENGE!!"Nalipanda Jukwaa kwa bashasha.Mkononi karatasi na Bahasha.Wala sio Warsha,Ni tathmini za Maisha"
Nitangulize kwa kuweka bayana Mimi sio mdau wa Siasa sana,Sina Chama wala uchawa,Urafiki na Kiongozi yoyote aifha wa upinzani wala Chama chochote.
Baada ya Tathmini za Muda...
Wahenga walisema. Umdhaniaye siye kumbe ndiye, na umdhaniaye ndiye kumbe siye
Hawa wafuatao watu walikuwa wakiwaona wapinzani kwelikweli huku Zitto akitukanwa kuwa ni CCM
1. Petrobas Katambi
2. Lijualikali
3. Silinde
3. Peneza
4. Mashinji
5. Peter Msigwa
Wengine wakasaliti chama waziwazi...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Wafuatiliaji wa siasa za Nchi hii mtakubaliani nami kuwa Mheshimiwa David Kafulila pamoja na Mheshimiwa Zitto Kabwe ndio watu Pekee waliokuwa wanaubeba Upinzani hasa CHADEMA katika masuala na hoja zote zinazogusu na kuhusu Uchumi.Ndio maana CHADEMA mpaka sasa huwezi...
Akiongea na redio hiyo ya kimataifa jana mchana, mwanasiasa huyo amefunguka:
Kwamba:
1. Ameamua kunga'atuka kwa mujibu wa katiba akikiacha chama kikiwa katika hali bora zaidi kuliko wakati wowote.
2. Hatarejea kwenye uongozi wa chama hicho kama katiba inavyotaka, kwani muda wake umekwisha...
UHALALI KISHERIA v UHALALI KISIASA
#NECijiuzulu #INECiingie
Kuanzia keshokutwa tarehe 12 April 2024 Sheria Mpya ya Tume Huru ya Uchaguzi inaanza kutumika kwa mujibu wa GN no. 225 ya 29 Machi, 2024.
Endapo masharti ya Kifungu cha 5 cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ya Mwaka 2024...
Anajua fika kuwa chama chake hata sheria zikawa kama zilivyopendekezwa na wadau wote, hawezi kupata wabunge/madiwani etc. Anajua Chadema kinaweza kuzoa viti vingi tu kwenye uchaguzi huru na haki.
Kwa vile amejinasibu kuwa "rival" wa Upinzani particularly chadema, basi anaona afadhali sheria ziwe...
Wananchi wa kata ya Kabwe jimbo la Nkasi Mashariki mkoani Rukwa wameandamana kukataa kuongozwa na upinzani baada ya diwani wa kata hiyo kufariki huku madai yao ni kuongozwa na upinzani kwa miaka 27 bila maendeleo katika eneo hilo.
Kata hiyo ni miongoni mwa kata ambazo tume ya taifa ya uchaguzi...
Haya wajuba wazee wa siasa za Bongo muje munieleze vizuri. Zitto Kabwe alikuwa na nyadhifa gani ACT Wazalendo?
Wanahabari wetu wanaishia tu kutuambia kuwa alikuwa kiongozi wa chama.
Vyama vichanga vinataka malezi marefu hadi vikomae na kujengeka vizuri. Waanzilishi wa vyama ndiyo wabeba maono ya vyama na pindi waondokapo kwenye nafasi zao kabla ya chama kukomaa basi chama hicho huishia kupoteza maono.
Kwa kuondoka kwa Zitto kwenye uongozi wa juu zaidi wa ACT tutarajie...
Hatua ya Zitto Kabwe kufanikiwa kuwapokea wanachama wa CUF karibu wote walioshusha tanga, ilikuwa turufu kubwa ya kisiasa kwa upande wake!
Hatua ya pili ilikuwa ya kumuweka Othman Masoud Othman katika nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais baada ya kifo cha Maalim Seif Shariff Hamad. Hapa Zitto...
Bila unafiki na wala kupepesa macho ukweli usemwe tu Zitto Kabwe ndiye role model wa vijana wengi sana kuingia kwenye Siasa yaani kile kipindi ambacho Zitto yuko kwenye prime yake vijana wengi sana walivutia kuingia kwenye Siasa na sio vijana tu hata wazee walikuwa wanaelewa jamaa alichokuwa...
Chama cha ACT Wazalendo kinafanya kikao chake cha kikatiba cha Halmashauri Kuu ya Chama, leo Februari 12, 2024 kwenye Ukumbi wa Halmashauri Kuu wa Hakainde Hichilema uliopo katika ofisi za Makao Mkuu ya Chama, Magomeni Dar es Salaam.
Taarifa ya ACT imeeleza kuwa Halmashauri Kuu inafanyika kwa...
HiVi Zitto kabwe huu aliofanya si zaidi ya uzalilishaji na ukandamizaji wa haki za binadamu!
Hivi si dalili za Zitto kama kiongozi kuchanganyikiwa?
---
Kiongozi wa kikundi cha Mapigo Tisa cha Kijiji cha Kalinzi Wilaya ya Kigoma, Khalid Isaa (kushoto) akimwongoza kiongozi wa chama cha...
Zitto Kabwe amesema kuwa
''Katika marekebisho ya sheria za uchaguzi Serikali imebakiza wakurugenzi wa halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi kitu ambacho nadhani si sahihi kwa sababu wakurugenzi wengi wa halmashauri ni makada wa CCM hawawezi kutenda haki, kwahiyo hili ni eneo ambalo...
https://www.youtube.com/watch?v=TCpBb-Wm0b4
Leo Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe ameanza ziara ya kikazi katika Jimbo la Muhambwe Kibondo.
Ameanza ziara yake kwa kutembelea Soko la Kibondo na kufungua Ofisi ya ACT Jimbo la Muhambwe.
Zitto Kabwe akihojiwa na Edwin Odemba katika kipindi cha medani za siasa, amesema anaheshimu faragha za watu wote. Hii ni baada ya kuhojiwa kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anaupinga ushoga.
==
Yaliyozungumzwa ktk video hiyo.
Edwin Odemba alimuuliza Zitto Kabwe kama yupo tayari...
Hii ni kali.
👇
"Tumeshuhudia hujuma za wazi Uchaguzi wa Mtambwe; tena katika wakati ambao nchi ipo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK), wananchi wametulia na ipo Kamati ya Maridhiano ya Vyama vinavyounda SUK. Haikutarajiwa uhuni huu katika zama hizi."
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.