kagame

  1. Sky Eclat

    The 1989 wedding of Uganda senior military officer Paul kagame to Jeanette Nyiramongi

    The 1989 wedding of Uganda senior military officer Paul kagame to Jeanette Nyiramongi in Kampala. Kagame a refugee from Rwanda from his early years was educated at Ntare high school the same school as Museveni who was there earlier on. He lived in Uganda all his life , He joined the NRA...
  2. Mtu Asiyejulikana

    Wakati huko Rwanda Kagame anafanya hivi. Sisi tunafanya Vile

    Huku Tanzania tunawajengea nyumba mpya Viongozi waliotuibia zenye thamani ya Mamilion ya Pesa. Tunawanunulia na Magari wabadilishe kama Zawadi Kwa fedha za umma. Kagame yeye anawajengea nyumba za kisasa wananchi wake.
  3. U

    Rais Samia leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Kagame wa Rwanda

    Wasau wa JF, Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mheshimiwa Paulo Kagame. Katika ujumbe huo uliowasilishwa na Mjumbe maalumu...
  4. Pabloz

    Macron and Kagame

  5. Red Giant

    Kagame na Mobutu...

  6. GENTAMYCINE

    Rais Samia ukifanya ziara nchini Rwanda kwa 'Genius' Kagame utafaidika na mengi kuliko ya Uganda na Kenya

    Ukienda kwa Museveni Uganda Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi. Ukienda kwa Kenyatta Kenya Huku utapata sana 'Madili' ya...
  7. tpaul

    Kitendo cha Museveni na Kagame kutokuja kumuaga hayati Rais Magufuli kinaashiria nini?

    Ndani ya muungano wa EAC nchi ya Kenya imekuwa mstari wa mbele katika kuleta chokochoko za hapa na pale, hasa ikiichokonoa Tanzania mara kwa mara. Ingawa hivyo, Rais wa Kenya Hon Uhuru Kenyatta amefika yeye mwenyewe mubashara kuja kumuaga hayati Dr Magufuli. Nchi za Uganda na Rwanda hazijawahi...
  8. Analogia Malenga

    Marais kumi wathibitisha kuja kumuaga Rais Magufuli

    Marais zaidi ya 10 wa mataifa mbalimbali duniani wamethibitisha kuhudhuria shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli itakayofanyika kesho Dodoma. Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abasi amesema leo Machi 21, 2021 kuwa hadi sasa ana orodha ya zaidi ya marais 10 na kuahidi...
  9. U

    Rais Kagame afanya mabadiliko makubwa ya uteuzi wa Magavana wa Majimbo nchini Rwanda

    Rais Kagame amefanya mabadiliko hayo kwa mujibu wa mamlaka aliyokabidhiwa na Katiba ya nchi hiyo. Wapo waliotumbuliwa na wapo waliohamishwa. Orodha kamili imeambatanishwa kwa ufafanuzi zaidi
  10. Mmawia

    #COVID19 Vita dhidi ya Corona: Rais Kagame atoa mfano kwa raia wake

    Wakati dunia ikapambana na janga la Corona mambo mengi yanatokea. Rais Paul Kagame wa Rwanda amekuwa kiongozi wa ukweli baada ya kujitikeza kupata chanjo ya corona ili kuwapa imani wananchi wake nao kupata hiyo chanjo. Hongereni sana ndugu zetu Wanyarwanda kwa kupata kiongozi wa kujivunia.
  11. Sky Eclat

    Rais Kagame amejenga nyumba kwa wasio na uwezo wa kujenga makazi bora, wengi wao ni wazee.

    Kila aliyekabidhiwa funguo za nyumba alipewa na chakula cha kuanzia maisha. Kijiji kina huduma zote za jamii, kuanzia shule, hospitali, kituo cha Polisi, soko, umeme, maji na barabara.
  12. The Mongolian Savage

    Kagame kaenda kuiba rasilimali za CAR

    Mzuka wanajamvi! Kagame kapeleka majeshi yake Central African Republic haraka haraka kwa kisingizio cha kuleta amani na kusaidia serikali ya sasa isipinduliwe na waasi kuelekea uchaguzi mkuu jumapili. Licha ya majeshi ya Rwanda pia Urusi imepeleka. Urusi kikubwa anachotaka ni Uranium. Central...
  13. T

    Relationship between Africa and Europe should be respectful, Paul Kagame

    In the opening ceremony of Africa - Europe foundation which was attended by various personalities from both continents, including the President of the Republic of Rwanda, Paul Kagame. President Paul Kagame has emphasized that the relationship between Africa and Europe should base on mutual...
  14. Miss Zomboko

    Rais Paul Kagame amekanusha kwamba Serikali yake ilimteka Paul Rusesabagina ambaye ni nyota wa filamu ya Hotel Rwanda

    Rais Paul Kagame wa Rwanda Jumapili amekanusha kwamba serikali yake ilimteka Paul Rusesabagina ambaye sasa anashikiliwa nchini humo kwa makosa ya ugaidi na mengineyo. Rusesabagina ni maarufu duniani kutokana na alivyoonyeshwa katika filamu ya Hotel Rwanda kama shujaa aliyesaidia kuokoa maisha...
  15. J

    Rais Kagame ateua mwanamke kuongoza Idara ya Intelejensia

    Wakati hapa nyumbani kundi la wagombea wa kiume limepita bila kupingwa huku wanawake wakiendelea na uchaguzi na wengine kuenguliwa, kule Rwanda Rais Kagame amemteua mwanamama kuongoza idara ya Intelejensia ya nchi hiyo. Wanaume tukiendekeza kitonga akina Ummy ndio watakaobeba mikoba siku za...
  16. Wacha1

    Rais Paul Kagame amepotoka

    Rais wa Rwanda Paul Kagame amepotoka kwa kusema Strive Masiyiwa ambaye ni mfanyi biashara kutoka Zimbabwe ashirikiane na Rais mojawapo wa Afrika ili Waafrika waweze kupata vaccine itakapopatikana ya Covid-19. Je, PK anafahamu jinsi Masiyiwa alivyojitajirisha kwa dhuluma? Je, anafahamu kwa...
  17. Sky Eclat

    Uhusiano wetu na nchi jirani, nini kimetokea kati yetu na Rais Kagame?

    Kagame ndiye alikuwa rafiki wa karibu, baada ya kuapishwa Rais Magufuli nchi yake ya kwanza kuitembelea ilikuwa Rwanda na alifanyiwa dhifa ya kitaifa. Baada ya hapo Rais Kagame alikuwa mgeni wetu wa mara kwa mara. Rais Magufuli aliwahi kutamka mbele ya Kagame kuwa yeye ndiye aliyemshauri...
  18. GENTAMYCINE

    Kama Rais Kagame ni Shabiki wa Arsenal FC unadhani Rais Magufuli nje ya kuwa Mwana Simba SC huko Ulaya atakuwa ni Shabiki wa Timu gani?

    Bravo,Congrats ARSENAL for a well deserved and needed win -FA CUP. We,FANS and supporters kept Faith in you...going forward let's aim at much bigger things. WE CAN... !!! paulkagame
  19. M

    This is How Paul Kagame changed Rwanda

    Rwanda, in east-central Africa, is surrounded by the Democratic Republic of the Congo, Uganda, Tanzania, and Burundi. It is slightly smaller than Maryland. Steep mountains and deep valleys cover most of the country. Lake Kivu in the northwest, at an altitude of 4,829 ft (1,472 m), is the highest...
  20. M

    Meet Ange Kagame the giant Daughter of Africa's Tallest President Paul Kagame of Rwanda

    Meet Ange Kagame the giant Daughter of Africa's Tallest President Paul Kagame of Rwanda Ange Kagame was born in Brussels, Belgium on the 8th of September, 1993 as the second child and only daughter of President Paul Kagame of Rwanda who has ruled Rwanda for 20 years now. Owing to her...
Back
Top Bottom