kada

Alexis Yougouda Kada (born 29 November 1994) is a Cameroonian professional footballer who plays as a midfielder for Moroccan club Maghreb de Fés. In 2013, he made an international appearance for the Cameroon national team.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Naunga mkono Chipukizi katika siasa na kada zingine

    Salaam, Shalom!!! I declare interest, Rabbon ni mdau wa watoto, nimekuwa katika kitengo hicho Kwa miaka mingi sasa katika Imani. Viongozi wapo wa Kuzaliwa Toka tumboni, na wapo wa kufundishwa. Likewise wanasiasa wa Kuzaliwa wasizuiwe. Katika umri wa kuanzia miaka 4 Hadi mitano, tayari unaweza...
  2. Kingsmann

    HESLB imewanyima ada wanafunzi wa mwaka wa kwanza kada za afya wanaosoma "Private Universities"

    Ni jambo la kushangaza kidogo lakini hali halisi ndiyo iko hivyo. Wanafunzi wanaosoma vyuo binafsi kada za afya wamenyimwa "Ada" huku wale wanaosoma kada zingine mfano ualimu wakipewa japo kitu kidogo. Ndiyo mmewapa pesa ya kujikimu lakini kama mwanafunzi hawezi kujilipia ada yafaa nini...
  3. Orketeemi

    Nafasi za ajira za mkataba kada ya afya mkoa wa Geita

    Tangazo linajieleza , mkataba wa mwaka mmoja. Changamkieni.
  4. M

    Inakuwaje CHADEMA wameacha kuishinikiza serikali kuchunguza sakata la kada wao na msaidizi wa Mwenyekiti wao Ben Saanane?

    Nastaajabu kuona chama cha CHADEMA ambacho kinajinasibu kuja kushika dola kinashindwa kuipa shinikizo ENDELEVU serikali ya CCM ifanye uchunguzi kujua ni kitu gani kilimsibu kada wao Ben Saanane. Hili linastaajabisha kwa sababu Ben Saanane alikuwa ni mwanachama, tena kada nguli wa chama, na si...
  5. Jidu La Mabambasi

    Kada Humphrey Polepole alisema juu ya yatakayompata Chongolo

    Yaani Polepole ni kada aliyewiva, na anakijua Chama Cha Mapinduzi, CCM Yaliyompata Katibu Mkuu Daniel Chongolo alitabiri muda mrefu uliopita. Mimi pia ni kada, lakini tunayoyaona sasa ni too much. Yetu macho.
  6. Mhafidhina07

    Wanaoomba kazi kupitia Tamisemi ni ualimu tu au hata kada nyingine?

    Nimesomea DIPLOMA ya utawala, je naweza kujiunga kwenye web yao na kuanza kuomba kazi?
  7. Vincenzo Jr

    Hivi ukiwa kada wa CCM ni lazima uwe kilaza?

    Katika mkutano wao leo alisikika kada mmoja akisema vyama vya upinzani ni wapiga kelele kama mbu wakati ana ongea pia baada ya kusema visima anasema vichimba ama kweli ccm makada wao ni mapapai na ni viazi kabisa
  8. Erythrocyte

    Wadau waulizia alipo Mwana CCM Thadei Ole Mushi

    Karibu kila mahali na mitandaoni kote wadau mbali mbali wanaulizia aliko Mchambuzi Mahiri na Mtetezi kabambe wa siasa za CCM, Bwana Thadei Ole Mushi. Kwani ni kipi kimemtokea huyu Jamaa?
  9. R

    Waalimu ni kundi la watumishi wanaoshangilia kila wanachoambiwa na mwanasiasa. Wakiambiwa wao ni kada maskini wanapiga makofi

    Mwalimu ni mtu mwenye dhamana yakuondoa ujinga kwa wengine lakini hana uhakika kama yeye amejiondolea ujinga. Mwalimu ni mtu yupo radhi kumchapa mwanafunzi asiyeelewa ili aelewe lakini yeye mwenyewe hana uhakika kama anaelewa anachotakiwa kukifanya kama kioo cha anaowafundiasha. Mwalimu ni mtu...
  10. C

    Taasisi zipi naweza kupata udhamini wa masomo ya chuo kada za afya

    samahanini wakuu nilikua naomba kujua kama naweza pata udhamini wa masomo hasa kada za afya kwa anaejua anisaidie wakuu
  11. Kamanda Asiyechoka

    Picha: James Lembeli, kada wa CCM anayeungana na CHADEMA kupinga ufisadi wa CCM

  12. Jamii Opportunities

    Serikali yatangaza nafasi za kazi 372 katika kada mbalimbali

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Makatibu Wakuu wa Wizara, Watendaji Wakuu wa Idara zinazojitegemea, Watendaji wakuu wa Mamlaka/Wakala za Serikali, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za Jiji/Manispaa/Miji na Wilaya anakaribisha maombi ya kazi...
  13. Tommy 911

    Kujitolea wakati wa likizo kada ya chemistry

    Habarini Wana JF Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili nasoma Bsc in chemistry. Hivyo nahitaji kujitolea wakati wa likizo kuanzia mwezi wa nane Hadi kumi na moja. Mwenye connection kiwanda chochote au mwenye kujua taratibu za kupata nafasi naomba Msaada. @everyone
  14. Idugunde

    Kada wa Chadema adai hata Chifu Mangungo hakuwa mpumbavu namna hii. Huu mkataba una nini mbona ukakasi kila kona?

  15. R

    Written interview questions za utumishi

    Naomba msaada ni maswali gani ya usali ya utumishi ya written yanatoka kwenye kada ya mwandishi wa taarifa rasmi za bunge
  16. Idugunde

    Vijana wa Chadema msiwe na hofu mimi sio mwanaCCM kuvaaa kaunda suti ya kijani sio kwamba mimi kada. Ila CCM wanajitahidi kumantain political of peace

    Just imagine unavaa kaunda suti ya kijani kisa tu vijana wa Chadema wanakujua wewe ni Idugunde basi kila mtu anaaanza kukughasi umnunulie bia. By the way nilikuwa Singida naangalia mechi ya Yanga na big stars sasa ninadrive mkweche wangu kwenda Igunga. Nimekula kuku , balimi extra lager na ...
  17. Mwamuzi wa Tanzania

    Ni wakati sasa serikali iweke wazi mishahara ya kila kada ndani ya taasisi zote

    Hello! Mambo ya mafumbo ni ya kizamani. KIjana anaomba kazi , sehemu ya mshahara mnaandika TGS D , POS C, mara TANAPA 02 n.k n.k Ukiondoa mishahara ya tgts na tgs ambayo ni common, hiyo mingine inabidi mtu aanze kuhangaika kuulizia kwa mtumishi wa ofisi husika, kama humjui mtu basi tena...
  18. Blender

    Je, Taasisi na Mashirika wafanye saili kama kipindi cha Kikwete?

    Kutokana na PSRS kushindwa kufanya kazi kwa ukweli, welidi, ubunifu, hivi vitendo vimepelekea kuwa na shutuma nyingi juu ya utendaji wa hii TAASISI. Na hivyo wadau tukamkumbuka bingwa wa diplomasia jk kipindi Cha uongozi wake jinsi michakato ya ajira ulivyokuwa inafanyika, watu walikuwa...
  19. B

    CCM yatoa rambirambi kifo cha Kada wake mashuhuri

    #SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA CCM. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na kada mashuhuri wa muda mrefu Komredi Agathon Simba Ulanga. Sophia Edward Mjema, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
  20. B

    CCM yatoa rambirambi kifo cha Kada wake maarufu

    #SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA CCM.* Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na kada mashuhuri wa muda mrefu Komredi Agathon Simba Ulanga. Sophia Edward Mjema, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM...
Back
Top Bottom