Chama cha ACT Wazalendo kinafanya kikao chake cha kikatiba cha Halmashauri Kuu ya Chama, leo Februari 12, 2024 kwenye Ukumbi wa Halmashauri Kuu wa Hakainde Hichilema uliopo katika ofisi za Makao Mkuu ya Chama, Magomeni Dar es Salaam.
Taarifa ya ACT imeeleza kuwa Halmashauri Kuu inafanyika kwa...