kagera

Kagera is one of Tanzania's 31 administrative regions. The region is located in the northwestern corner of Tanzania on the western shore of Lake Victoria. The region neighbors Uganda, Rwanda, and Burundi and lies across the lake from Kenya. The region was known as West Lake before June 1979. The regional capital is the city of Bukoba. According to the 2012 national census, the region had a population of 2,458,023, which was lower than the pre-census projection of 2,763,329. For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third highest in the country. It was also the ninth-most densely populated region, with 97 people per square kilometer.On September 10th 2016, the region was struck by an earthquake measuring 5.9 on the moment magnitude scale.
It was the biggest earthquake to have been recorded in Tanzania.Its attempted annexation by Uganda in 1978 triggered the Uganda–Tanzania War which culminated in the overthrow of Ugandan dictator Idi Amin on April 11, 1979, at the Fall of Kampala.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mikoa ya Kigoma na Kagera

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu Jana ameingia Kigoma kwa kishindo kikuu. Alilakiwa na Maelfu Elfu ya watu waliojipanga majiani huku wakitandika mikeka chini shujaa huyo wa karne hii apite juu yake. Akihutubia umati mkubwa unaokadiriwa kuwa na watu zaidi ya Elfu 30 katika...
  2. Deogratias Mutungi

    Dkt. Magufuli anakubalika zaidi Kagera, mengineyo ni propaganda

    Nawasalimu wana JF. Kwa ufupi nagusia uvumi na maneno yanayosambazwa mitandaoni kuwa Mgombea wa CCM Dkt Magufuli amekataliwa Mkoani Kagera na wala hakubaliki hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu, Nawajulisha kuwa utafiti uliopo unaonyesha wazi kuwa Mgombea wa CCM anakubalika kwa asilimia...
  3. A

    Mpira umekwisha: Yanga 1 vs Kagera 0

    Habari wana Jamiiforums Baada ya kuifunga Mbeya city, leo mabingwa wa kihistoria wa Tanzania tunaenda kucheza na Kagera sugar katika uwanja wa kaitaba mkaoni Kagera. Nawakaribisha mashabiki wa mpira wajionee kabumbu nzuri na ya kuvutia kutoka kwa Mabinga wa kihistoria. Na hiki ndicho kikosi cha...
  4. Erythrocyte

    Bashiru Ally ameongoza mazishi ya watoto walioungua moto huko Kyerwa Kagera kama nani?

    ITV imemuonyesha Katibu Mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ally akitajwa kuwa mgeni rasmi kwenye mazishi ya watoto 10 waliozikwa leo huko Kagera, sina shida na mtu yoyote kuhudhuria mazishi yoyote popote lakini kumpa cheo cha kuongoza mazishi mtu asiye na cheo chochote kwenye Serikali yetu ni dharau...
  5. J

    Serikali imetoa Tsh 250,000 kama ubani kwa kila familia ya mtoto aliyefariki kwenye shule ya waislamu Byamungu

    Serikali imetoa ubani wa sh 250,000 kwa kila familia iliyofiwa na mtoto kwenye ajali ya moto katika shule ya waislamu huko Kyerwa mkoani Kagera. Kadhalika Serikali inawagharamia wanafunzi wengine sita wanaopatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando. Maendeleo hayana vyama!
  6. YEHODAYA

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Biharamulo, Kagera

    Hii hapa live Dkt. Magufuli akiwa Biharamulo akitokea Kagera alikomaliza kampeni muda si mrefu. Live hii hapa
  7. The suspender

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

    MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli, leo Septemba 16, 2020 ameendelea kupiga kampeni, ambapo baada ya kumaliza wilayani Chato, mkoani Geita, Muleba leo yupo Bukoba Mjini mkoani Kagera Uwanja wa Gymkana. MGOMBEA Ubunge jimbo la Bukoba Mjini Stephen Byabato amewaomba...
  8. Replica

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli atinga Kagera, Mama Tibaijuka asema watampa kura za heshima na kusisitiza wao ni 'Natural Allies'. Magufuli amuahidi cheo

    Rais Magufuli leo yupo mkoani Kagera akitokea Chato kuendelea na kampeni za kuwania Urais kwa muhula wa pili. Hizi ni baadhi ya picha za Rais Magufuli akiwa anaongea na Wananchi alipokuwa njiani katika mkoa Kagera. Picha zikimuonesha Rais Magufuli akiwa katika gari akizungumza na Wananchi...
  9. Influenza

    Kagera: Watoto 10 wamefariki na 6 kujeruhiwa baada ya shule Msingi Islamic Byamungu kuwaka moto

    Watoto 10 wamefariki na sita kujeruhiwa vibaya kufuatia moto ulioteketeza bweni la wavulana shule ya Msingi Islamic Byamungu iliyopo Kyerwa Mkoani Kagera. Hadi sasa chanzo moto huo hakijajulikana. Watoto waliopoteza maisha ni wa umri wa miaka sita hadi 12. Taarifa zaidi inakuja... ====...
  10. Gama

    Kagera: kwanini hamuachi teknolojia hii?

    Pamoja na uwepo wa teknolojia mbalbali nyie bado Zama hizi mnakamua juice kwa kukanyaga?
  11. Mwanahabari Huru

    Watanzania hatujasahau na hatutasahau yaliyotokea katika tetemeko la Kagera

    1. Rais uhuru kenyata alichangia wahanga million 200. 2. Serikali ya korea iliwachangia wahanga million 108. 3. Serikali ya uingereza iliwachangia wahanga billion 6 4. Askofu mkuu wa EAGT dkt brown mwakipesile alichangia million 10. 5. Mh Freeman Mbowe million 5. 6. Waziri mkuu wa india...
  12. Nyendo

    Kagera: Mchepuko aua Mchepuko kwa wivu wa mapenzi

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Derick Dambuve (26), kwa tuhuma za kuwaua Mama na mtoto wake mwenye miaka 2, baada ya mtuhumiwa kumtaka Mama huyo kimapenzi wakiwa baa na kukubaliwa, lakini baadaye alimkuta mwanamke huyo akishiriki tendo la ndoa na rafiki yake. ======= Jeshi la...
  13. G Sam

    Uchaguzi 2020 Padre wa Kanisa Katoliki aliyeomba Ubunge huko Kagera kupitia CCM asimamishwa rasmi kuendelea na wito

    Aisee sikujua kama pia wapo mapadre wa catholic, kanisa lenye heshima naye alitaka kwenda bungeni. Shame on you maccm! Haya amefukuzwa aende vizuri huko CCM.
  14. Nyendo

    TAKUKURU Kagera yaokoa zaidi shilingi milioni mia mbili na kuwapandisha kizimbani watu 21

    Utangulizi Ndugu wanahabari, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera tumeendelea kutekeleza majukumu yetu kama yalivyoainishwa katika Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Sheria namba 11 ya mwaka 2007. Katika utekelezaji wa majukumu yetu tumeendelea kushirikiana...
  15. Nyendo

    Walimu watatu washikiliwa na TAKUKURU Kagera kwa udanganyifu

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera tumeendelea kutekeleza majukumu yetu kama yalivyoainishwa katika Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Namba 11 ya mwaka 2007. Katika utekelezaji wa majukumu yetu tumeendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa mapambano dhidi...
  16. OKW BOBAN SUNZU

    ASFC: Yanga yatinga Nusu Fainali baada ya kuichapa Kagera Sugar 2-1

    Final Score: Yanga 2 - 1 Kagera Sugar 80" Yanga 2 - 1 Kagera Sugar 72" Goal Yanga 2 -1 Kagera Sugar{Awesu, Molinga, Kaseke} 60" Yanga 1 - 1 Kagera Sugar 52" Goal: Yanga 1 - 1 Kagera Sugar {Awesu, Molinga} 50" Yanga 0 - 1 Kagera Sugar HT : Yanga 0 - 1 Kagera Sugar 40" Yanga 0 - 1 Kagera Sugar...
  17. manyonga

    UVCCM Kagera watoa vifaa kwa ajili ya mapambano ya Covid-19

    _*UVCCM KAGERA WAUNGA MKONO MAPAMBANO DHIDI YA CORONA*_ Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi Ndg.HAPPINESS RUNYOGOTE pamoja na wajumbe wa Baraza kuu mkoa wa Kagera leo tarehe 21/05/2020 wameunga mkono juhudi za Mh Rais katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu...
  18. J

    Hii ya DC wa Igunga kuwasaka walanguzi wa sukari mitaani akiwa na migambo imenikumbusha vita vya Kagera

    Kiukweli hili swala la uhaba wa sukari kama litaendelea tutashuhudia mengi. Nimemwona Mkuu wa wilaya ya Igunga mh Mwaipopo kupitia Star tv akiwa na lundo la askari polisi waliochanganyika na JW pamoja na migambo wakisaka walanguzi wa sukari mitaani. Kumbe hii nayo ni vita kama ile ya Corona...
  19. G Sam

    Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

    Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao. Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema. Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari...
Back
Top Bottom