kada

Alexis Yougouda Kada (born 29 November 1994) is a Cameroonian professional footballer who plays as a midfielder for Moroccan club Maghreb de Fés. In 2013, he made an international appearance for the Cameroon national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Just Distinctions

    KERO Usaili kada za Serikali kufanyika Dodoma ni kipengele. Mfumo ubadilishwe

    Habari za wakati huu, Hili suala la usaili kufanyika Dodoma lizingatiwe tena na tena, sikatai lengo lilikuwa ni jema ila changamoto zimekuwa ni nyingi unakuta mtu anaitwa usaili wa kuandika tarehe 25 kisha ukipita hapo wa vitendo tarehe 28 ama mahojiano 29, sasa ukiangalia kwa haraka, asie na...
  2. Liverpool VPN

    Ili nipate uteuzi ni lazima kuwa kada wa CCM au niwe Chawa wa Mama?

    INTRODUCTION Eeh bwana ehh habari zenu Nikiri Mimi sio shabiki kabisaa wa siasa. Yaani sina Kadi ya chama chochote na sifikirii kuwa na Kadi ya chama chochoteee kileee. Na kifupi huwa sifatilii zile habari za siasa zaidi ya hizi ambazo zinapostiwa insta kwenye page za habari za labda msingwa...
  3. E

    Tukutane hapa, Tunaotarajia kufanya usaili wa kuandika kada ya MTAKWIMU DARAJA LA PILI, mwajiri MDA's & LGA's.

    Msaada wa aina ya maswali ya usaili kada ya takwimu. Tusaidiane hapa material ya kusoma na topics za kujiandaa.
  4. S

    Mishahara kada za Afya iongezwe, wanahatarisha sana maisha yao

    Watoa huduma za afya wana maisha magumu sana kulinganisha na kazi wanazozifanya. Kwa kiasi kikubwa wanahatarisha sana maisha yao kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa wanaowahudumia, wapo katika risk kubwa ya kuwa contaminated. Licha ya hivyo wanafanya kazi muda mrefu mno. Serikali wawaangalie...
  5. Wanjax jr

    Majibu ya usahili wa kada mbalimbali Tengeru Institute of community development Yalishatoka?

    Habari zenu wanajamvini, Naomba kuuliza kuhusiana na matokeo ya usahili wa mahojiano ilifanyika tarehe 19/09/2022 chuo Cha Tengeru Institute of community development kwa kada mbali mbali, je majibu yameshatoka toka utumishi? Na waliofanikiwa kupata NAFASI je wameitwa kwa simu au Bado...
  6. M

    Hii imekaaje? Kada wa CCM alafu ni Mkurugenzi wa uhandisi Ruwasa. Yaani kada alafu mtumishi wa umma.

    Ni ndugu Simon Ngonyani. Aliwahi kufyeka mahindi ya wakulima mto Ruvu alipo kuwa Wami/ Ruvu water basin👇
  7. figganigga

    HUKUMU: Levinus Kidanabi, hajamkashifu Rais Samia, Kaonewa

    Salaam Wakuu, Tusaidiane kuangazia hii kesi, tupo huru kuongea sababu Hukumu imeshatoka. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ilimhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Tsh 15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya...
  8. tpaul

    Rais Samia mfute kazi Waziri Mkenda; anakuchafua nje ndani

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Nawapongeza Baraza la Mitihani (NECTA) kwa kufanya kazi nzuri ya kufichua uovu uliofanywa na Shule ya Chalinze Islamic Modern School kuwabadilishia wanafunzi 7 namba za mitihani kwa sababu wanazozijua wao wenyewe. Lakini...
  9. Idugunde

    SIMIYU: Levinus Kidanabi Jela miaka saba na faini mil 15 kwa kumkashifu Rais Samia

    VIjana wawe makini na mgroup ya Watsapp === Bariadi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Sh15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  10. Chachu Ombara

    Kuhusu kauli ya 'Chinjachinja' ya kada wa CCM, RPC asema atauliza kama ilikuwa na mahusiano mauaji ili hatua zichukuliwe

    Kauli za makada wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jijini Arusha na Jijini Dar es Salaam zinazotafsiriwa ni za kuchochea uhalifu dhidi ya wafuasi wa vyama vingine vya siasa, zimeibua mijadala katika mitandao ya kijamii. Moja ya kauli hizo ni ile inayodaiwa kutolewa na kijana wa Umoja wa Vijana...
  11. M

    SoC02 Wahitimu wa Ualimu wajitolee kufidia uhaba wa Walimu, na wenye kigezo hiko wapewe kipaumbele cha ajira

    Uhaba wa walimu. Ripoti ya takwimu muhimu za Tanzania ya mwaka 2019 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu inaonesha shule mbalimbali za Msingi za serikali inaonesha kuwa mwaka 2018 shule za serikali zilikuwa na walimu 191771 ila kwa mwaka uliofuata wa 2019 walipungua hadi walimu 188336 kabla...
  12. B

    Kada ni Mzalendo

    Kada- huyu ni mtu ambaye amekisoma vyema chama na kanuni zake bila kupepesa macho na kujiapiza ndani ya moyo wake kukitumikia chama Hiko bila kuogopa kitu chochote hata kifo. Hivyo kuwa "KADA" sio jambo la lelemama wala jambo la mchezo mchezo ni kuwa mwanajeshi Tena mtiifu na MZALENDO. Usiwe...
  13. Jamii Opportunities

    Tangazo la nafasi za kazi 746 kwa Kada ya Afya (Limerudiwa kutangazwa)

    Ofisi ya Rais - TAMISEMI inawatangazia wananchi wote raia wa Tanzania wenye uwezo na sifa za kujaza nafasi za ajira za Kada za Afya 746 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na Zahanati Tangazo hili linarudiwa kwa mara ya pili baada ya kukosa waombaji wenye sifa katika tangazo...
  14. Dx and Rx

    Wizara ya Afya na ninyi toeni hiyo PDF, najua mumenipiga kibuti kama TAMISEMI

    Mwaka jana nilifanya maombi 8 ya kazi Serikalini(Tamisemi na Afya), taasisi binafsi. Nilipigwa kibuti sehemu zote, taasisi moja tu ya binafsi ndio walinipa mrejesho wa kunikataa japo kwa usahili, mrejesho wao kidogo ulikuwa unaumiza ila nilipiga moyo konde na nikaamua kukaa kimya bila kutuma...
  15. kyagata

    Maswali gani huulizwa Utumishi kwa kada ya Auditor II?

    Kwa wale tulioomba kazi za Auditor II huko utumishi waajiri wakiwa Ministries, departments local government na CAG. Tunaomba wale waliowahi kufanya written and oral interviews za kada za auditor ii huko utumishi mtupe uzoefu wenu wa maswali mliyowahi kuulizwa ili nasi tuzidi kujinoa ipasavyo...
  16. Ahmed Saidi

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetangaza nafasi 221 za ajira katika kada mbalimbali

    Chuo Kikuu cha Dodoma kupitia utumishi kimetangaza nafasi 221 za ajira. Watu mbalimbali wanatakiwa kujaza nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Tutorial Assistants, assistant lecturers, lecturers, technicians, transcribers n.k katika fani mbalimbali. Wenye sifa nafasi hii. Hivi lilikuwa ni...
  17. knownless

    Utumishi hivi mnatumia mfumo upi katika kupanga waomba ajira kulinga na kada zao?

    Natumaini wote ni wazima. Imenibidi nianzishe uzi huu nikiwa naamini baadhi ya wahusika wa Utumishi wataona na wachangiaji wengine watatoa maoni yao. Utumishi wametangaza kazi nyingi sana, ambalo ni jambo jema kwa sisi wasaka ajira. Tatizo linaanzia kwa baadhi ya wasaka ajira kushindwa kuomba...
  18. Jamii Opportunities

    Ofisi ya CAG yatangaza Nafasi za Kazi 104 kwa Kada mbalimbali

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia moja na nne (104) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
  19. Mbomozo

    Cracking utumishi written interview: Maalum Kwa Kada za ICT

    Habari za Masiku ndg zangu, Leo hii nimekuja na thread maalum kwaajiri ya wasailiwa wote wanaoitwa Utumishi for interview hasa hasa ICT officers becoz ni kada yangu ambayo imenipatia dream job. Ila hii inatokana na kuhenyeka interview 15 zao, 13 kati ya hizo niliishia written na kuambulia...
  20. Anganjwiri92

    Msaada juu ya maswali ya usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi

    Habari wanadau!! Nimechaguliwa kuitwa kwenye usaili tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi ambapo usaili unafanyika tarehe 17/05/2022,Sijawahi fanya usaili wa Mahakama kada ya ulinzi naomba mnijuze yafuatayo 1. Maswali kutokana na hii kazi 2. Kiwango cha mshahara 3. Nizingatie nini...
Back
Top Bottom