Akihojiwa na BBC Swahili Jana saa 12:30
Alisema unashangaa baadhi ya Marais Wa Afrika pamoja na ugonjwa huu Hatari, hawajulikani walipo, wamejificha na wananchi wao wanaokotwa wamekufa barabarani, maiti zao zimezagaa, halafu unashangaa viongozi hao wanajiita wacha Mungu. Wanasali kila jumapili...
Hawa ni majemedari ambao wamehakikisha katika uwanja wa vita mpaka sasa hakuna kifo kwa mateka wao yoyote. Hakika kuishi kwingi kuona mengi. Acha watawale wanajua thamani ya roho za watu wao. Kagame amekomboa mateka 65 kati ya 143 bila matokeo ya kifo. Naye Museveni amekomboa mateka 20 kati ya...
Serikali ya Rwanda kupitia Rais wake imefanya yafuatayo..
1. Inawajali Wananchi wake mara kwa mara juu ya Ugonjwa
2. Inatoa Msaada wa Vyakula bure kabisa kwa Wananchi wake
3. Inatoa bure kabisa Vifaa vya Kujiinga na Ugonjwa kwa Wananchi wake
4. Waziri wake wa Afya hana Unafiki katika Kutoa...
Ni ujumbe unaoonekana wa kawaida kabisa kutoka kwa Dr Kagasheki. But timing yake inaufanya ujumbe huu ubebe uzito mkubwa na wa kipekee.
Ni ujumbe kwa Watanzania kuwa tusiamini kila kitu kitokacho vinywani mwa wanasiasa.
"Tafakarini kwa makini Watanzania" that seems to be the bold message from...
UTENDAJI kazi wa marais, Dk John Magufuli na Paul Kagame wa Rwanda unaoweka mbele maslahi ya nchi na wananchi umemvutia Balozi wa Rwanda nchini, viongozi hao ni mfano wa kuigwa. Utendaji wa marais hao, unaojali zaidi vitendo vyenye kuonyesha matokeo chanya badala ya maneno yasiyo na tija, ndiyo...
Rais wa Rwanda Paul Kagame mnamo Jumanne alimsihi Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini Tito Mboweni asiache kutumia Twitter baada ya Waziri huyo kutishia kuacha kutumia mtandao huo wa kijamii kwa kile alichosema kuwa "mtandao huo umepoteza kusudi lake la asili."
Kagame alijibu 'Tweet' ya Mboweni...
Mtikila amesambaza Waraka unaomtuhumu Kagame Kusambaza Wanyaranda 35,000 katika Tz na ameitaka serikali kuchukua hatua!!!
Ni jambo la Kushangaza Gvt inatumia Nguvu nyingi kulinda mpaka wa Malawi na Tanzania lakini Wamemwacha Kagame na Mseveni wakipenyeza Wanyarwanda 35,000 na wamehesabiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.