kagera

Kagera is one of Tanzania's 31 administrative regions. The region is located in the northwestern corner of Tanzania on the western shore of Lake Victoria. The region neighbors Uganda, Rwanda, and Burundi and lies across the lake from Kenya. The region was known as West Lake before June 1979. The regional capital is the city of Bukoba. According to the 2012 national census, the region had a population of 2,458,023, which was lower than the pre-census projection of 2,763,329. For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third highest in the country. It was also the ninth-most densely populated region, with 97 people per square kilometer.On September 10th 2016, the region was struck by an earthquake measuring 5.9 on the moment magnitude scale.
It was the biggest earthquake to have been recorded in Tanzania.Its attempted annexation by Uganda in 1978 triggered the Uganda–Tanzania War which culminated in the overthrow of Ugandan dictator Idi Amin on April 11, 1979, at the Fall of Kampala.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Amuua Mke na mwanaye kisa wivu wa mapenzi

    Muleba. Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Joachim Rwegasira mkazi wa kijiji cha Bushanga Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera kwa tuhuma za kumuua mkewe, Rosemary na mwanaye, Joiness na kisha kujijeruhi. Rwegasira anapatiwa matibabu hospitali ya Wilaya ya Muleba Rubya akiwa chini ya...
  2. Chagu wa Malunde

    Kagera: Mtoto abakwa na kuuawa

    Bukoba, Jeshi la polisi mkoani Kagera linamtafuta mtu mmoja anayeshukiwa kuhusika na mauaji ya mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 11 mwanafunzi wa darasa la nne, shule ya msingi Kahororo manispaa ya Bukoba. Mwanafunzi huyo alibakwa, kulawitiwa na kisha kupigwa na kitu kizito bila huruma. RPC...
  3. Miss Zomboko

    Kagera: Amuua Mama yake mzazi baada ya Mganga kumwambia apeleke damu ili kuongeza utajiri

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Fredius Philibart Kibengo mkazi wa Omurushaka wilayani Karagwe kwa tuhuma za kumuua mama yeke mzazi kwa kumkata shingoni kwa kutumia kitu chenye ncha kali baada ya mganga wa kienyeji kumtaka kupeleka damu ya mama yake au ndugu yake wa karibu ili...
  4. chief kamchicha

    Nyerere alipigana Vita vya Kagera, Magufuli anapigana Vita ya Corona. Tumuombee

    Mwaka 1978/79 Mwl Nyerere katika uongozi wake aliamua kuingiza nchi vitani kupambana na nduli Idd Amin Dada wa Uganda, ilikua vita ngumu sana, na ilikua ni lazima kumpiga idiamin Ili tanzania iwe salama. Wapo waliomlaumu kwa uamuzi wake wa kwenda vitani, na wapo waliompongeza na kumuunga mkono...
  5. Chizi Maarifa

    Uwanja wa Mkapa: Yanga yashindwa kutamba uwanja wa nyumbani, yalazimishwa sare na Kagera Sugar

    11': Yanga 0-1 Kagera - Malyanzi 13': Yanga 1-1 Kagera Kisinda (p) 24':Yanga 1-2 Kagera - Mwaterema 30': Yanga 2-2 Kagera - Kaseke 45': Yanga 2-3 Kagera - Mhilu 61': Yanga 3-3 Kagera - Tonombe Mpira umekamilika Uwanja wa Mkapa kwa sare ya kufungana mabao 3-3 na wamegawana pointi. FT |...
  6. Miss Zomboko

    Kagera: Katibu Tawala aagiza uchunguzi wasababu ya Walimu wengi kuomba kustaafu kabla ya kufikisha miaka 60

    Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Prof. Faustine Kamuzora amewaagiza maofisa wa idara ya elimu katika mkoa huo kutathimini sababu zinazochangia wimbi kubwa la walimu wa shule za msingi na sekondari mkoani humo za kuchukua uamzi wa kuomba kustaafu kazi kabla ya kufikisha umri wa miaka 60 wakati...
  7. Chachu Ombara

    Habari njema kwa wafugaji wa Kagera na mikoa jirani; Jipatie mbegu za Azolla kwa bei nafuu

    Habari waJF, Kwa wale wafugaji wenzangu wa mkoa wa Kagera na mikoa jirani sasa unaweza kupata mbegu za Azolla zenye ubora unaohitajika kwa bei rafiki kabisa. Tuwasiliane kupitia namba 0625951181 Faida za Azolla kwa kifupi ni; 1. Ni nyongeza ya chakula cha kuku na mifugo mingine 2. Ina...
  8. M

    Mbona Ng'ombe aliyekamuliwa na Yohana huko Majivuno Region alianza ghafla Kukasirika na kutaka Kufungua Kamba ili ampige?

    Kuna muda nilimuona Mkamuaji akitaka Kudondoka pamoja na Ndoo yake ya Maziwa ila Ndamba ( Raba ) zake zilimuokoa huku akihema sana tu.
  9. Doctor Mama Amon

    Askofu Bagonza, barua ya kumkaribisha Rais Magufuli Mkoani Kagera na tahakiki ya mjadala tunduizi

    A. UTANGULIZI Rais wa Tanzania, John Magufuli alikuwa Mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi wilayani Karagwe na baadaye Wilayani Bukoba tangu tarehe 18 Januari 2020. Inaonekana kuwa, siku hiyo, Askofu Dr. Benson Kalikawe Lwakalinda Bagonza, aliandika barua tepe kwa ajili ya kumkaribisha Rais...
  10. B

    Tetesi: Kamata kamata michango ya ujenzi wa shule Kagera

    Mabibi na mabwana hii imekaa je. Pana habari tokea pande za wilaya ya Ngara kuwa wanakamatwa watu hovyo kisa 10,000/= michango ya ujenzi wa shule hasa pande za kule Rusumo. Sheria zipi zinazohalalisha unyanyasaji huu? Au ni moja ya zile amsha amsha katika ziara ya lile jembe letu mkoani Kagera...
  11. Red Giant

    Tungeanzisha special economic zones au export procesaing zones kwenye mikoa ya mipakani -- Kagera, Kigoma, Mbeya na Songwe

    Special economic zone ni eneo ambapo wawekezaji huzalisha kwa gharama nafuu na hupata upendeleo kwenye kuzalisha ili kuvutia uwekezaji. Sheria za maeneo haya na kodi kwenye maeneo haya huwa tofauti na sehemu zingine. Hata gharama za kuingiza malighafi na mashine huwa chini. Mara nyingi bidhaa...
  12. Miss Zomboko

    Wanafunzi 59 wa Chuo cha VETA Kagera na wakufunzi wao 3 mbaroni kwa kufanya udanganyifu kwenye mitihani

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera inawashikilia wanafunzi 59 wa Vyuo viwili vya ufundi VETA kwa madai ya kukutwa na simu za mkononi katika chumba cha mtihani. Mbali na kuwashikilia wanafunzi hao wa Chuo cha Veta wilayani Muleba na kile cha Veta Tuinuane...
  13. Emygidius George

    Je, naweza pata gari la mizigo ya ndani kutoka Dar tu Kagera

    Nahitaji kupata namna ya kusafirisha vitu vya ndani kutoka Dar kwenda mkoani Kagera, naweza pata kampuni gari ya usafirishaji au mtu anayehusika ambae gharama zake si kubwa.
  14. GENTAMYCINE

    Bukoba: Watu 8 wafariki dunia na 6 kujeruhiwa katika ajali ya gari eneo la Rwamishenye

    Watu sita wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa katika ajali ya gari, linalofanya safari zake kati ya Kemondo na Bukoba Mjini, ajali hiyo imetokea maeneo ya Rwamishanye Bukoba..( dakika 14 zilizopita ) Chanzo: Habari Leo Online --UPDATE-- Watu nane wamefariki dunia na wengine sita...
  15. J

    Nitajie viongizi watatu tu wa Upinzani waliopigana vita ya Kagera kwa namna yoyote ile ukimuondoa mzee Mrema!

    Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa Nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field. Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando. Uzalendo umejengwa katika misingi. Maendeleo...
  16. Mkogoti

    NGARA: Basi kampuni ya Emirates lapata ajali na kuua watu 15 baada ya kupinduka

    Watu 10 Wamefariki dunia na Wengine watano kujeruhiwa na kupelekwa hospital teule ya Nyamiaga wilayani Ngara, baada ya gari la abiria mali ya kampuni ya Emirates kuanguka likitokea Ngara kwenda Bukoba. Mganga mfawidhi wa hospital hiyo, David Mapunda amethibitisha. Dar es Salaam. Rais wa...
  17. Nafaka

    Kwanini Serikali isiruhusu watu na kampuni binafsi wanunue kahawa mkoani Kagera?

    Kuna mambo mengine nchi hii yanashangaza na kusikitisha kweli. Mtu kalima kahawa zake, kwa pesa zake na nguvu zake halafu unampangia amuuzie nani. KCU imekusanya kahawa za wakulima halafu huu karibu mwezi wa 3 hawajawalipa pesa yao. Hiki chama cha ushirika hakina maana tena bora waache watu...
  18. Deus J. Kahangwa

    Uchaguzi 2020 Barua kwa MKurugenzi wa NEC, Dk. Mahera: Yahusu kuenguliwa kihuni kwa Amos Kahwa, Mgombea Udiwani Kata ya Kayanga Karagwe, Kagera

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Jimbo la Karagwe, Mkoani Kagera, Ndg. G.M. Kitonka Mhe. Dk. Wilson Charles Mahera, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dodoma, YAH: KUENGULIWA KIHUNI KWA AMOS PETER KAHWA, MGOMBEA UDIWANI KATA YA KAYANGA, WILAYANI KARAGWE, MKOANI KAGERA Somo...
  19. M

    Uchaguzi 2020 Kagera: Yaliyojiri mkutano wa Tundu Lissu kusaka Urais wa Tanzania 2020-2025

    Katika lile tulilojua toka mwaka 2017, mkoa wa Kagera una lake jambo juu ya CCM na Rais Magufuli. Ni mkoa ambao ulipata tetemeko, watu wakahitaji faraja kutoka kwa mfariji mkuu wakaishia kuambulia maneno ya kukereketa na kejeli. Wana Kagera walipoomba Chakula wakaambiwa serikali haina shamba...
  20. CHADEMA

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
Back
Top Bottom