===
Kwanza, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Industral Park " ikiwa ni pamoja na mitaro yake pamoja na taa za barabarani,
Pili, Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stendi ya kisasa ya...
#HABARI Jeshi la Polisi Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga, limelalamikiwa na mfanyabiashara Rehema Mwagao, kwa kitendo cha kumuachia mhaliifu kinyemela aliyetuhumiwa kutapeli fedha kiasi cha Dola 25,847.50 (sawa shilingi milioni 48.6). Polisi Kahama walalamikiwa kumuachia mtuhumiwa...
Naomba kuelezwa kwa mwenye uzoefu na hiyo miji miwili.
Ni mji upi unafaa zaidi kwa biashara ya saloon ya kike classic flani hivi?
Je, bei za fremu mjini kati ni sh ngapi?
Aina za wakazi wa mji huo je?
Natanguliza shukrani
Shaka : IGP Simon Siro tupia jicho lako kwa baadhi ya askari wako wilayani Kahama na kwingineko | Wanabambika watu kesi kubwa na nzito na baadae kuwatoza faini tena bila risiti kamwe CCM hatutavumilia hili |
"Wananchi ninazo taarifa juu ya vitendo viovu vya kupambikwa kesi za kukamatwa na bangi...
Gari ni Yutong nzuri, gari inasimama kila kituo, inachukua hadi abiria wa buku 2. Wanaenda wanavyotaka, wanaweza wakasimama tu bila sababu ya msingi. Kahama tumetoka saa 12 ndo tunaingia Dodoma hapa.
Hakuna abiria ametoka Kahama na hii gari anaweza kuipanda tena hata kwa bure.
Waziri Ummy Aagiza Kata ya Kinaga- Kahama kuwekwa katika Orodha ya Kata za Kimkakati itakayojengewa Kituo cha Afya
Wahenga husema usiibe kabla Jua halijazama,pengine ndio kauli inayofaa kusemwa kwa Wananchi wa Kata ya Kinaga iliyopo pembezoni mwa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani...
Ajali usiku huu maeneo ya Kagongwa -Kahama.
Basi ya FRESTER iliyokuwa inatoka Dar es salaam kulekea Bukoba imepata ajali usiku huu maeneo ya Kagongwa Kahama.
"Wakati mnaendelea na mijadala mingine nawafahamisha kwamba Mkurugenzi wa Kahama Anderson Msumba akiwa na Polisi & Mgambo wamewavamia wafanyabiasha wa Kahama na kuwapiga virungu kisha wameiba bidhaa za Wafanyabiasha hao kwa madai kuwa wanafanya biashara maeneo ambayo sio sahihi."- Hilda Newton
Habari za wakati huu mimi ni binti mkazi wa Dar es Salaam ila kwa sasa nipo kahama, katika harakati za kujikwamua nilipata msaada wa mtu akanambia kuna kazi ya mgahawa hapa kahama hivyo nije kuanza na makubaliano yote yalifanyika ila baada ya kufika kwa nauli ya kujichanga mtu yule hapokei simu...
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada.
Mapenzi yana nguvu sana pale unapopenda kisawasawa unaweza tembea umbali mrefu kufuata penzi bila kujali umbali, gharama zozote ili mradi ufanikishe jambo
Binafsi nina visa viwili.
1. Niliwahi kusafiri toka Moshi kwenda Tanga kufata penzi...
Ili kukabiliana na changamoto ya ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu hapa nchini,Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba ameshauri vyuo vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili wanafunzi.
Amesema wazazi wengi hasa vijijini wanatumia wamechoshwa na mfumo wa elimu jinsi unavyofilisi...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, imebaini uchinjaji holela wa mifugo katika Manispaa ya Kahama na kumshauri Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kuzifunga machinjio zote zinazoendeshwa kienyeji.
Katika ripoti yake iliyotolewa jana na Mkuu wa Takukuru...
Niaje Mabroo na Masista. Maisha yanaendelea poa, mimi niko Kahama hapa kuna mishe nilikuja kufanya ila mda siyo mrefu nageuza kurudi A Town, aka A City, Geneva of Africa, City of God[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ..ni hivi wakuu tuachane na mbwe mbwe za majina.
Ni Kwamba katika muda niliokaa...
Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Njombe
Kahama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.