Ndugu zangu nipo Kahama hapa mambo yameniendea ovyo kabisa. Nimepoteza mtaji wote katika biashara za kimachinga sina hata nauli ya kurudi Mbeya nilipotoka kuja hapa KAHAMA.
Natafuta kazi yoyote ya halali hapa KAHAMA, niifanye kwa miezi miwili hii, mpaka mwezi wa pili ili angalau nipate nauli...
Habari za mchana wadau wa jukwaa hili.
Nimeingia kahama kwa lengo la kuishi hapa baada ya kutoka Arusha. Nataka kufanya kazi ya mitumba (pointa).
Natamani sana sana kujua soko kuu la mitumba lipo wapi hapa Kahama ?
Asanteni!
Nataka niende Kahama.
(1) Natamani kujua, kwa mabasi yanayofanya safari zake Dar - Kahama, ni basi gani zuri? (Yaani sio bovu) Maana kuna kampuni zinalalamikiwa mabasi yao mabovu hasa kwa njia zetu tulizozizoea za Dar - Ruvuma, sasa kwa Dar - Kahama kampuni gani ina mabasi mazuri (ntashkuru...
Habari wana jukwaa,
Naomba kwa mwenye uzoefu na hizi manispaa mbili, Kahama na Morogoro, wapi panafaa kuishi kwa mtu anaeanza maisha mwenye kipato cha kati? Yaani mtumishi wa serikali.
Location
Tanzania, Kahama, Tanzania
Sandvik is a high-tech and global engineering group offering products and services that enhance customer productivity, profitability and sustainability.
We hold world-leading positions in selected areas – tools and tooling systems for metal cutting...
TAARIFA KWA WOTE,
IELEWEKE SIO SENSA IMEMUUA ILA ALIKUWA HOSPITALI AKIJIUGUZA HAPO KABLA,
KILA MMOJA AHESABIWE MIMI KAMA JABALI TAYARI NIMEHESABIWA LEO NAKUOMBA KAMA UMEKOSA NAFASI LEO SIKU BADO ZIPO KAHESABIWE.
Hospitali ya Kahama, mkoani Shinyanga
===
Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 60...
Ni usiku (saa nne) wa kuamkia leo Agosti 9, 2022.
Gari ndogo IST inatokea Kahama, inaelekea Tinde. ikaparamia trekta lililokua mbele limejaza kuni halafu halina taa za nyuma wala reflector. Watu watatu wakafa kwenye IST!
Dereva wa Trekta akakimbia!
Wakati uokoaji unaendelea, ikaja Hiace iko...
Narudia tena kueleza haya yaliyopo Kahama japo nilishakuwa mwizi nikakoswa koswa ila huu wizi kama Serikali mnatoa baraka mkisubiri vilio ndio mjifanye kutoa pole.
Hapa Kahama kuna hii kampuni sijui Alliance tena imekodi jengo la NSSF na humo ndani kuna TRA na NSSF na pia ikitazamana na...
Hii ni hatari mno kwa usalama wa nchi yetu!
Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza kwenye nyanja mbalimbali kuanzia kilimo,viwanda na biashara mbalimbali kwenye maeneo niliyoyataja hapo.
Ifahamike, sera na wanahistoria wa Rwanda wanatambua eneo lote kuanzia Kagera, Kigoma, Geita na hata Kahama...
Wakuu habari
Global alliance wamepanga ktk jengo la NSSF umbali wa mita 100 kutoka yalipo makao makuu ya manispaa
Vijana wengi kutoka Wilaya zinazopakana na Kahama wenye umri kati ya miaka 16 hadi 29 wamekuwa wakitolewa maeneo mbali mbali na kupelekwa kahama kisha kupangishiwa chumba, chumba...
Wakuu, habari zenu,
Samahan mimi nipo Mwanza nina juice bar naona hapa biashara kidogo imekua ngumu nawaza kuhamia mji mmoja kati ya Katoro au Kahama,
Naombeni ushauri kwa wenyeji wapi panafaa zaidi kwa biashara hyo na urahisi wa kupata eneo na matunda, pia aina ya watu sehemu izo,
ASANTENI
Wale mnaoishi Kahama na viunga vyake naombeni msaada wa maoni yenu, nina mtaji wa milioni 1 naombeni kufahamishwa biashara ya kufanya ili na mimi niweze kuishi mjini vizuri. Natanguliza shukrani
Wasifu:
Mimi kijana mwenye umri wa miaka 23 kwa sasa nipo kahama.
Ni mtaalam wa maabara ngazi ya Diploma na nimehitimu masomo mwaka 2020,
Ni mtaalam nilie sajiliwa na Baraza la maabara Tanzanian.
Nyaraka nilizonazo;
Form IV certificate
Nacte certificate
Nacte Transcript
Cheti Cha leseni...
Habari wapendwa, natarajia kuja Kahama kesho na mimi ni mgeni kabisa sijawahi kufika Kahama hii ndo itakuwa mara yangu ya kwanza.
Naomba kufahamishwa maeneo mazuri pa kulala na bei rafiki pia maeneo kwenye vivutio vya Kahama ili netembee pia,
Pamoja na Club au Night club ilio changamka...
Habari za leo wanaJukwaa.
Leo nimeenda tangu saa 2 Asubuhi Ofisi yaTRA Kahama kwaajili ya Makadirio ya Mapato. Hadi sasa saa 7 sijapata huduma yoyote.
Wafanyakazi wa TRA wanapita pita tu bila msaada wa aina yoyote.
Kwa namna hii ndio maana tunahamasika kukwepa kodi.
TRA.
Yes wakuu,
Ni mwaka mwingine huooo, its always about kupambana na maisha na kutafuta ugali pale palipo na unga mwingi.
Naongelea penye kasi kubwa ya ukuaji, nguvu ya manunuzi inayoongezeka maradufu na mzunguko wa pesa unao impress.
Recently hii miji imetajwa inayokuwa kwa kasi..Dom, Katoro...
Leonard Morisha (11), mkazi wa Kijiji cha Ngemo, Mbogwe mkoani Geita, aliyefariki dunia na kuzikwa Juni 27, 2017, anadaiwa kufufuka baada ya Oktoba 2020 kuonekana wilayani Kahama na wazazi wake wamempata Desemba 12, 2021 akiwa amekatwa mishipa ya ulimi na hawezi kuongea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.