Habari wanajamvi. Kama mada tajwa hapo juu. Natafuta shamba lenye ukubwa wa kuanzia hekari 20 hadi 100 kwa ajili ya kufugia.
Vigezo!
1. Liwe na miti ya asili au vichaka au maotea/chipukizi za miti
2. Lisiwe na mgogoro wa aina yoyote
3. Muuzaji awe tayari kuonyesha nyaraka halali za umiliki wa...
Habari wakuu;
Naomba kufahamishwa kati ya wilaya Kahama na Mwanza mjini ni wapi pazuri kuwekeza Lodge ya kisasa na biashara ikasonga?
Zingatia haya unaposhauri;
1. Upatikanaji wa kiwanja wenye ukubwa wa angalau ukubwa wa mraba 30mx40m
2. Maeneo yapi mwa mji utapata ukubwa huo na bei yake
3...
Imepita miaka kadhaa wakati wa awamu ya 5 ya JMT iliyoongozwa na Hatari Magufuli ambapo Hayati alikuwa amedhamiria kumuondosha kwenye nafasi Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama kwa matumizi mabaya ya mali za umma kwa kujinunulia gari kwa fedha ya umma nje ya utaratibu wa serikali.
Kwa mara...
Hivi ndivyo Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo (CCM), Paul Makonda alivyoingia Kahama Mkoani Shinyanga leo January 27,2024 akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake.
Nini maoni yako?
📹 AyoTv
Hii itasaidia kupunguza msongamano dsm kwa sababu mikoa husika imesha weka dhamira ya miji hii kuwa na bandari kavu.
2 miji hii imezungukwa na maeneo yenye uzalishaji wa mazao ya chakula ya kutosha ambayo pia ni malighafi viwandani, 3 Nimiji iliyo kaa kimkakati kutokana na Geographical position...
UGONJWA wa Kipindupindu umetajwa kuibuka katika Kata ya Kagongwa, Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga huku ikielezwa kuwa watu watano wametajwa kufariki dunia na wengine watano kuthibitika kuwa na maradhi hayo.
Wakati hali ikiwa hivyo, wakazi 452 wa eneo hilo wamewekwa chini ya uangalizi wa...
Nimefika Tunduma jana nikashangaa sana imekuwaje hii sehemu ikafananishwa na eneo kama Kahama.
Tunduma haifiki hata nusu ya Mafinga. Huu mji upo too local na umejengwa kiholela. Nyumba nyingi ni duni sana.
Naweza kusema pia Mafinga ni robo tatu ya Kahama maana angalau pale pana viwango.
Habarini wadau,
Naomba kufahamishwa kuhusu shule za awali katika wilaya ya Kahama.
Kuna kaka yangu anataka kumpeleka mtoto wake wa kike kusomea hapo.
Mtoto ana umri wa miaka 4 na ½
Naomba kuwakilisha
Manispaa ya Kahama
Kanda ya Ziwa inajivunia kuwa na Jiji la Mwanza (City Council) tangu 2002 ambalo ni Jiji la pili kutangazwa baada ya Dsm. Katika miaka hiyo ya 2000s, Miji ya Musoma, Bukoba na Shinyanga ilipandishwa hadhi na kuwa Manispaa (Municipal Cluncil). Ilichukua tena miaka ipatayo 20...
Tutakayojifunza:
(a) Lengo kuu la programu.
(b) Shabaha/Fokasi ya programu ya leo.
(c) Ufafanuzi wa Fokasi ya programu.
(d) Sababu za uwepo wa fursa kwa kila taarifa.
(e) Dondoo muhimu kuhusu vibanda.
Utangulizi.
Taarifa zimejazwa na Aliko Musa. Hii ni baada ya kukosekana mwanachama...
Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amembananisha Meneja wa TANROADS Geita kukihakikishia Chama Cha Mapinduzi kuwa ni lini barabara ya Kahama - Kakoro yenye urefu wa Kilomita 60 itajengwa kwa kiwango cha lami.
Mwenezi Makonda ambananisha Meneja huyo mara...
MBUNGE ALOYCE KWEZI: MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA 2024-2025 SERIKALI IJENGE BARABARA YA MPANDA - KALIUA - KAHAMA
"Nampongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kujenga Taifa letu. Nawapongeza Mawaziri, Komredi Mwigulu Lameck Nchemba na Professor Kitila...
Wandugu sina mengi.
Straight to the point, this weekend nilikuwa Kahama.
Siweki picha wala video lakini ukweli wanaujua waliowahi kufika Kahama.
Hii manispaa ndio jiji tarajiwa hivi karibuni. Hakuna ubishi.
Rai yangu kwa mipango miji na Halmashauri Kahama wadhibiti ujenzi holela unaoendelea...
Position: Underground Shaft Engineer
Job Identification: 226944
Location: Kahama, Shinyanga, P.O. Box 891, Tanzania
Position Description
Bulyanhulu Gold Mine is seeking to recruit an Underground Shaft Engineer to join and grow our team.
Join our exceptional team and embody Barrick's core...
Position: Civil Engineer
Job Identification: 226946
Job Category: Capital Projects
Job Schedule: Full time
Location: Kahama, Shinyanga, P.O. Box 891, Tanzania
Position Description
Bulyanhulu Gold Mine is seeking to recruit a Civil Engineer to join and grow our team.
Join our exceptional team...
Ninaomba nikufikishie hii kero iliyoko Stand ya Mabasi - Kahama mjini. Pamoja na kuwepo choo bora cha manispaa, bado kuna vyoo hatarishi (kama hiki) kwa afya za Watanzania na wasafiri wanaotumia stand hii ya Kahama.
Nimeambatanisha picha hapa chini kama ushahidi. Mamlaka husika tunaomba mchukue...
Wasalaam.
Naombeni msaada wenu ndugu zangu, natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato katika mikoa hiyo tajwa, natanguliza shukrani zangu za dhati.
ROSE MUHANDO ACHUMBIWA NA KUTAMBULISHWA UKWENI KAHAMA.
Wiki hii imekuwa wiki ya baraka kwa Malkia wa nyimbo za Injili Tanzania, Rose Muhando baada ya kwenda kutambulishwa ukweni Kahama kwa ndugu wa mchumba wake. Kama wanavyoonekana pichani Rose Muhando akiwa na mawifi zake na mwanaume wa...
Mimi natokea Mkoa wa Tabora, Wilaya ya Kaliua, Kata ya Kashishi, kero yetu hapa ni barabara ya kutoka Kahama Mkoani Shinyanga kwenda Kaliua Mjini (Tabora) kupita Unlyankuru, Mwamnange na Kashishi.
Kwani barabara hii ni muhimu kwetu sisi Wakulima tunaitumia kusafirisha mazao kupeleka kwenye soko...
Habari wakuu,
Natamani kuufahamu mji wa Kahama kupitia picha. Kama una picha zozote za mji wa Kahama, picha za mitaa, makazi ya watu, viwanja vya michezo, hoteli, shule, hospitali, mito, madaraja, mabonde, barabara, milima, majengo ya ofisi, mitaa ya ushuani, uswazi, masoko, utalii, ofisi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.